Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

Watu hamuelewi maana ya siku tisa, ilichofanya CDM ni kutimiza wajibu wa kumkumbusha Kikwete, Yesu aliposema atarudi mapema hakuwa na maana ya kesho ni kujiandaa hata CDM wamempa Kikwete hizo siku tisa za kujiandaa kutekeleza siyo kutimiza, mkihangaika na tarehe mtapotea.
Kweli JPM kawanyoosha mlishafikia hatua ya kumtishia Rais bila woga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka usiulize maisha sasa hivi magumu sana, after nine days tunaingia mtaani. mishahara haitoshi kabisa, kweli acha kwanza waangalie response ya wenzetu sehemu zingine kama ni nzuri kama ya jana then tunamtoa madarakani. Siumeona jamaa wameogopa sasa hivi wanashusha bei ya sukari? hii haijatokea kwa bahati mbaya ni wana-interejensia walijua nini kitaongelewa. kweli wasipotekeleza wanatoka madarakani.
Hapa ndio huwa ninawashindwa Chadema na mambo yao..ikaja maandamano za ukuta zikayeyuka..za mange zikayeyuka..
Kelele nyingi bila matendo.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kitampa rais Kikwete siku tisa baada ya kumaliza mzunguko wake wa kwanza wa kuwahamasisha wananchi mikoani.

"Rais Kikwete tunakwenda naye kwa stepu, tutawasha moto wa maandamano nchi nzima, tukimaliza tutaangalia kama atakuwa amechukua hatua. Tutampa siku tisa," alisema Mbowe na kushangiliwa.

Dk. Slaa aliyekuwa wa kwanza kuhutubia katika mkutano huo, alisisitiza sana msimamo wa chama hicho kumpa Rais Kikwete siku tisa za kuhakikisha anaondoa kodi kwenye maeneo yote yaliyosababisha bei za vyakula na bidhaa mbalimbali kupanda na kufanya maisha ya wananchi kuwa magumu.

My take: Is a 9-day strategy a coincidence, planned?, na je baada ya siku hizo tisa nini kitafuata. This is a serious note, wasiwasi wangu wasije kuwa wamekurupuka kusema siku tisa.
Hizo siku za kudeka kina Mbowe wanazikumbuka sana.
 
Haya ni yakweli kabisa ambaye haoni basi ni ushabiki ndo utamponza, lakini pamoja na haya bado hasira ya wananchi raia wa kawaida kama mimi ni kuona wezi wa fedha za umma wanaendelea kustarehe mitaani na kupongezwa kama heroes. Kwangu mimi JK amejitahidi sana ku improve democracy na kuanzisha cash facilities kama microfinancing schemes ambazo zimepunguza kwa kiasi kikubwa shida ya hasa wafanyakazi wa serikali lakini matunda ya haya yote yanashindwa kuonekana kutokana na udhibiti wa wizi in various ways katika hizo hizo schemes. Angejitahidi sasa ili kuzima haya yote ambayo yako most likely kutokea kwa ku punish wote walilifikisha taifa katika ngazi hii ya kutokuwajibika kwa public.

Ugumu wa hili jambo ni kuwa elites wote wameingia katika huu mfumo wa wizi usio rasmi kwahiyo ukimwajibisha mmoja chain inamgusa mpaka yule wa chini, which is also dengerous kwa kiongozi wa nchi maana wenye genuine reasons za kumlaumu na wale ambao ndiyo main actors wata join hands kuenda against him....Swali kwa wote ambao tunaenda kwa ushabiki ingekuwa wewe ndo rais wa Tanzania ungefanyaje?

Elites acheni ushabiki na unafiki do your part, msaidieni Rais kusolve haya mambo you are the main actors hata kama mtamnyooshea yeye kidole kimoja vitatu vina rudi kwenu...Actually we are the most likely kuwa disgraced kuliko mtu yeyote if this country itafikia hatua ambayo wengi tunashabikia ifikie. Mpeni Rais good advice akikataa damu ya taifa hili itakuwa juu yake. Otherwise huu ni uonevu wa wazi kwa mtu ambaye dhamira yake ni njema kwa Taifa hili kwani ameonyesha mara kadhaa ku yield into your demands, wafanyakazi tulitishia kugoma, akaongeza mishahara mara mbili, sera zingine za CHADEMA amezi adopt, swala la katiba hata kama halikua ndani ya Ilani ya chama chake ame take risk na kulikubali...A president is not strong because of His strength but because of His people....the weakness we are now seing is in most of the case contributed by us elites....Mseme mtakachosema I will remain true to myself and to my God for I fear nobody but respect every humanity!
Duuh!
 
Back
Top Bottom