CHADEMA wamlima Rais Kikwete Barua juu ya mauwaji katika mikutano yao

Hivi kule Bububu aliyekufa alichochewa na nani vile, Kumbe CUF mnawahadaa wazanzibar?
 
Hii ni hatua muhimu sana Kama kuna hatua zinspangwa kuchukuliwa japo baadae, asijesema kuwa hawajawahi kumwambia , barua itawekwa mezani.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
serikali ya jk ndiyo ya kushtakiwa kwa kulinda wauaji na kutengeneza vurugu kwa wananchi wanaokwenda kwenye mikutano ya CDM.
 
ni hatua nzuri na ya busara sana kumwandikia mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mambo yanayomhusu kama kasahau wajibu wake..........
 
Bila shinikizo JK ataendelea kutumbua bata tu. Ukimya wake una mitazamo mitatu, kwa maoni yangu:-

1. Alishiriki au alijua au aliruhusu mambo haya kufanyika, hivyo anasutwa nafsini mwake.........

2. Hakushiriki au hakujua juu ya mipango ya chama chake kuitumia Polisi kuithibiti CHADEMA = ni dhaifu na mwenyewe yuko hatarini kama wananchi wake........

3. Hajui kama Rais na Mwenyekiti wa CCM kipi ni muhimu na cha kwanza kati ya vyeo na majukumu yake hayo mawili.
 
Mbona asubuhi sana matusi ya nini? hujifunzi tu kuwa mstaarabu humu JF?, mwanzoni tulifikiri ni ugeni kumbe ndivyo ulivyolelewa.

Hata wauaji wakifahamika, lakini ukumbuke kuna kuua bila kukusudia, lakini kitu kibaya ni chanzo cha mauaji, na kwa hili CDM watajiwekaje pembeni?
sijakuelewa hivi mtu akifanya makosa mfano ukiwa unaendesha gari ukagonga mtu akafa police akija na yeye anaruhusiwa kukupiga risasi?
 
Kujipendekeza na kujikombakomba kwa mkuu wa kaya tu hawana lolote wachumia tumbo tu hao.

Huwezi kabisa katika mazingira ya kawaida kumpelekea barua mtu ambae hutambui nafasi yake katika nchi. Tena viongozi wa chama kwa kauli zao wao wenyewe walilisema hili.

Katika watu ambao wamekuwa wakiaminiwa kuwa na msimamo na wanayoamini ni huyu babu wa chadema.

Kwa hili la kujikomba kwa mheshiwa rais ni kujivunjia heshima yake binafsi kwa kuonekana kuwa kigeugeu, kujivunjia heshima kwa wanachama walioiusudu ile kauli yake ya kutomtambua rais na wao kujiona kama mayatima maana kiongozi wao kasaliti kauli yake na mwisho kuvunja heshima ya chama chake.

HAMY-D, hakuna mahali popote CHADEMA walishawahi kutamka kuwa 'hawamtambui' rais. Walichosema ni kutotambua 'mchakato' uliotumika kumtangaza rais. Hili jambo limefafanuliwa kwa miaka miwili sasa lakini bado inaeokena kuna watu wanashindwa kuelewa ni kitu gani sasa kilikuwa disputed. Na tunaposhindwa kuelewa ni kitu gani hasa kilipingwa, hata debate inayofuatia inakuwa meaningless!
 
Sheria ni msumeno, Ningekuwa Rais ningeanza na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA kwa sababu, chanzo cha vifo vya watanzania wasiyo na hatia ni maandamano na mikutano yao isiyo rasmi.

Maandamano na mikutano isiyo rasmi? Kumbe iliyo rasmi inakuwaje? Kama ile ya CCM na Dr Bilali huko Bububu, 2nd September? Pengine unasaidia kwa kufafanua hili, tarehe hiyo 2 September, Jeshi la Polis la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitumia vigezo gani 'kuharamisha' mkutano wa NDANI wa CHADEMA na 'kuhahalisha' mkutano wa wazi wa CCM Bububu?
 
Hatua gani zimechukuliwa labda ambazo unafikiri zinaenda sambamba na kuondoa tatito hili seriously, acha ushabiki gusa uhalisia na ukweli kwa mfano picha zinaonesha watu karibu watano wanafanya ukatili anakamatwa mmoja naye anafichwafichwa.

Kamati ya uchunguzi inaundwa na walalamikiwa
 
Mi naona hapa Chadema wametimiza wajibu wao tu pamoja na kuweka kumbukumbu sawa. JK hana historia ya kufanya maamuzi magumu kama ambavyo Chadema wamependekeza kwenye barua yao. Na akichukua maamuzi hayo, basi itakuwa ni mara yake ya kwanza toka azaliwe.
 
Hawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.

Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.
wacha kukurupuka mkuu tuliza akili
 
Rais yeyote aliyepewa ridhaa kupitia chama chake, lazima afanye maamuzi kwa kufuata ushauri wa mlezi wake ambaye ni chama chake na siyo wanasiasa, itachekesha sana eti rais anawawajibisha watendaji wake kwa shinikizo la wanasiasa, ni kitu ambacho hakiwezekani. Haiwezekani watu kwa chuki zao binafsi na watendaji wa Serikali wamshinikize Mkuu wa nchi kuwachukulia hatua. Wapi watanzania mlishasikia chama kimoja cha siasa kinashinikiza Kiongozi mkuu wa nchi kufanya hivyo, nchi zingekuwa zinatawalika kweli? CDM pitieni sheria zinazoongoza nchi mjiridhishe kama mmeiva

Mamaisara, Rais ameapa kuilinda/kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano, ameapa kufanya kazi kwa mujibu wa katiba iliyowekwa. Ndani ya katiba (kama umesoma na kuielewa) inaeleza wazi kabisa haki ya raia kuishi. Na kifo kinapotokea hasa kifo chenye utata sheria ya kubaini kiini cha kifo hicho zipo. Ndani ya miezi 18 iliyopita Tanzania imeshuhudia vifo venye utata si chini ya 50! Hawa wamekufua mikononi mwa polisi na hakuna maelezo ya maana. (report ya kituo cha sheria na haki za binadamu). Mwaka huu pekee tuna matukio mawili makubwa ambayo naamini yamebadilisha kabisa sura ya Tanzania. Dr Ulimboka na Daudi Mwangosi.

Kifo cha Daudi Mwangosi is another level, tofauti na vifo vingi ambayo hutokea bila mashuhuda ku-record, hiki cha Mwangosi kimerekodiwa. Tunaweza kupiga siasa sana hapa, lakini kwa hakika Tanzania imeingia ukurasa mwingine wa brutality.

Nini tafrisi ya barua ya CHADEMA.

1. Inamkumbusha rais (kwa maandishi) kiapo chake cha kulinda na kuterea katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo inatambua haki ya kila raia kuishi.

2. Inaliweka jeshi la polisi under the spotlight, na kuibuwa maswali kama bado tuna jeshi la polisi linalilonda usalama wa raia na mali zao, au tuna mafia wanaokunywa damu za raia na kupora mali za marehemu (camera & lapotop ya marehemu Daudi Mwangosi).

3. Response ya rais or lack of it, itatoa a definitive answer kama kweli viongozi wanakusudia kufanya kama walivyoapa. Pengine kama rais hakuandikiwa barua angeweza kusema hana taarifa zozote kuhusiana na mauji ya raia. But not anymore. Sasa anayo barua inayoeleza na kumtaka kuingilia kati ili raia waishi salama. It is up to the 'Presidency' kuamua itasimama upande upi: upande wa wa raia na usalama wao au upande wa wanyang'anya haki za raia.

Nina hakika madhara ya mambo yanayoendelea sasa hivi yataonekana miaka mixhache ijayo. Watu wanaweza kufunika kombe kwa muda, lakini si kwa miaka yote.
 
kuna tofauti kubwa ya kutaka kuwa head of the state bila kuwa na mission /vision ya nini utakalofanya if and only if ull be elected ,
what is your ambition?
my ambition is to be a tanzanian president thats all about no vision no mission
 
Hawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.

Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.

Katoe huduma kwa mumeo ya chadema tuachie sisi
 
Hawa CHADEMA naona wanataka adhabu kutoka kwa Rais, vifo wasababishe wao halafu wanaomba hatua zichukuliwe? kaz kweli kweli.

Nadhania Rais akiamua na sheria zikapitiwa vizuri, ni wazi CDM wataingia matatani, ngoja tusubiri reaction ya Rais.

huyu huyu dhaifu? labda angekuwa hata pinda.
 
Sheria ni msumeno, Ningekuwa Rais ningeanza na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA kwa sababu, chanzo cha vifo vya watanzania wasiyo na hatia ni maandamano na mikutano yao isiyo rasmi.

Nimekusoma mama, so ndo hivyo unavyomshauri mzee wa KUHUDHURIA misiba sio?
 
teh teh teh, kweli hii nchi sasa itakuja kuongozwa na ma-teja, kama wamiliki wa madanguro wamejaribu, Wazinzi wamethubutu kugombea japo walikosa, na sasa tunawasema majambazi, hakika si teja tu watakaojitokeza kugombea bali hata mashoga manake naona hawa nao wanakuja kwa kasi kweli.

nyege na watu hizi au na uhaba wa fikra kwa kichwa.?
 
cdm kweli hawana akili nyie ndio mnaochochea vijana wafanye vurugu ili nchi isitawalike nyie hao hao mnamtaka rais achukue hatua? mantiki ipo wapi hapo?

Ulikuwa na prof. Kushughulikia kuanguka kwa yuro au wewe ulibaki bububu uzini.
 
Back
Top Bottom