Khaa!! umeona eeeh.Hapa kuna jambo linafuata siku si nyingi!
Zitto anasoma alama za nyakati,vijana wenye hoja zaidi yake ndani ya CDM wapo wengi tu, na wanaoitaka nafasi yake ndani ya chama wapo tu,alikuwa wapi kufata sheria toka amekua mwenyekiti wa hiyo kamati,kama anayoyasema ni kweli na anahulumia fedha ya watanzania basi kwa huluma yake awajibike ndani ya chama na kwenye kamati yake,miaka minne hajafatilia hivyo vyama ni zaidi ya uzembe wanaoufanyaga ccm.
Hapa kuna jambo linafuata siku si nyingi!
Khaa!! umeona eeeh.
Mkiti Wilbrod Slaa
KM Freeman Mbowe
NKM Zitto Zuberi Kabwe
huyu naye Ni Anthony Komu.
Hebu wabadilike kidogo ndiyo maana yale majamaa ya lumumba yanawadungua kirahisi kisha mnabaki mnalialia tu 😎
nikiamka nitazungumza
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?
:gossip: :gossip:mkuu , unamaanisha nini hapo ? hebu fafanua .
Wa kwanza kuweweseka alikuwa nape, labda wewe ulikuwa umesinzia wakati huo.kama mmekaguliwa mnawewesekwa na nini?? kwann msitulie sheria ichukue mkondo wake?? chadema mna matatizo sana