Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Maneno mengi ya nini. Kama ripoti ipo si kupeleka tu ukiambatanisha na barua iliyokubali kupokea na kufanyiwa kazi kwa riooti husika!!!!!!???????
Halafu kwa nini anachukuliwa personally wakati ni mwenyekiti wa kamati????!!!!!
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni urohoKiongozi hilo nalo neno. Zitto kiongozi wa ngazi ya juu sana ndani ya CDM lakini inanishangaza kuona kama hajui hata hesabu za chama chake kama zimeshakaguliwa. Huo ni unafiki wa hali ya juu sana.
hiyo ni danganya toto, chadema wamezila na familia zao bila kuzitumia kwa manufaa ya chama ndio mana ni wakali wakiulizwaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kimewasilisha taarifa zake za fedha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha 2010/11 na 2011/12.
Kwamba, hilo linathibitishwa na barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa.
Uthibitisho huo umetolewa kukanusha taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, iliyosema kuwa vyama vya siasa vinavyopata ruzuku kutoka serikalini havijawasilisha taarifa yake ya mapato na matumizi kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.
Nb: Eti kamati yenyewe ya PAC makamu mwenyekiti ni Aden Rage Al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za FAT.
Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za Simba pale Msimbazi na akabidhi pesa za Okwi.
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni uroho
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?
Zitto aligongelea msumali wa mot0 kwa wapiga dili ndani ya vyama ndio maana waona povu jingi lawatoka hapa.
Labda kuna kitu hukielewewi ni kwa nini watu wenye akili timamu tumeshajuwa nini kinaendela,
Tufanye Mwenyekiti wa PAC ni Mwigulu Nchemba na Mwigulu huyu ni naibu katibu mkuu wa CCM, sasa Mwigulu akiwa ni sehemu ya secretariat anatakiwa kuanza kubwabwaja barabarani au anapaswa kuwa na internal communications na chama chake kabla ya kupayuka kwenye public?
Zitto atakamata akili za wajinga tu mnafki huyu.
This is just silly; vyama havitakiwi kusema lolote sasa hivi. Wanaotakiwa kutoa maelezo ni CAG na Msajili. Wao ndio wanapaswa kusema kama vyama vimekidhi matakwa ya sheria au la. Ukimya wa vyombo hivi viwili ndio vitu vinavyonitibuaga mimi. Kamati ya Bunge imesema na kutoa maagizo CAG na Msajiri wanatakiwa waseme kama watakagua, wameshakagua au hawana mpango wa kukagua hivi karibuni.
Kakuambia tayari yeye ni maarufu hiyo attention itamsaidia nini? Sema kijana anatishia ulaji wa wanasaccoss wenu wa chadema.