Watanzania tuna ugonjwa mbaya sana wa kulalamika...
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa
source mjengwa
Weka ambayo haijachakachuliwa....
watasema na hii imechakachuliwa?Kaka mimi nilikuwepo na hivi ni kutoka katika kimeo changu cha mchina sasa utasemaje?View attachment 63107
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.
Hii ilikuwa Arumeru kwenye kampeni za Ubunge. Chadema acheni kutapeli wananchi