"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Hii M4C ishukuru inalindwa na katiba, vinginevyo magamba wangeshaifutilia mbali
 
Siyo tapia ya m4c uchakachuaji ni tabia ya wenye magamba kuna asiye juwa hilo kipofu kiziwi wote wana juwa:evil:
 
Mkuu kama vipi tupia ulizopga wewe zenye uhakika.
 
M kutano wa jana ulikuwa balaa, yaani CDM wameiteka mpaka morogoro wakati nilikuwa najua utakuwa mkoa wa mwisho kwa mabadiliko, CCM mjiangalie upya mtaangukia pua.
 
wewe ni mpuuzi mkubwa sijui kwanini bado unapumua
 
Poleni sana MAGAMBA. Hili ndiyo tamako lenu rasmi baada ya kikao cha kutathmini kukubalika kwa CHADEMA ili mpotoshe umma????? Fungukeni na mjipange upya acheni kupoteza muda taifa linahitaji kurekebisha upuuzi mliojenga kwa zaidi ya miaka hamsini. Stop panicking this is the truth CCM hampendwi tena na watu wa kawaida. Wananchi kwenye ngome zenu sasa wanawakimbia hamjiulizi kulikoni??? Badala yake mnaleta hoja rejareja!!SHAME ON YOU!!!!!! CHADEMA Mungu awatangulie msife moyo.
 

Unatafuta mume bro!!?
 
Kila Mtanzania mwenye uelewa amechoshwa na CCM na serikali yake. Unadhani Morogoro ya leo ni ile ya mwaka 47?
 
Hii statement ndo imeprove kwamba sababu ya kuzuia mikutano ya m4c siyo sensa,sababu ni kwamba hawataki wananchi wahudhurie mikutano ya chadema,period.Ndo maana wanshangazwa pamoja na mauwaji watu wameenda,wanashangazwa kwanini watu hawaogopi tena risasi zao na mabomu.
 
We kwa sababu upo kwenye CHAMA CHA MAPINDUZI unaamua kupindua ukweli kuwa uwongo kama mlivyozoea.
 
Mh! ... na madiwani, wabunge wa ccm na vibaraka wao wajiandae kuacha siasa!... Mziki wa CDM hautazimwa kwa risasi wala kuchakachua!...
 



Umewakamata vizuri akina Ritz... wala hawakujua/stuka kama unaipasha M4C ya CHADEMA, na likes wamekugogea.

I salute you Ben!!! Go go!!! Many are with you. Asante mkuu F kwa kuweka picha ya kamanda hapa.

Ebu nisaideni hapo, hapo Ben!!! naye alikuwa anawasaidia FFU kutwanga raia, maana kwenye mkono wake wa kulia kashika kirungu (rejea picha ya Ben!!! na FFU)?
 
  1. Ndio ugonjwa wetu wa watanzania - 'Kutokuamini' Ndo tumefika hapa kwa mijitu kutokukubali na kuamaini hasa kwenye kuyakubali mabadiliko.. Tatizo hili lilikuwepo kwa mababu zetu.. Nashangaa hadi kizazi hiki nacho kinaupungufu wa kuamini na kutokubali mabadiliko!
  2. Eleza hiyo Picha imechakachuliwa wapi?? wewe umeitoa kwenye source gani?? Na kwanini umesema imechakachuliwa.. usitoe sababu za wingi wa watu.. toa sababu za kiteknologia!!
  3. Umekompare picha hii na nyingine??? Mathalan mm niliona kwenye TV (ITV) Watu kwenye mkutano walionekana wengi zaidi ya hao!! kwani picha hiyo ni one sided view!!
  4. Siku nyingine ukipost kitu cha 'kutuhumu' kama hiki hebu weka evidence zako kabisa kabla watu hawajakuomba uzitoe!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…