"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Wewe kama huamini hiyo picha subiri upate stroke utakapoona live chama chenu kinaanguka 2015,maana inaonekana bado hutaki kuamini haya yanyotokea sasa hivi.
 
wapi mbona hakuna kitu hapo au unataka kutuambia nini aise
weka mbadala na sio swala la ingia hapa sijui wapi ambako hakuna kitu

tatizo hajui kuwa wengine tulikuwepo hapo uwanjani, huyu atakufa na ccm yake!
 
Shida yako unatumia hii simu, sasa unategemea nini jamani advocate??

cha kushangaza calculator niko kwenye PC na najaribu kufungua hakuna kitu aise
na hata hiyo mchina yangu imenikatalia kabisa haisomi aise
weka mbadala hapa nitakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.

usilalamike tuu Rejao toa mbadala wa picha hapa
suala na wewe unaingia kwa wale wanaopenda kulalamika
Toa mbadala na sio kutoa mapungufu ya picha
Kama mkutano ulikuw ana watu hamsini toa picha yake useme kuwa hii iliyoko kwenye mtandao imechakachuliwa
sio suala la kulalamika tuu
 
Last edited by a moderator:

Mambo haya hapa

 

kuna Mdau kaweka na hii kazi kweli kweli kama vipi kamuombeni kigwangala vitumbua.
 
Jamani hata Michuzi amechakachua?Nenda Michuzi Blog uangalie
 
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.

Na aliyeichakachua atakuwa huyu mleta mada. Tembelea MICHUZI blog utakuta picha nzuri na utitiri wa wa mahudhurio. Michuzi ni pro SSM but neutral, ameweka mambo vizuri na bayana!!! Take a minute to visit!!
 
Wadanganye hao hao na propaganda zako zisizo na mbele wala nyuma......Nilikuwepo uwanji na hii ni sehemu tu ya nyomi ilokuepo hapo uwanjani na sijui ingekuwaje kama kusingetokea na kifo cha Ally, please hata association zingine hazina tija wala uhusiano au ndio ilikuwa janja yenu kuwa muue mtu ili wasije wengi? Pole kwa uvivu wa kufikiria imekula kwenu period...Huo ndio ukweli wenyewe kaandaeni tena kitu ingine ya kuzuia mabadiliko........Nachusikitika sna pale watu wanapopingana na ukweli ni aibu tena mtu mzima, busara si kumkimbiza mwehu chuchumaa uombe msaada hata kwa mpita njia atakusaidia kuliko kukimbia uchi we ndio utaonekana ni mwehu...

 
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.
Ritz sasa umezidi, utajivunjia credibility kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…