Chadema wamebakiza jambo moja ili waingie ikulu

Chadema wamebakiza jambo moja ili waingie ikulu

Ni kijana wakgm na wahuni wenzako sisi bado tunaimani na CHADEMA,ACT yenu pelekeni kgm muendelee kuwadanganya ------- zenu nyie mnao jidanganya kuwa eti ACT inakubalika<

ACT inapendwa sana na vijana na wanawake wa kitanzania
 
ACT yenu haina chochote na sio hbr ya mjini labda ujiji nahata mwandiga kwenyewe huyo msaliti wenu hana nafac labda atumie udini>
 
Kuhusu Urais, kati ya uchaguzi ambao utakuwa ni rahisi kwa chama tawala, basi ni wa 2015.
Upinzani ninaouona upo ndani ya CCM yenyewe ni nani agombee urais.
Chadema haiwezi kusimama 2015 ikiwa na nguvu kama ile ya 2010. chadema imejiharibia yenyewe.
ni kweli chadema imejiharibia. hata kale kaimani kadogo kalikokuwako kwa baadhi ya jamii sasa hivi kametokomea kabisa. kile chama kina wenyewe, na wengine wanakifananisha na saccos. wameendekeza ubaguzi.
binafsi sijawahi pata tumaini la maendeleo ya nchi hii kupitia chadema, japokuwa michango ya watu wawili ilinikoga, kwa maana ya Zitto na slaa bungeni. sasa wamemfukuza zitto. UBAGUZI.
 
ni kweli chadema imejiharibia. hata kale kaimani kadogo kalikokuwako kwa baadhi ya jamii sasa hivi kametokomea kabisa. kile chama kina wenyewe, na wengine wanakifananisha na saccos. wameendekeza ubaguzi.
binafsi sijawahi pata tumaini la maendeleo ya nchi hii kupitia chadema, japokuwa michango ya watu wawili ilinikoga, kwa maana ya Zitto na slaa bungeni. sasa wamemfukuza zitto. UBAGUZI.
Mimi ni mmoja ya waliokuwa wana matumaini makubwa na Chadema.
lakini walipoanza kuonyesha 'double standard' ya wazi kabisa, ufisadi wa mwenyekiti wa kudumu, 'remote control' ya chama kushikiliwa na Mtei, katibu mkuu kujikopesha mamilioni ya Chama, wabunge wa viti maalumu kuteuliwa kwa misingi ya kindugu, imani menipotea kabisaa.
 
wewe unautani aisee, yaani unaona kabisa chadema inajiifia halafu unasema inakwenda kuingia ikulu? kunywa juice au? au unamaanisha ikulu ya kuzimu? yes kuzimu? nauliza.

mwaka 2015 ni mwaka ambao watu wengi wanaizungumzia kwa namna tofautitofauti

kuna wanaotamani mwaka wafike haraka ili washudie mabadiliko katika siasa za nchi,

kuna wengine hawaitamani mwaka huo ufike wakiwa hai kwa sababu wanafikiria yale ya kenya yasije kuwakuta kulingana na hali halisi ya sasa katika ulingo wa siasa

kuna wanaohamini kuwa hamna jipya litakalotokea bali ni ni ccm tena.

watz wote tunaamini kuwa kwa sasa ukitaka kujadili siasa ya tanz hauwezi kuacha kuzungumzia vyama viwili(ccm na CHADEMA)iwe kwa mazuri au kwa mabaya,iwe unazipenda ama la,uwe mwanasiasa ama la!
kwa muktadha huo ukweli ni kuwa 2015 hatuwezi kuzungumzia chama kingine chchote kushika dola tofauti na hivyo
kutokana na hali hiyo wafuasi wa vyama wamekuwa wakijinasibu kuwa wanauhakika wa ushindi 2015
mimi napenda jambo ambalo ni ya kawaida sana lakini ndio yenye ukweli wa ushindi uchaguzi ujao

kwanza ni lazima tukubaliane wote kuwa ccm ina nguvu vijijini hasa kwa akina mama na wazee na cdm wana nguvu kwa vijana wote si mjini wala vijijini,,
kwa hali hiyo cdm wanamini kuwa vijana watakapoandikishwa watskuwa na uhakika wa ushindi
ili jambo si kweli hata kidogo kwani hata ss cdm wanawafuasi vjn wenye miaka zaidi ya 25 lkn kwann bado wanashindwa vibaya hasa vijijini???
jibu ni moja kuwa VIJANA WENGI WA VIJIJINI HAWANA ELIMU YA URAIA
ninaposema elimu hiyo ni kuwa hawaoni sababu ya kupiga kura zaidi ya kushangaa elikopta na ksema people powerrrrrr
vijana wengi wa vijijini wamepoteza shahada na wengine wametupa kwa makusudi na wengine wanapewa pombe then wanambiwa walete shahada
ili jambo nina uhakika nao na nimelifanyia utafiti vya kutosha hasa mkoa wa ddma na musoma vijijini na singida

ss basi cdm wafanye jambo moja tu, nalo ni kufundisha elimu ya uraia kuhusu SHAHADA YA MPIGA KURA.
Wakifanikiwa hilo ikulu njia nyeupeee.
 
Kila siku tunatoa maoni kwenye hili ila napata mashaka utekelezaji wake huwezi shinda bila kura
 
nitashngaa km hizi mada za kizushi zitapata tena mashiko dunia hii..nadhani hata pasco, mwanakijiji, Mukandala/Zitto....hawazitumii tena kwani hata wao zinawaboa
 
Chagadema kuingia Ikulu ni ndoto ya mchana kweupe pe pe peeeeeeee.....
 
Back
Top Bottom