mwaka 2015 ni mwaka ambao watu wengi wanaizungumzia kwa namna tofautitofauti
kuna wanaotamani mwaka wafike haraka ili washudie mabadiliko katika siasa za nchi,
kuna wengine hawaitamani mwaka huo ufike wakiwa hai kwa sababu wanafikiria yale ya kenya yasije kuwakuta kulingana na hali halisi ya sasa katika ulingo wa siasa
kuna wanaohamini kuwa hamna jipya litakalotokea bali ni ni ccm tena.
watz wote tunaamini kuwa kwa sasa ukitaka kujadili siasa ya tanz hauwezi kuacha kuzungumzia vyama viwili(ccm na CHADEMA)iwe kwa mazuri au kwa mabaya,iwe unazipenda ama la,uwe mwanasiasa ama la!
kwa muktadha huo ukweli ni kuwa 2015 hatuwezi kuzungumzia chama kingine chchote kushika dola tofauti na hivyo
kutokana na hali hiyo wafuasi wa vyama wamekuwa wakijinasibu kuwa wanauhakika wa ushindi 2015
mimi napenda jambo ambalo ni ya kawaida sana lakini ndio yenye ukweli wa ushindi uchaguzi ujao
kwanza ni lazima tukubaliane wote kuwa ccm ina nguvu vijijini hasa kwa akina mama na wazee na cdm wana nguvu kwa vijana wote si mjini wala vijijini,,
kwa hali hiyo cdm wanamini kuwa vijana watakapoandikishwa watskuwa na uhakika wa ushindi
ili jambo si kweli hata kidogo kwani hata ss cdm wanawafuasi vjn wenye miaka zaidi ya 25 lkn kwann bado wanashindwa vibaya hasa vijijini???
jibu ni moja kuwa VIJANA WENGI WA VIJIJINI HAWANA ELIMU YA URAIA
ninaposema elimu hiyo ni kuwa hawaoni sababu ya kupiga kura zaidi ya kushangaa elikopta na ksema people powerrrrrr
vijana wengi wa vijijini wamepoteza shahada na wengine wametupa kwa makusudi na wengine wanapewa pombe then wanambiwa walete shahada
ili jambo nina uhakika nao na nimelifanyia utafiti vya kutosha hasa mkoa wa ddma na musoma vijijini na singida
ss basi cdm wafanye jambo moja tu, nalo ni kufundisha elimu ya uraia kuhusu SHAHADA YA MPIGA KURA.
Wakifanikiwa hilo ikulu njia nyeupeee.