CHADEMA walitumia Bil.5.3 uchaguzi mkuu 2010

CHADEMA walitumia Bil.5.3 uchaguzi mkuu 2010

nawapongeza chadema kwa kuweka wazi mtiririko wa matumizi ya fedha walizotumia wakati wa kipindi cha uchaguzi.Nawapongeza tena kwa kwa kuwa pamoja na kutumia kiasi kidogo cha fedha wameweza kuchukua baadh ya nafas serikalin zikiwemo zile za ubunge hii inaonyesha ni jinsi gan demokrsia imeamka nchini kwetu.Kwa upande wa chama tawala ni wazi kwamba wametumia kias king sana cha fedha ndio maana itakuwa vigumu kwa wao kuweka wazi mfano,mabango,kanga kofia na matshart,usafir n.k, na kwa mwendo huu nchi itaendele

jambazi komu kachota ngapi hapo. mbowe naye za kurudishiwa malori yake mabovu.

ndio maana bilioni zote hizo zimeambulia wabunge 22.

Dafaiza nakukubali hapo juu umemwaga website zenye data zote za uchaguzi 2010 naripoti zote nakupa thanx.

bill. 50? inamaana walilpiga kampeni mpaka nje ya nchi? bajeti ya chadema ni kwa kampeni ya nchi nzima, sasa muone gharama ya kutumia mashangingi 50 na kubeba watu kwenye malori inavyoigharimu serikali

unamaana kampeni za mgombea urais zilikuwa nchi nzima au kampeni za chama? maana kuna zaidi ya wabunge 20 wa ccm walipita bila kupingwa hii inaonesha kuna zaidi ya majimbo 20 CDM haikufanya kampeni ngazi ya ubunge, vipi kuhusu madiwani?

useless comment,

jambazi komu kachota ngapi hapo. mbowe naye za kurudishiwa malori yake mabovu.

ndio maana bilioni zote hizo zimeambulia wabunge 22.

Leta wewe ushahidi wa kuwa ume chakachuliwa, Unanchekesha!

Kuhusu uswahili, endelea kusoma hapa:
kwa kuwa wewe ni Bingwa wa kucopy na kupaste, hebu tuwekee hapa final Results za uchaguzi wa Rais mwaka 2010.

1,300,000,000 hawajapata Rais?

= For Nothing?

1,700,000,000 kwa wabunge 22 tu?

Hapa kuna ubadhirifu wa hali ya juu, na zile walizotumia baada ya kampeni kwa maandamano na kununulia magari mabovu mbona hajazitaja?

Walichopata ni ushindi mkubwa sana ukilinganisha na namba ya wabunge waliokuwa nao ktk uchaguz wa 2005 bila kuhesabu uchakachuaj ulofanywa na magamba.
Kwa lugha nyingine magamba ushindi umepung ua ukilinganisha na 2005.
Sasa wewe mwenyewe fanya tathmini kama kweli wewe ni great thinker.

1,300,000,000 hawajapata Rais?

= For Nothing?

1,700,000,000 kwa wabunge 22 tu?

Hapa kuna ubadhirifu wa hali ya juu, na zile walizotumia baada ya kampeni kwa maandamano na kununulia magari mabovu mbona hajazitaja?

Kuchamba kwingi mwishowe utashika mavi.........Hii hoja dada yangu usiingilie tu kwa kuwa umeiona.Hapa tunajadili kwa manufaa ya taifa zima.Hebu kaa chini tafakari kisha jaribu kujiuliza CCM walitumia pesa zote zile ilhali sio halali kisa waishinde CHADEMA halafu baada ya kuishinda wanaendelea kuivuruga nchi maana lengo lao ni kuishinda CHADEMA na sio kuijenga nchi.

Tatizo watu kama hawa FF si wa kuwajibu,mnampa kichwa unaweza ukampa tusi ukala ban burwe

Back
Top Bottom