kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,066
- 1,535
leo nilikuwa ninapita pita jamiiforum nikaona post mmoja iliyokutanisha maoni ya wabwia unga wawili "samahani kwa maneno makali" lakini sina jinsi nyingine kuyaweka maana ni vijana, wenye madaraka makubwa ndani ya chama kiongozi na watoto wa vigogo wa chama hiko hiko ... na bila shaka wana fedha nyingi za EPA ambazo zinaendelea kuzunguka kwa kasi kubwa ndani ya mifuko ya makada wa CCM wanaoendelea kugawana na kujirusha wakijidai ni wawekezaji kwa faida ya chama ........
teyari maneno ya nape yameundiwa thread na watui wanachangia kwa bidii mnno....nape anadai Tanzania ina wenyewe, na wenyewe ni CCM....SHAME UPON HIS FACE!
SASA TUJE KWA HUYU KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA - MWIGULU NCHEMBA ambaye pia alikuwa mratibu wa uchaguzi CCM igunga. Yeye akasema walimu wanaposimamia uchaguzi wakumbuke kuwa wao ni watumishi wa serikali na endapo CDM isingesaidiwa na walimu basi CDM ingepata kura 1000!
huyu pia naye nachelea kusema kuwa ni mvuta unga, au mlevi wa madaraka, au amekosa dira and at any way he can not be OK upstairs....wanasheria hapa jamvini...huyu jamaa amekikosea CHADEMA, HALMASHAURI YA IGUNGA WATUMISHI WA SEREKALI NA SPECIFICALLY KADA YA WAALIMU, WATANZANIA WOTE, WANAIGUNGA NA JOSEPH KASHIDYE MGOMBEA WA CHADEMA.
rai yangu hapa ni kuwa maadhali mikanda ya TV ipo, basi huyu jamaa anapaswa kwenda mahakamani kuPROVE BEYOND REASONABLE DOUBT hiki anachokisema, na kama kweli kipo basi wahusika wachukuliwe hatua kali.....maneno ya kiVUTA UNGA kama haya yasipodhibitiwa hii tanzania itakuwa kichwa cha mwenda wazimu.........
ushauri wangu:
Chadema; mpelekeni mahakamani adhibitishe hili. kuwa you are not more that 1000 votes worth. liwe shauri tofauti na lile la tume....
CWT: mpelekeni mahakamani kwa kutishia ustawi wa walimu na uhuru wao wa kuwa na maamuzi
Halmashauri ya Igunga: mutake maelezo kupitia tume ya maadili ya uchaguzi igunga kuwa mnaajiri watu wasiojua wajibu wao......
polisi waliweza kumshurutisha yule mama aliwakashifu kuomba msamaha.....natumaini asasi za kiraia na kwingineko tusiiache hii NI MTAJI.....wanataka kufika pahala wadhani kuwa mtu ni lazima uwe mwanachama wa CCM by virtue of being mtumishi wa serekali.....tulikuwa huko tusirudi huko.... ni lazima tuseme no tena a big NO!!!!!!!!!!!