CHADEMA, Walimu mburuzeni kortini Mwigulu Nchemba

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
leo nilikuwa ninapita pita jamiiforum nikaona post mmoja iliyokutanisha maoni ya wabwia unga wawili "samahani kwa maneno makali" lakini sina jinsi nyingine kuyaweka maana ni vijana, wenye madaraka makubwa ndani ya chama kiongozi na watoto wa vigogo wa chama hiko hiko ... na bila shaka wana fedha nyingi za EPA ambazo zinaendelea kuzunguka kwa kasi kubwa ndani ya mifuko ya makada wa CCM wanaoendelea kugawana na kujirusha wakijidai ni wawekezaji kwa faida ya chama ........

teyari maneno ya nape yameundiwa thread na watui wanachangia kwa bidii mnno....nape anadai Tanzania ina wenyewe, na wenyewe ni CCM....SHAME UPON HIS FACE!

SASA TUJE KWA HUYU KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA - MWIGULU NCHEMBA ambaye pia alikuwa mratibu wa uchaguzi CCM igunga. Yeye akasema walimu wanaposimamia
uchaguzi wakumbuke kuwa wao ni watumishi wa serikali na endapo CDM isingesaidiwa na walimu basi CDM ingepata kura 1000!

huyu pia naye nachelea kusema kuwa ni mvuta unga, au mlevi wa madaraka, au amekosa dira and at any way he can not be OK upstairs....wanasheria hapa jamvini...huyu jamaa amekikosea CHADEMA, HALMASHAURI YA IGUNGA WATUMISHI WA SEREKALI NA SPECIFICALLY KADA YA WAALIMU, WATANZANIA WOTE, WANAIGUNGA NA JOSEPH KASHIDYE MGOMBEA WA CHADEMA.

rai yangu hapa ni kuwa maadhali mikanda ya TV ipo, basi huyu jamaa anapaswa kwenda mahakamani kuPROVE BEYOND REASONABLE DOUBT hiki anachokisema, na kama kweli kipo basi wahusika wachukuliwe hatua kali.....maneno ya kiVUTA UNGA kama haya yasipodhibitiwa hii tanzania itakuwa kichwa cha mwenda wazimu.........

ushauri wangu:

Chadema; mpelekeni mahakamani adhibitishe hili. kuwa you are not more that 1000 votes worth. liwe shauri tofauti na lile la tume....

CWT: mpelekeni mahakamani kwa kutishia ustawi wa walimu na uhuru wao wa kuwa na maamuzi

Halmashauri ya Igunga: mutake maelezo kupitia tume ya maadili ya uchaguzi igunga kuwa mnaajiri watu wasiojua wajibu wao......

polisi waliweza kumshurutisha yule mama aliwakashifu kuomba msamaha.....natumaini asasi za kiraia na kwingineko tusiiache hii NI MTAJI.....wanataka kufika pahala wadhani kuwa mtu ni lazima uwe mwanachama wa CCM by virtue of being mtumishi wa serekali.....tulikuwa huko tusirudi huko.... ni lazima tuseme no tena a big NO!!!!!!!!!!!
 
hizo ndizo rostam aliziita siasa uchwara.
rostam alizipiga wee zilipoingia anga zake akawa mbogo na uzuri wa siasa uchwara hazimwacghi hata mmoja katika hilo kundi uchwarana mimi nashauri chadema wachukue hatua.
 
huyo mwigulu kweli hamnazo bado anashangilia zile kura 3000? sie tulishasahau habari za igunga siku nyingi.Hajui mathara ya kuwakebehi walimu ndio maana namwita hamnazo.
 
Mpwa mbona bado sijaona neno kali ulilotumia hapo zaidi ya kuwaita majina wanayostahili? hata hivyo mimi ningewaita zaidi ya hayo uliyowaita wewe, tena wee acha tu nisije nikapata Ban hapa.
 
Makada maslahi kama Mwigulu uchaguzi mdogo kama huo ni dili kwao. Zile hela za wizi hazina auditing wakati wa kuhonga, amewapiga sana magamba wenzie ndio maana anawewesekea kwa walimu kuua soo kwani kela zilizotumika na kura walizopata haviendani.
 
No doubt in revolution party there is no manners, leaders & vision. What i see ir group of criminals, mannerless people and gangsters who are there to take Tz down.
 
Makada maslahi kama Mwigulu uchaguzi mdogo kama huo ni dili kwao. Zile hela za wizi hazina auditing wakati wa kuhonga, amewapiga sana magamba wenzie ndio maana anawewesekea kwa walimu kuua soo kwani kela zilizotumika na kura walizopata haviendani.

Hapo umenena. Tarehe 1 Oktoba siku moja kabla ya uchaguzi alionekana akitoka NMB Igunga na gunia mbili zimesheneni ngawira. Sidhani kama walikuwa na askari wa kuwasindikiza. Kama majambazi ya tz yangekuwa na akili wangekuwa wanataim tu kwenye chaguzi, wangevuna kirahisi sana.
 
Ndugu yangu najua Mwigulu amekuudhi unaongea kwa jazba na unatumia maneno unarudi kwenye ukweli. Unasema kama ni kweli walimu wapo waliokiuka wachukuliwe hatua naye ndivyo alivyo sema. Sasa ni kweli kijiji cha kaumbu na mwakwangu walimu waliwapa watu karatasi zikiwa tayari zimetikiwa. Mimi niseme tu Mwigulu hawi mvutaunga kwa kuitwa mvuta unga na hawi kilaza kwa kuitwa kilaza. Niliwambia kabla hajaenda igunga mkasema hivyohivyo, mimi nadhani wanajf huyu jamaa anatakiwa mkakati sio kumwita kilaza, the man is extremly smart na mimi sijaona kiongozi smart aina yake ndani ya CCM nikwambie ndugu huyu jammaaa nimchafuzi akipewa jukwaa anachafua kiasi kwamba watu wanaona cdm kama mavi vile. Kuna thread moja mtu alipost akasema jamaa anafaham kutumia mdomo wake, mimi nimepata kumsikia ni hatari sana. Pale igunga akina waitara walitangulia a month na walipita maeneo mengi ila alipopita Mwigulu watu wakabadilika. Kuna maeneo aliwambia watu wasimsikilize slaa akamchafua sana, amini slaa alipokwenda hakupata watu. Kwa hasira na kujifurahisha tunaweza kumwita jina lolote ila that boy sivyo alivyo ndio maana CCM imeongoza kura maeneo alikopita mh Mbowe na DR Slaa.sasa nasikia atakwenda mwanza na arusha anayebisha akamsikilize atajua ninachosema. Halafu nadhani kachanjiwa nini sijui akiongea watu wanatamani asimalize na wanafurahi kweli. Tukiendelea kumpuuza kuwa ni kilaza atatupiga na chaguzi zingine
 
Mwigulu jamani! Chupi ya watu, rudisha chupi ya mke wa watu. Huoni hasara kumwibia mke wa watu chupi. Mnachakachua hadi chupi!
 
Ndugu yangu najua Mwigulu amekuudhi unaongea kwa jazba na unatumia maneno unarudi kwenye ukweli. Unasema kama ni kweli walimu wapo waliokiuka wachukuliwe hatua naye ndivyo alivyo sema. Sasa ni kweli kijiji cha kaumbu na mwakwangu walimu waliwapa watu karatasi zikiwa tayari zimetikiwa. Mimi niseme tu Mwigulu hawi mvutaunga kwa kuitwa mvuta unga na hawi kilaza kwa kuitwa kilaza. Niliwambia kabla hajaenda igunga mkasema hivyohivyo, mimi nadhani wanajf huyu jamaa anatakiwa mkakati sio kumwita kilaza, the man is extremly smart na mimi sijaona kiongozi smart aina yake ndani ya CCM nikwambie ndugu huyu jammaaa nimchafuzi akipewa jukwaa anachafua kiasi kwamba watu wanaona cdm kama mavi vile. Kuna thread moja mtu alipost akasema jamaa anafaham kutumia mdomo wake, mimi nimepata kumsikia ni hatari sana. Pale igunga akina waitara walitangulia a month na walipita maeneo mengi ila alipopita Mwigulu watu wakabadilika. Kuna maeneo aliwambia watu wasimsikilize slaa akamchafua sana, amini slaa alipokwenda hakupata watu. Kwa hasira na kujifurahisha tunaweza kumwita jina lolote ila that boy sivyo alivyo ndio maana CCM imeongoza kura maeneo alikopita mh Mbowe na DR Slaa.sasa nasikia atakwenda mwanza na arusha anayebisha akamsikilize atajua ninachosema. Halafu nadhani kachanjiwa nini sijui akiongea watu wanatamani asimalize na wanafurahi kweli. Tukiendelea kumpuuza kuwa ni kilaza atatupiga na chaguzi zingine[/QUOTE

We bibi acha kujipendekeza, kama unampenda nenda kanywe nae chai, nyani we.
 
Back
Top Bottom