CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

Kwa hiyo akiongea mambo ya ukweli tayari kapoteza sifa:what: acha unafiki wewe, polisi lazima wajue wako kwa ajili ya nini sio kuegemea upande mmoja..!!

Acha kushabikia usichokijua,upuuzi aliufanya msigwa anaona ni wa maana badala ya kumkemea msigwa ili kuacha ujinga wake anabaki kuwapa kashifa polisi za kijinga,mwendawazimu
 
vyombo vya dola vikumbuke kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi mkuu.
 
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima

Msigwa ni mwendawazimu,tena mpumbavu kabisa ,yeye ameanda kikundi cha kuwapiga mawe watu na polisi, hao vijana wake wanafanya upuuzi huo wanakimbilia kwenye hotel aliyowaandalia kujificha,Leo anawapa shutuma polisi za kijinga,ajipimu kwa ujinga alioufanya then atambue propaganda za kijinga hazisaidi,
 
Mkuu na wanasiasa wajue kupanga vikundi vya kufanya hujuma kama akizozifanya msigwa kwa kuwadanganya watoto wa watu kufanya vurugu za kijinga huku akijua wanaopata shida ni hao vijana wasiojitambua, ni kuatarisha maisha yao,
 
Vyombo vya Dora wanasiasa wanaodanganya vijana wasiojielewa ili kufanya vurugu,na kuatarisha maisha ya vijana na amani ya nchi hii wachukuriwe hata,
 
Ukaona umequote cha maana sana hicho ndio kitu kinawanyima ccm kura siasa zenu za udini ukanda na ukabila watu wamewastukia kua ndio janja yenu ya kuendelea kuifilisi hii nchi

Kanywe kiroba, nakutajià wa kwetu CCM alafu nitajie wa kwenu tuone wanatoka kanda ipi . M/kitk mash, k.mkuu Kask, mgombea k.ziwa ..katika hizo hizo ngazi nitajie wa kwenu wanatokea kanda gani?
 
Msigwa ni mwendawazimu,tena mpumbavu kabisa ,yeye ameanda kikundi cha kuwapiga mawe watu na polisi, hao vijana wake wanafanya upuuzi huo wanakimbilia kwenye hotel aliyowaandalia kujificha,Leo anawapa shutuma polisi za kijinga,ajipimu kwa ujinga alioufanya then atambue propaganda za kijinga hazisaidi,

Kwanini msimkamate msigwa kama mlijua mapema kwamba yeye ndie alieandaa huo mpango.

Simpendi msigwa lakini sikubaliani na uvunjifu wa amani na matumizi ya nguvu kubwa ni vizuri kudhiti uhalifu kwa kumkata muhusika,na wala sio kutumia visasi vya panya road
 
Last edited by a moderator:

Habari ndiyo hiyo ukidhamiria kuleta fujo utakamatwa tu ata ukimbilie chini ya uvungu.

Mbowe anadai wao wanatufanyia favour watanzania akiwa kwenye mikutano yao huko ndani ya CDM eti wakiamua wanaweza ifanya dar Tahir Square ndio fikra zilizowajaa hawa vijana wakishasikiliza speech zilizojaa upumbavu.
 
Last edited by a moderator:
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima

m1.jpg m2.jpg m4.jpg m5.jpg

m6.jpg m7.jpg m3.jpg
 
Msigwa alipigwa plaster asije kumsema tena lwassaaaa sasa anashindwa aanzie wapi, na Mara hiii kwa Karebera mchezo umeisha mapeeeeema.

Yaan ukawa hawaeleweki kwa kwel. Wanasimamia nn ikiwa mafisadi wanayapokea tu kila cku.
 
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima
Khaa!! Mchungaji Msigwa naye amebadilika na kuwa na akili ya aina hii ?? Nilimuheshimu sana ila sasa Kapoteza sifa kabisa :glasses-nerdy:
 
Vyombo vya Dora wanasiasa wanaodanganya vijana wasiojielewa ili kufanya vurugu,na kuatarisha maisha ya vijana na amani ya nchi hii wachukuriwe hata,

Sikushangai kama hata dola ndo unakosea kuandika basi elimu yako ya chekechea ndo imekutuma!
 
Back
Top Bottom