CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,355
Reaction score
16,401
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima
 
Nadhani ni muda muafaka kwa Polisi kujitahidi kuwa NEUTRAL na hii itawasaidia sana kwenye kazi zao za kila siku.Kuegemea upande mmoja inaendeleza chuki kati ya watanzania ambao ni wa vyama vya upinzani.

Wawaangalie wenzao JWTZ,kwa kiasi kikubwa hawajihusihi kabisa kwenye mambo ya siasa.Wanatakiwa kuona watanzania wote tunahaki sawa.
 
Huyu mchungaji Msigwa amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
 
Jamani ni lini tena hayo?? Mbona mnaandika kama kwamba sote tupo Mlandege??
 
Tiutasikia Mengi Maana Mabadiriko Hayaepukiki na

CCM Wanasema watatoa vyote Ila Ikulu Haiwezi kwenda Kaskazini.
 
Huyu mchungaji Msigwa amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.

Ghosryder;
Kumbe ukiwa mtumishi wa Mungu ni ruksa kuvamiwa tuu na Polisi wakijisikia kuvamia?? Alikutwa akiuza bhangi ai nini?? Jamani, msilete za kuleta kwenye mambo nyeti
 
Nadhani ni muda muafaka kwa Polisi kujitahidi kuwa NEUTRAL na hii itawasaidia sana kwenye kazi zao za kila siku.Kuegemea upande mmoja inaendeleza chuki kati ya watanzania ambao ni wa vyama vya upinzani.

Wawaangalie wenzao JWTZ,kwa kiasi kikubwa hawajihusihi kabisa kwenye mambo ya siasa.Wanatakiwa kuona watanzania wote tunahaki sawa.

nadhani kuna hatua zaidi inatakiwa, mbona hii kusema polisi wabadilikwe, waache ni yasiku nyingi na haibadirishi kitu chochote!
 
Police badala ya kukamata wavuta bangi na majambazi wanakamata wanamabadiliko. Mabadiliko yakitokea watajificha wapi?
 
Msigwa ameshikwa vibaya mwaka huu. Ule mvurugano wa CCM ndani kura za maoni ambao ndio ulimpa ushindi mwaka 2010 mwaka huu, haupo tena. Upande mwingine anapambana na Chiku Abwao wa ACT WAZALENDO.
 
Hivi huwa polisi wanapatwa na kichaa gani? Hata kama ni maagizo mbona hawatumii weledi na stadi za kazi yao..
 
Jamani ni lini tena hayo?? Mbona mnaandika kama kwamba sote tupo Mlandege??

Kama ulisikia msigwa na wafuasi 62 wakamatwa na kulazwa rumande ndio siku tukio lilipotokea police hao walikuja tu bila kuitwa hotelini hapo
 
kimario;
Mabadiliko hayaji ka kwenda buchani kununua nyama. Yana machungu yake na mojawapo ni hilo. Kenyatta aliwekwa nguvuni karibu nusu ya maisha yake yote. Mandela je, msiogope jamani. Mtoto anazaliwa chini ya uchungu mkubwa lakini mama hufurahi na kusahau machungu yote anapomwangalia mtoto. Tutasahau tuuu
 
Msigwa ameshikwa vibaya mwaka huu. Ule mvurugano wa CCM ndani kura za maoni ambao ndio ulimpa ushindi mwaka 2010 mwaka huu, haupo tena. Upande mwingine anapambana na Chiku Abwao wa ACT WAZALENDO.

Endelea kuota tu msigwa labda wanairinga wambambie baasi lakini bila hivyo ccm mtasubiri sana iringa mjini
 
Nadhani ni muda muafaka kwa Polisi kujitahidi kuwa NEUTRAL na hii itawasaidia sana kwenye kazi zao za kila siku.Kuegemea upande mmoja inaendeleza chuki kati ya watanzania ambao ni wa vyama vya upinzani.

Wawaangalie wenzao JWTZ,kwa kiasi kikubwa hawajihusihi kabisa kwenye mambo ya siasa.Wanatakiwa kuona watanzania wote tunahaki sawa.

Ikiwa madai haya yatathibitika kuwa kweli basi imani kwa jeshi la polisi na CCM mbele ya wananchi itakuwa imeshuka maradufu. Na polisi watumie weledi wanapotekeleza majukumu yao na wakumbuke kuwa CCM haitakaa madarakani milele, siku itafika ambayo hao wanaonyanyaswa watatwaa madaraka sijui sura zao watazificha wapi.
 
nadhani kuna hatua zaidi inatakiwa, mbona hii kusema polisi wabadilikwe, waache ni yasiku nyingi na haibadirishi kitu chochote!

Tatizo ni wanasiasa na UHURU na HAKI za BINADAMU.
 
Inawezekana! Siwezi kushangaa maana hii si mara ya kwanza wanatuhumiwa ns wananchi kwa mambo hayo.
 
Back
Top Bottom