CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

Ikiwa madai haya yatathibitika kuwa kweli basi imani kwa jeshi la polisi na CCM mbele ya wananchi itakuwa imeshuka maradufu. Na polisi watumie weledi wanapotekeleza majukumu yao na wakumbuke kuwa CCM haitakaa madarakani milele, siku itafika ambayo hao wanaonyanyaswa watatwaa madaraka sijui sura zao watazificha wapi.

Dodoma,Bukoba na Iringa ni mikoa ambayo kwa sasa polisi wanatumiwa vibaya na wagombea ubunge wambao wengine bado ni mawaziri.

Dodoma wamemnyima mgombea waupinzani hata haki ya kufanya kampeni kwa UHURU,na kumweka ndani baaya ya kukasirika na kugombana na ASKARI polisi,ninajiuliza CCM kweli wanajua tupo kwenye siasa za vyama vingi???

Kama hiki kinaendelea je UCHAGUZI tutauita HURU na HAKI???
 
Endelea kuota tu msigwa labda wanairinga wambambie baasi lakini bila hivyo ccm mtasubiri sana iringa mjini

Tatizo wanaoongea hawawajui WAHEHE,hata pale NAPE alipokuwa anabwabwaja na kumtukana Msigwa asilimia 90 walikuwa hawajibu maswali yake,tena nafuu angefanya yale Mwakalebela,kama ni muhehe pia lakini Nape kule ni mtu wa kupita unamtukana mtu wa nyumbani,mh!!!!!!!!!sidhani kama ni rahisi kihivyo.Huwezi kuwagawa WANYALUKOLO kwa Tshirt na kofia.
 
Kama ulisikia msigwa na wafuasi 62 wakamatwa na kulazwa rumande ndio siku tukio lilipotokea police hao walikuja tu bila kuitwa hotelini hapo

Na ndiyo siku basi la Nganga lilipolala polisi na abiria kisa salamu ya CDM.Ni aibu kwa polisi wetu
 
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima

Hao wawake alikuwa anata kuwabaka yeye mwenyewe Msgwa sema tu kaibadilisha maneno, Police ndio walio ingilia kati na kuwanusuru hao wanawake
 
hao askari hawana ndugu wa Tanzania kweli? je hawana wake,dada au mama zao ambao wakifanyiwa vitendo hivyo itakuwa ghadhabu ilioje! !Daaa hii ni hatari
 
Polis uchaguz huu wanapewa laki tatu katkat ya mwez kama reshen..hii ni hongo
Wakumbuke kuwa wameacha ndugu zao vijijin wanaoteseka kwa kukosa huduma za kijamii
 
Ghosryder;
Kumbe ukiwa mtumishi wa Mungu ni ruksa kuvamiwa tuu na Polisi wakijisikia kuvamia?? Alikutwa akiuza bhangi ai nini?? Jamani, msilete za kuleta kwenye mambo nyeti

Kwanza kaandika uongo na sababu za kukamatwa zilielezwa wazi iweje atoe ushuhuda wa uongo!? Msigwa amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
 
Polisi wamepoteza uhalali wa kuwa jeshi la kulinda raia na mali zao.
 
Kama ulisikia msigwa na wafuasi 62 wakamatwa na kulazwa rumande ndio siku tukio lilipotokea police hao walikuja tu bila kuitwa hotelini hapo

Police hawangojei kuitwa pale kunapokuwa na kosa la jinai limetokea.
Ndio maana Fisadi wenu anasisitiza
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu.
 
Hao wawake alikuwa anata kuwabaka yeye mwenyewe Msgwa sema tu kaibadilisha maneno, Police ndio walio ingilia kati na kuwanusuru hao wanawake

Acha kulamba naniiiii ya mamako mbulula wewe.
 
kimario;
Mabadiliko hayaji ka kwenda buchani kununua nyama. Yana machungu yake na mojawapo ni hilo. Kenyatta aliwekwa nguvuni karibu nusu ya maisha yake yote. Mandela je, msiogope jamani. Mtoto anazaliwa chini ya uchungu mkubwa lakini mama hufurahi na kusahau machungu yote anapomwangalia mtoto. Tutasahau tuuu

Kenyata hakuwekwa ndani kwa ujinga kama waiofanya akina msigwa usipotoshe watu. Kwani nani aliwatuma wakafunge barabara eti ili wamzuie mgombea wa ccm?
 
Ukishangaa ya GWAJIMA utayaona ya MSIGWA. Wachungaji wa UKAWA ni shidaaaaa kura siwapi ng'ooooooo
 
Polisi wa Iringa sina imani nao kabisa hawakawii kuku Mwangosi!
 
Polisi wa Iringa sina imani nao kabisa hawakawii kuku Mwangosi!

Msigwa anachokoza police ili apate kiki ya kutokea na huruma kwa wana Iringa. Msigwa anajua sasa hivi hakubaliki kabisaa.
Msigwa out..!
 
Police hawangojei kuitwa pale kunapokuwa na kosa la jinai limetokea.
Ndio maana Fisadi wenu anasisitiza
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu.

Fikiri kwa kutumia kichwa wewe watu wana vikao vyao vya ndani police wanakuja kufanya nini kama sio uchokozi
 
Endelea kuota tu msigwa labda wanairinga wambambie baasi lakini bila hivyo ccm mtasubiri sana iringa mjini

Wewe tena? ningeshangaa usimtetee wa kwenu ila ndo hivyo tena, hatuchagui chama cha kikanda
 
Uzushi na UONGO WA MSIGWA ATOKE ZAKE UKO ANAONA ANANYANG'ANYWA JIMBO AFU ANATAPA TAPA MJINGA HUYOOO
 
Back
Top Bottom