marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Ni vyema ushahidi wa tukio hili viwasilishwe kwa bensouda ili wale waliohusika kwa kutuma na kutumwa wawajibike kwa makosa ya uvunjifu wa haki za binadam
Ukishangaa ya GWAJIMA utayaona ya MSIGWA. Wachungaji wa UKAWA ni shidaaaaa kura siwapi ng'ooooooo
Fikiri kwa kutumia kichwa wewe watu wana vikao vyao vya ndani police wanakuja kufanya nini kama sio uchokozi
Ikiwa madai haya yatathibitika kuwa kweli basi imani kwa jeshi la polisi na CCM mbele ya wananchi itakuwa imeshuka maradufu. Na polisi watumie weledi wanapotekeleza majukumu yao na wakumbuke kuwa CCM haitakaa madarakani milele, siku itafika ambayo hao wanaonyanyaswa watatwaa madaraka sijui sura zao watazificha wapi.
Msigwa alipigwa plaster asije kumsema tena lwassaaaa sasa anashindwa aanzie wapi, na Mara hiii kwa Karebera mchezo umeisha mapeeeeema.
Wewe tena? ningeshangaa usimtetee wa kwenu ila ndo hivyo tena, hatuchagui chama cha kikanda
Msigwa alipigwa plaster asije kumsema tena lwassaaaa sasa anashindwa aanzie wapi, na Mara hiii kwa Karebera mchezo umeisha mapeeeeema.
Acha kulamba naniiiii ya mamako mbulula wewe.
Nadhani ni muda muafaka kwa Polisi kujitahidi kuwa NEUTRAL na hii itawasaidia sana kwenye kazi zao za kila siku.Kuegemea upande mmoja inaendeleza chuki kati ya watanzania ambao ni wa vyama vya upinzani.
Wawaangalie wenzao JWTZ,kwa kiasi kikubwa hawajihusihi kabisa kwenye mambo ya siasa.Wanatakiwa kuona watanzania wote tunahaki sawa.
Kwanza kaandika uongo na sababu za kukamatwa zilielezwa wazi iweje atoe ushuhuda wa uongo!? Msigwa amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
Lakin tujifunze kutii amri bila shuruti..itatusaidia,kuliko kubishana na vyombo vya dola,tutaumia sana katika huu muda,hasa cc raia wa kawaidaKuwa mwanasiasa au kuonewa na police SIYO kupoteza sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu. Police walipe gharama zote za uharibifu walizosababisha
Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo
Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.
Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo
My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm
Source Tanzania daima
Huyu mchungaji Msigwa amepoteza sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
We mpumb@v kweli mpumb@v big time