Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
Mwakarebera kafunga kazi, eti Msigwa anawazuia watu wasinywe maziwa ya ASAS ..hii si chuki hii?
Mwakalebela ana husika vipi na maziwa ya ASAS?
Mwakarebera kafunga kazi, eti Msigwa anawazuia watu wasinywe maziwa ya ASAS ..hii si chuki hii?
Na ni Muda muafaka pia kwa vyama vya siasa kujikita katika maadili ya kampeni pia.
Maswala ya kuhamasisha fujo na kuzomea misafara ya wapinzani wao sio jambo la busara.
Tulishatoa rai sana hapa jukwaani napo tukaishia kubezwa
Acha kushabikia usichokijua,upuuzi aliufanya msigwa anaona ni wa maana badala ya kumkemea msigwa ili kuacha ujinga wake anabaki kuwapa kashifa polisi za kijinga,mwendawazimu