CHADEMA wako out of touch ndio maana hawawezi kushinda!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Ni wazi chadema mpaka leo hii ingawaje wamekuwa kwenye Siasa kwa muda sasa lkn bado hawaelewi jinsi ya kushinda Uchaguzi TZ na mambo gani ambayo huwafanya Watanzania wakichague Chama fulani!

Sasa hivi wamejikita kwenye Uchumi sijui mara CRDB wamepata hasara hapa mara sijui fedha mtaani hakuna, ngoja niwaambie mimi siyo political scientist lkn najua kwamba Mtanzania hapigi kura kwa kutegemea hali ya Uchumi, hata kama CRDB au sijui Benki gani, nini kupata hasara wakifirisika kabisa na kufungwa bado hakutakuwa na kura za kuindoa CCM Madarakani kwani wapiga kura wa TZ wako vijijini na huko maisha ya Mwanakijiji hayaathiriwi na hali Uchumi kama Benki inafungwa au haifungwi kama Meli zinajaa au hazijai Bandarini hilo halimfanyi Mtz kutokuipigia kura CCM kama ni hivyo basi Mlm.Nyerere angekuwa the most unpopular hapa Bongo lkn wapi ...

Hivyo fikirieni tena angalau Slaa alielewa kwa kiasi fulani na alikuwa anakwenda vizuri, lkn waliobakia wote ni wa kuombea Mungu tu, ni wajinga kama giza!
 
We endelea kuwananga CHADEMA ila ujue kwamba wabunge wa CCM washamshtukia baba Jes.ca. Hivi umemsikia mbunge wa jimbo la Msolwa? "Chuma chikoli moto" watu wamechoka kusifia upuuzi.
 
Hiyo mbona ni kawaida au haujui kazi ya Mbunge? Nikukumbushe Wabunge hao hao wa CCM walichachamaa mpaka baadhi ya Mawaziri walifukuzwa kazi lkn mbona CCM iko intact? Wabunge wa CCM walichachamaa wkt wa EPA, escrow &Co. mbona CCM bado iko vile vile hata fisadi Lowasa alivyoahidi kuondoka na Wabunge 150 lkn alishindwa, hivyo usiwekeze kwa Wabunge wa CCM ukidhania kwamba wataitosa CCM, utakuwa unajidanganya!
 
Ni wazi chadema mpaka leo hii ingawaje wamekuwa kwenye Siasa kwa muda sasa lkn bado hawaelewi jinsi ya kushinda Uchaguzi TZ na mambo gani ambayo huwafanya Watanzania wakichague Chama fulani!

Sasa hivi wamejikita kwenye Uchumi sijui mara CRDB wamepata hasara hapa mara sijui fedha mtaani hakuna, ngoja niwaambie mimi siyo political scientist lkn najua kwamba Mtanzania hapigi kura kwa kutegemea hali ya Uchumi, hata kama CRDB au sijui Benki gani, nini kupata hasara wakifirisika kabisa na kufungwa bado hakutakuwa na kura za kuindoa CCM Madarakani kwani wapiga kura wa TZ wako vijijini na huko maisha ya Mwanakijiji hayaathiriwi na hali Uchumi kama Benki inafungwa au haifungwi kama Meli zinajaa au hazijai Bandarini hilo halimfanyi Mtz kutokuipigia kura CCM kama ni hivyo basi Mlm.Nyerere angekuwa the most unpopular hapa Bongo lkn wapi ...

Hivyo fikirieni tena angalau Slaa alielewa kwa kiasi fulani na alikuwa anakwenda vizuri, lkn waliobakia wote ni wa kuombea Mungu tu, ni wajinga kama giza!
Tulia ikuingia unarukaruka nini.
 
Ata Magu alikosea siwezi kumfananisha na maMvi, bado yupo kwenyenjia sahihi na panapo majaaliwa 2020 kama kawa.
 
Back
Top Bottom