Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.
Mkuu tujulishe yupo viwanja gani mie nipo njombe na ninatamani kuhudhuria pia
Ndugu wadau kuna mkutano wa cdm hapa mjin hv sasa.crew nzima ya cdm,mbowe zito,sugu nk na rais wangu wa moyon dr wa ukwel dr slaa yupo hapo.anamwaga mambo.ila kabla mkutano haaujaanza ulitumwa mizinga miwili ya nyuki uwanjani.ila wananchi wenye utaalaam wao sawa na hao walituma wamewahamisha.
Asante sana kwa hii taarifa. Hao wanaccj si alisema wapo sita, mbona majina matatu tu!!!!!???
Mpenda zoe yupo jukwaan hv sasa.anaelezea kuhusu ccj na kufa kwake.ametoa list ya vigogo waliokuwa waasisi kutoka ccm na waliokuwa wajitoe ccm.yupo sita,mwakyembe na nape mnauye.
Asante sana kwa hii taarifa. Hao wanaccj si alisema wapo sita, mbona majina matatu tu!!!!!???