ChrisMsofe
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 164
- 84
Mkuu mpaka Hapo ulipo CCM walisha kuvua nguo sema wewe tu hujioni ila nakushauri urudi nyumabani na ujitazame kwenye kioo upya uone kama bado hawajakuvua nguo? Najua hapo unajiona umevaa nguo lakini kama wewe ni GT wa kweli utajua uko uchimkuu, mi chadema ikishinda kalenga nitatembea uchi kariakoo, watu wa kalenga sio viazi kama wa arusha.