CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

Hivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
machifu wana baki walewale wala siyo kuwa yeye ndiyo anakuwa chifu wao ni heshima tu ya urais na kuwa kama mshauri wao hata lissu alishawahi kusimikwa kuwa chifu je anafanyakazi za uchifu?

Mnyika alipewa uchifu je anafanya kazi za uchifu mbowe alipewauchifu abubakar je anafanya kazi za uchifu? ile ni heshima tu kwa mtu kama kiongozi maleale mkuu wa machifu na aliyemsimika rais ni makamu wake kwahiyo hizo nafasi zina viongozi wake
 
Back
Top Bottom