Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Mimi sio mwana CCM.. mimi ni Mtanzania.. I do not condone the perpetuation of CCM's rule to the detriment of the people pf the Republic. CCM imeoza.. it needs to be revamped or replaced... Both of which are difficult.. the people in power.. (government and legislature and even some elements of the judiciary) are of the opinion that things are fine and change will not happen.. Kureplace CCM is a joke because hakuna any better alternative.. its like two different types of cancer.... they have different characteristics but all kill.. Parliamentary democracy hardly works in rich conutries let alone in poor countries with lack of adequate education. Tutakuwa kama Kenya, where an elite will develop... entrench itself and RULE everyone else.. Revolutions may come and go but they will just create a new elite..(history has proven this countless times).. SO the oposition in their current form and capacity is a joke.lol They cant even demonstrate democracy in their own internal systems.lol.. or good governance therein. Wataweza nchi?
So my Hon. Friend "Kwikwikwi" right back at you... although I do not see the humour in the current state of turmoil that my country is placed in bu the CCM regime or the overly theatrical attempts by opportunistic persons to overturn this problem without once addressing the real issues. PLEASE.. CHADEMA, CCM,CUF whatever u call them.. they are symptoms of the same disease.
Nafikira hii niliiaddress kwa MJJ.
Au MJJ ndiye Mwafrika wa Kike??
___________________________________________
mzee mimi ni mtu mmoja; nachangia ninachochagua na natolea maoni ninachoamua. Sasa nikiamua kutochangia pia ni uamuzi wangu. Nafuatilia hoja zako na endelea kuzijengea hoja siyo kila mtu achangie. Nafurahishwa na hoja zako zisimamie tu kwa nguvu na mimi kutochangia kusiwe tatizo. Nimeshatoa msimamo wangu kuhusu mada yako. Nadhani tunaelewana au hadi nijitokeze kulaani ndio hoja yako itakuwa na nguvu?
Bibie MwK,
Then, kama huna la kutusimulia, tafadhali sana kaa kimya. Ukikaa kimya tutashukuru sana ili wale wenye bongo zao zilizotulia kama,FMES, MJJ, Savimbi n.k., waendelee na mjadala. Kumbuka, you can prove your worth with your actions, not with a foul mouth.
UMEULIZWA KWA JINA LA MWANAKJJJ NA UNAJIBU NA MWAFRIKA WA KIKE. NAKUULIZA ILIKUWAJE UKATIMULIWA BBC ULIPOOAMBA SUALA LA UKRAINE?Kwani ulizuia kuwa wengine wasikujibu? kama ni hivyo si ungeandika PM kwa Mkjj?
Mkuu MJJ,
Nakubaliana na uamuzi wako na siwezi kukulazimisha maana ndio upungufu wa Demokrasia wakati mwingine. Lakini nitashangaa na labda kusikitishwa sana kama utaacha kuchangia. Hili kwa maoni yangu, ni suala ambalo linahitaji kuchukuliwa hatua na wana-JF kwa ujumla, kwani inaelekea uhuru na usalama kwa wale wanaojulikana, k.m. Kitilya, unaweza kuwa hatarini.
Once again, I need to hear from you, MJJ and the Moderator.
KJ
achana nae huyu pimbi Mwwanakijiji alisema nimemkimbia lakini leo anajibu na jina lingine la kike ili apate SYMPATHY ya wana JF? huo ni utapeliwa wa kutumia gender ya kike kupenyeza sera za NGO yao.
Kwani ulizuia kuwa wengine wasikujibu? kama ni hivyo si ungeandika PM kwa Mkjj?
Do you need something to drink?
Bibie MwK,
Yes! and Thanks. I'll be waiting for MJJ, the Moderator and those with brains.
.......
Your lack of insight or response to my arguments demonstrate ur true nature... An outspoken radical, the kind that history ridicules, the kind that seldom achieves any real CHaNge.. maybe u need a wakeup CALL and then Breakfast... coffee maybe. Ulitaka hoja hiyo ndio hoja yangu... chadema is a joke.. so is ccm.. tujadili matatizo ya kweli yanchi yetu... assuming you care that is!
KJ, nadhani uamuzi wa maana ni wewe kuwauliza Chadema kwanini wamemtaka huyu dada kuacha kutumia signature hiyo na ni msingi gani uliwafanya wafanye hivyo na unaweza kuwaambia unapinga kitendo hicho.
Zaidi ya yote, unaweza kumshawishi dada huyo kurudi na kutumia hiyo signature as an act of defiance. Sidhani kama Chadema au yeyote aliyemuambia asitumie alikuwa amemshikia bunduki kisogoni.
Naelewa concern yako, lakini la maana ni wewe kuwaandikia au kuwapigia simu watu wa Chadema na kuuliza kama ni kweli walifanya kinachodaiwa na kama ni kweli basi waambie kuwa ni kitendo cha kidikteta n.k n.k
Usisubiri watu wengine kufanya kile ambacho wewe mwenyewe unaweza.
:Namba ya Erasto Tumbo: 0713 474707 (PR)
: Namba ya Ali Chitanda : 0717 996604
Natumaini itakusaidia. Namba za viongozi wengine zinapatikana kwenye Chadema.net miye nimeclick tu nikazipata.
Natumaini hiyo itakusaidia katika kutafuta suluhisho muafaka la suala hili na hasa kiini na ukweli wake.
Kila la heri.
M. M.
Mkuu MJJ,
__________________
- Inaonekana kama vile unakwepa kulijadili hili la CHADEMA kuingilia JF, lakini kwa upande mwingine naona, naona umekuwa active kwenye kujadili yaliyoifika Mwanahalisi. Nafikiri chariti inaanzia nyumbani kiasi cha kunipa kunitia wasi wasi wa jinsi tunavyoacha kuhangaika na ya kwetu. Hii inaleta maswali mengi na kwa kweli inasikitisha.
- Pia sidhani kuwa hili tunahitaji kuwauliza CHADEMA. Hili ni kwa sisi kulijadili hapa hapa na labda kupata maelezo toka kwa CHADEMA. Ikibidi tuli-condemn na kuwataka waombe msamaha. Asha ni muathirika kwenye hili na inaelekea hana nguvu ya kupambana na wakubwa wake, na ndio maana inabidi JF iingilie.
- Hili si suala la individuals, kama JF imeingiliwa inabidi sote tushiriki kuilinda. Kwa hiyo, ingawa nashukuru kwa hizo contacts ulizonipa, lakini nafikiri ingekuwa vema kupata mchango wako, moderator na wengineo ili tukajadili yale niliyouliza hapo awali, tujue hatua gani ya kuchukua, hasa baada ya wewe pia kuona kuwa huo ulikuwa ni udikiteta.
Mwanakijiji
Asante sana jamani kwa hiyo namba ya simu. Nimezungumza na ofisi ya Bwana Tumbo wamesema wao kama chama hawajakataza chochote. Namwandikia email huyu mtu aliyesema kuwa ni msemaji wa CHADEMA anieleze imekuwaje. Asipoweza kunipa majibu ya kueleweka niweka wazi email yake aliyoniandikia wiki jana
Asha
Very simple kwani huyo mtu aliyekutumia email ametumia email ya CHADEMA au binafsi, CHADEMA wana msemaji?
Kama katumia email binafsi basi kuna walakini.
Mkuu MJJ,
__________________
- Inaonekana kama vile unakwepa kulijadili hili la CHADEMA kuingilia JF, lakini kwa upande mwingine naona, naona umekuwa active kwenye kujadili yaliyoifika Mwanahalisi. Nafikiri chariti inaanzia nyumbani kiasi cha kunipa kunitia wasi wasi wa jinsi tunavyoacha kuhangaika na ya kwetu. Hii inaleta maswali mengi na kwa kweli inasikitisha.
- Pia sidhani kuwa hili tunahitaji kuwauliza CHADEMA. Hili ni kwa sisi kulijadili hapa hapa na labda kupata maelezo toka kwa CHADEMA. Ikibidi tuli-condemn na kuwataka waombe msamaha. Asha ni muathirika kwenye hili na inaelekea hana nguvu ya kupambana na wakubwa wake, na ndio maana inabidi JF iingilie.
- Hili si suala la individuals, kama JF imeingiliwa inabidi sote tushiriki kuilinda. Kwa hiyo, ingawa nashukuru kwa hizo contacts ulizonipa, lakini nafikiri ingekuwa vema kupata mchango wako, moderator na wengineo ili tukajadili yale niliyouliza hapo awali, tujue hatua gani ya kuchukua, hasa baada ya wewe pia kuona kuwa huo ulikuwa ni udikiteta.
Ametumia email ya gmail, ila ameandika chini jina lake kuwa ni afisa, kurugenzi ya habari na uenezi
Asha