kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 784
- 531
Hapo umetuma mkutano wa chadema wa maandalizi tunaomba wa ccm basi maana umesema wa maccm ulijaza watu tunaomba na picha yao
Kucheka na kufurahia kifo Cha magufuliChadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Kumfaliji mgonjwa ni Moja ya Tiba endereeni kufalijianaChadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Kweli kazi ipo. Yaani kuna Mtu alikuwepo Mwanza, Musoma, Tarime, Temeke na Leo Singida Ila Mtu Huyo ni MwanaCCM.Kazi ipo!
Wanachama wenzangu wa CCM by MboweKweli kazi ipo. Yaani kuna Mtu alikuwepo Mwanza, Musoma, Tarime, Temeke na Leo Singida Ila Mtu Huyo ni MwanaCCM.
Unaweweseka kama NGUCHIRO!!Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Nasikia harufu ya sidiria chafu hapa[emoji40][emoji40]Mbona wewe ndio umetukana JPM Shanzi taipu. Nani ashindane na hayawani na ibilisi Kama yule. Kataka kumuua Lissu kafa yeye. Umeumia Lissu kupokelewa na watu wengi? Na bado.
Hizi hapaHapo umetuma mkutano wa chadema wa maandalizi tunaomba wa ccm basi maana umesema wa maccm ulijaza watu tunaomba na picha yao
Hapo ni saa mbili? Nilikuwepo eneo la tukio, Hadi aibuKama kawaida yako unaleta picha za saa mbili asubuhi kujifurahisha. Kwa Nini unakwepa picha za Lissu wakati anapokelewa na umati. Mwanza na Musoma ulisema hivyo hivyo.