Black chinnes
Member
- Jul 28, 2015
- 9
- 0
Nimeamini kuwa siasa za africa ni za kinafiki tu,huwezi amini huyu lowasa leo wanampaka mafuta uzuri eti msafi hana dhambi! Ya ufisadi?ama kweli haya ni maajabu ya musa
Kwa jinsi profile ya Magufuli ilivyo kubwa, itakuwa ngumu sana kwa Lowassa kusimama mbele ya Magufuli...watu wataishia kula pesazake tu
Nimeamini kuwa siasa za africa ni za kinafiki tu,huwezi amini huyu lowasa leo wanampaka mafuta uzuri eti msafi hana dhambi! Ya ufisadi?ama kweli haya ni maajabu ya musa
Nimeamini kuwa siasa za africa ni za kinafiki tu,huwezi amini huyu lowasa leo wanampaka mafuta uzuri eti msafi hana dhambi! Ya ufisadi?ama kweli haya ni maajabu ya musa
Hamia ULAYA Siasa za Afrika ngumu KAMANDA!
kakojoe ulale huna lolote