1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 611 Mar 15, 2012 #21 Mungi said: Yupo Kamanda nimewasiliana naye Muda mfupi ujao atarusha picha humu Click to expand... Thanks kiongozi!
Mungi said: Yupo Kamanda nimewasiliana naye Muda mfupi ujao atarusha picha humu Click to expand... Thanks kiongozi!
commited JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 1,622 Reaction score 872 Mar 15, 2012 #22 Karibu mkuu, ila jitahidi upige vipicha kidogo utupie hapa, ili tutathimini unachotwambia. ;lakini watu wa maeneo hayo wanakadi za kupigia kura?? Maana zisije kuwa tayari zimeshachukuliwa na wauaji wa wapenda maendeleo.
Karibu mkuu, ila jitahidi upige vipicha kidogo utupie hapa, ili tutathimini unachotwambia. ;lakini watu wa maeneo hayo wanakadi za kupigia kura?? Maana zisije kuwa tayari zimeshachukuliwa na wauaji wa wapenda maendeleo.