Chadema Waishukuru Polisi

Mliojiunga JF mwaka huu ,mmekuja na maajabu :loco: Nina wasiwasi wengi wenu ni mataahira !
 
Mliojiunga JF mwaka huu ,mmekuja na maajabu :loco: Nina wasiwasi wengi wenu ni mataahira !

Mkuu Mwiba umetumia kinywaji chochote kikali kabla ya kuandika topic hii.
 
Mwiba,
Matatizo yako tuyaite "CHADEMA Shock"; umekuwa mwoga sana na Chadema, na wasiwasi wako mkubwa ni ile growth ya Chadema, yaani baada ya miaka 5 tu imeifunika CUF, in more than five years sijui itakuwaje, kwa taarifa yako utapata ugonjwa wa moyo kwa kujilinganisha na kubeza Chadema. Growth ya CUF ishakwisha, PEMBA ni sawa na Mkoa wa Ilala au nusu yake; na Zanzibar CUF isha-fikisha limit.

Fikiria CHADEMA itazidi kukua Bara kote, ARUSHA ni mojawapo ya stragetical places Kilimanjaro, sasa hujaenda Mwanza, Mbeya, Iringa, Bukoba, Tabora, Shinyanga, Mara kote huko. Usibeze jabari> Your Shoch is imminent, I can see it and I understand you, but you are wrong because you're showing your true weakness!

Kama alivyosema Dr. Slaa viongozi wa CCM karibu nusu ni Chadema, and they feel it, you can see them, the only issue they are afraid of is their bread, because most of them are paid by CCM. Wapo kwenye payroll ya CCM.

You have to read the TIMES!! CHADEMA is a big shoch to both CUF and CCM. Kama kweli CUF mngekuwa genuine ilibidi mfurahie CHADEMA na maendeleo yake.
 
upuuzi huo!hatuangalii upo na nani!tukuamini vipi?me nikiamua kusema nipo na IGP anasema walitumwa na JK utabisha?wizi mtupu!leta kitu cha uhakika usitufanye watoto!umeniharibia jioni yangu.huna nidhamu!
 
Tangu lini habari za kipelelezi zinaandikwa au kutangazwa. Poor tanzanian kuna kina kitu kinaitwa top secret, secret na confidencial. Watanzania tunajifanya wajuaji sana. Lazima serikali ionye kuwa ipo. Upole wa rais ndio unafanya mambo yote haya kutokea. Jf you work much on news from media than evidence as wikileaks do. No research no right to say badilikeni.
 
Muulize basi ni nini basi ambacho kingetokea na utueleze ili uwafunge midomo wanaopingana na wewe!
 
CCM HOYEEE. they know how to use the present katiba
 
uko na mkuu hapo pembeni hebu mwulize hizo habari zilikuwa ni zipi na kama wanahisi kuna kikundi kingejichomeka kwanini hawakuwakamata au hawa kuwa na uweyo wakuyuia badala yake ni kuzuia mkutano na maandamano halali ya cdm...siamini kama unalicho kiandika kimetoka hakilini mwako au wamekuwekea gun maana huwa sioni ujinga kama huu kutoka kwako..
 
Mambo yapo mahakamani hatuwezi kuingilia kati,ila kama upo nje ya nchi basi tega sikio na tupia macho JF kila wakati ,tupo mbioni kuyatafuta ,Chadema walitaka kuichafua Arusha.
Mnayatafuta wapi?
 

Lete hizo habari na taarifa za kiintelijesia sio maneno matupu, hii itakusaidia husionekane wewe sio siMWEMA, pia itatusaidia kuchambua bumba na mchele
 
Hebu muulize huyo 'mkuu' tena wa 'ngazi za juu kabisa' kuwa watu hao waliouawa na polisi ndio walikuwa chanzo cha hicho 'kitu' kilichotakiwa kitokee? Ni kitu gani kikubwa hivyo mpaka kusababisha kutoa roho za watu hao. Kama walikuwa wanataka kufanya uhalifu, ni kitu gani kilichowazuia polisi wasiwakamate? Au polisi walizidiwa nguvu na hao marehemu kwa sababu walikuwa nao pia na silaha nzito za kivita, mabomu na kadhalika? Hebu tujulishe Mkuu, maana inaelekea wengi wetu humu jamvini hatuna uwezo wa kupata habari nyeti kutoka kwa 'wakuu wa ngazi za juu kabisa'!
 
Wewe mwiba acha kutujaza pumba zako wewe na huyo unayemwita kiongozi wa ngazi za juu. Ulimwengu unafahamu mchawi nani wewe bado tu umetumwa nini? Mimi nasema wangempiga mama yako hata iwe kwa bahati mbaya usingekuwa unayazungumza haya. Kaa utafakari sio kukurupuka tu. Eti tuache jazba wewe ndio uache kutawala akili na fikra zetu.
 
Mambo yapo mahakamani hatuwezi kuingilia kati,ila kama upo nje ya nchi basi tega sikio na tupia macho JF kila wakati ,tupo mbioni kuyatafuta ,Chadema walitaka kuichafua Arusha.

Tulitaka na lazima tuisafishe kuondoa uchafu wote wenye lebel ya ufisadi!Mngekua na ushahidi msingebaki kujiuma uma...sheria ingeshafuata mkondo wako!!Mlitegemea kuaibisha CDM ila mmecheza karata zenu vibaya imebaki kua aibu yenu!
 
hamnazo anataka kujaribu kuendesha basi abiria hatari tupu
 
Naogopa kuongea nttambiwa nachochea vita ndani ya jf
 

Wewe tumia akili km Mwema ndo kasema wana taarifa za ki intelijensia na yeye ndo bosi kuna askari gani wa kumpinga Boss,tambua kuwa police Tz ni CCM B ingawa kwa askari wadogo ni utumwa cwezi kuwalaumu sana,alafu kuna watu wameibuka kipindi hiki cjui mmetumwa...? ! SHAME ON U.
 
Naama Mwiba, Maalim Seif anaendeleaje na mnofu wa ngurue alioamua kuisaidia CCM kutafuna huko yakhe?
 
Mkuu gani huyo? wote ndo wale wale Umetumwa wewe, kamwambie aliyekutuma hujakuta alichotegemea!!!!
 
Ni ujinga mtupu hakuna intelenjisia wa nini UJINGA mtupu, Kiufupi mwema katumika kisiasa bila kujijua, ameshachafuliwa CV yake ndo anakuja kushituka, Hii kitu alichofanya ARUSHA kitamuumiza maisha yake yote. Huwezi kumfanyia mwenzio kitendo cha kinyama alafu utegemee utaishi maisha yako yote bila upumbavu uliofanya usikurudie.All in All ipo siku kibao kitageuka kwa CCM na wataiona TANZANIA CHUNGU, Siku hiyo INAFIKA NA WALA HAIPO MBALI kama ile siku ya kumsubiri YESU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…