CHADEMA waipigia kura CCM

............. Hivi Halmashauri ya Moshi Vijijini iko Kilimajnaro...???? Peoplesssssssssssssssssssss..............
 
Mkuu nadhani hapa akina Juma Duni, Mtatiro na wengineo watapata neno la kusema! CDM na CCM vimeungana kuiangusha TLP.

CCM waliungana na CUF; CUF wakaitwa CCM-B na sasa CCM wameungana na CDM basi hakika na CDM kwa huko Moshi watakuwa CCM-B (au C kwa kuwa B ilishachukuliwa na CUF).

Kwa kifupi hapo CDM wamekosa ukomavu wa kisiasa yaani afadhali CCM ipate kuliko mpinzani mwenzao kupata!! Hakuna upinzani hapa bali maslahi binafsi.

Hizi ni dalili za kuendelea kwa utawala wa CCM!
 
Ritz,

Ukitumikisha akili yako kidogo tu utagundua mambo mawili katika taarifa hii.
a) Kuwa haiko kamili. CCM kashinda kwa kura 24 kati ya 44 lakini TLP kapata kura 17. Kura 3 ziko wapi. Je unajua katika hizi kura 44 kila chama kina viti vingapi ili tuone hiyo defection ya CDM unayoizungumzia?? Huoni uwezekano kuwa TLP ndio wanaweza kuwa wameipigia CCM kura? Mbunge wao na CCM sote tunamjua!
b) Makubaliano ilikuwa ni kuiunga mkono CDM baadaye TLP wakaweka mgombea. Kwanini usidhani TLP siye mpinzani wa kweli na badala yake unadhani ni CDM?
c) Tuondoke kwenye siasa za chuki za vyama. Hata kama walimuunga mkono CCM. Yawezekana pia kuwa alikuwa na uwezo wa kutimiza mahitaji ya kazi anayogombea kuliko wa TLP.

Ukijifunza kufikiri kila mara kabla hujatoa comment a) comments zako zitapungua kwa idadi b) utazungumza mambo ya maana. Haitakuwa ni kurukia kila kitu unachokiona. Haiwezekani kuwa wewe una comments za kila jambo.

A jack of all trades is a master of none!!!
You are a GT. Tunataka data za idadi ya madiwani na vyama vyao, tusijadili hovyo hovyo tu. Umechambua superb
 
after all kura ni za siri wamejuaje kuwa CHADEMA walipigia CCM ??

Mkuu naona ngumu kumeza Chadema walimuondoa mgombea wao kwa makusudi wagombea wakabakia wawili CCM na TLP jiulize kura za Chadema zilikwenda wapi? Na kwa nini Chadema walimtoa mgombea wao?
 
hatujawekewa wazi chanzo hasa cha mvutano wao. Hivyo kinachoendelea hapa ni porojo zaidi
 
Vyama haviwezi kuungana kama havina itikadi na manifesto angalau inayofanana! kuungana tu ili mradi kuondoa chama tawala madarakani hakuna maana mfano Raila aliungana na Mwai kibaki kuoindoa KANU then what followed? walitengana na uchaguzi uliofuata wakauana kuliko hata wakati wa KANU, so vyama viungane kama vinafanana itikadi na sera!!

Acha kuleta porojo tunaongelea mambo ya Moshi wewe unaleta stori za Kenya...jibu swali kwa nini mgombea wa Chadema Alex Umbela alitangaza kujitoa na kumuachia mgombea wa CCM kushinda na Chadema kumpigia kura mgombea wa CCM na kumtosa mpinzani mwezenu kutoka TLP.
 
Kusema ukweli CDM imeonyesha uzaifu afadhali wangeamua kutompigia yoyote. Na kwanini huyo bwana wa CDM alijitoa si afadhali angegombea?au aliona kina nikirefu hatashinda?
 
Kusema ukweli CDM imeonyesha uzaifu afadhali wangeamua kutompigia yoyote. Na kwanini huyo bwana wa CDM alijitoa si afadhali angegombea?au aliona kina nikirefu hatashinda?

Hakuna udhaifu mkuu ni kutafuta ndoa kwa nguvu tu.
 
Kumbe hata huko nyumbani hawajajipanga vizuri. Wanakimbilia Arusha, na sijui kama 2015 Chama chetu cha Chadema kama kitakuwa hai. Tuungane tujenge Chama chetu. Siyo vizuri kufagia uchafu nje huku ndani hapakaliki.

Afande nashukru, aaaa samahani Kamanda pamoja sana

poor reasoning,bila shaka na ww utakuwa unataka upate nafac ya kutoa maoni ya kuunda katiba mpya if yes then that is terrible ndo mana bado nchi ni ombaomba
 
Siyo Nchi tu hata Vyama vy Siasa. Tutaongea yote mwishoni changia Chama kwa ulaji wa wachache
 
Vyama haviwezi kuungana kama havina itikadi na manifesto angalau inayofanana! kuungana tu ili mradi kuondoa chama tawala madarakani hakuna maana mfano Raila aliungana na Mwai kibaki kuoindoa KANU then what followed? walitengana na uchaguzi uliofuata wakauana kuliko hata wakati wa KANU, so vyama viungane kama vinafanana itikadi na sera!!

Mkuu kwani itikadi ya CDM na TLP ni tofauti? Ila sijasema kuungana na kuwa chama kimoja bali kushirikiana katika kuondoa chama tawala madarakani.

Raila unayemsema hivi sasa anataka kushirikiana na adui yake mkubwa bwana Ruto ili wapate ushindi!
 
We are poorly informed on the background. Kikubwa tusiwe kama Gadaffi ndo maana alikufa. Ukisikia watu hawakutaki achia mzigo. Kuna watu are very rigid, they don't like to change.

Mpaka 2015 ndo mtaanza kukimbilia kwenye mitaro. It will be about to impossible.
 
Back
Top Bottom