CHADEMA waipigia kura CCM

Mkuu kwani itikadi ya CDM na TLP ni tofauti? Ila sijasema kuungana na kuwa chama kimoja bali kushirikiana katika kuondoa chama tawala madarakani.

Raila unayemsema hivi sasa anataka kushirikiana na adui yake mkubwa bwana Ruto ili wapate ushindi!
kimbunga usiwe mvivu kufikiria, tafuta manifesto ya TLP ulinganishe na ya CDM utajua kama ni tofauti au zipo sawa!mkisharkiana mkishakiondoa then ni sera zipi zitzongoza nchi za chadema inayotaka serikali za majimbo au za tlp inayotaka serkali tatu lakini chini muundo wa sasa wa mikoa??
 
Acha kuleta porojo tunaongelea mambo ya Moshi wewe unaleta stori za Kenya...jibu swali kwa nini mgombea wa Chadema Alex Umbela alitangaza kujitoa na kumuachia mgombea wa CCM kushinda na Chadema kumpigia kura mgombea wa CCM na kumtosa mpinzani mwezenu kutoka TLP.
kwa ufupi wa akili yako huwezi elewa nilichoeleza!nakusamehe bure!
 
Wewe upo kwenye payroll ya Dr Slaa usisahu kuongeza viroba vya Vodka na Valeur.

kwa hiyo umeconfirm upo kwa payroll ya nape ndio maana hukukanusha ila unadodosa kama nipo payroll ya slaa, sasa mimi nakunusha sipo kwenye payroll yoyote nipo kwenye payroll yangu peke yangu!
 
apo ni mwendo wa kila mmoja kuangalia usawa wa tumbo lake!,sasa wewe ulioko namtumb o unasubir maisha yaboreke ili ujenge nyumba ya bati umeliwa!,hahaaha!!,napia tu!
 
kimbunga usiwe mvivu kufikiria, tafuta manifesto ya TLP ulinganishe na ya CDM utajua kama ni tofauti au zipo sawa!mkisharkiana mkishakiondoa then ni sera zipi zitzongoza nchi za chadema inayotaka serikali za majimbo au za tlp inayotaka serkali tatu lakini chini muundo wa sasa wa mikoa??

Mkuu hapo sioni shida hata kidogo. Manifesto siyo msahafu ama biblia. Unajua manifesto huwa imejaa ahadi na si sera za chama!
 
Back
Top Bottom