Sitta hawakimbiza chadema ifakara,kilosa na ulanga morogoro.ukweli picha na vidio

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
LEO MZEE SAMWELI SITTA WAZIRI WA AFRICA YA MASHARIKI ALIONGOZA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM WILAYA YA ULANGA NA KILOMBERO(IFAKARA)
majira ya asubuhi chadema walionekana wakipita na magari ya matangazo wakitangaza watu wafike kwenye mkutano wao kuanzia saa TISA jioni viwanja vya jongo
mara yakaanzaa matangazo ya ccm kuwa mzee sita atafunga kapeni za ccm viwanja vya Lumemo muda huo huo,,,hapo ndio cdm walipoanza kuhaibika kwa watu kukacha mkutano wao na kwenda kwa mzee sita,mara kidogo gari za chadema zikaanza kupita na kusema kuwa sugu,afande sele na prof J watatumbuiza mkutano wa chadema ili watu waende wengi

DUUU WAKAWA WAMECHOKOZA MOTO NDIPO CCM NAO WAKAANZA KUPITA WAKISEMA MAMA LWAKATARE NA MSANII DAIMOND WATAKUWA MKUTANONI KAMA KAWAIDA KUMSINDIKIZA MZEE SAMWELI SIITA
BAADA YA HAPO WATU WALIHAMA MKUTANO WA CHADEMA NA KURUDISHA KADI ZAO KWA MZEE SIITA WAKISEMA KUWA MANENO YA SITTA YAMEWAPA MATUMAINI NA HALI ILIKUWA HIVI
ANGALIA VIDIO
CCM WANAASILIMIA 78 KUSHINDA ULANGA IFAKARA NA KILOSA
TUONANE KESHO BAADA YA MATOKEO
 

Attachments

 • SITA 1.jpg
  SITA 1.jpg
  353.3 KB · Views: 448
 • SITA2.jpg
  SITA2.jpg
  425.3 KB · Views: 363
 • SITA3.jpg
  SITA3.jpg
  412.8 KB · Views: 324
na waliohudhuria kwenye mkutano wa cdm walikuwa wangapi mbona hukutuwekea picha tulinganishe?
 
ASENGA WA PAKAYA wewe ni mwongo. Mimi nipo hapa v/60 mkutano wenu wa jana mlipata aibu. Hata zile pikipiki zilizokuwa zikiongoza maandamano yenu 98% ya mabodaboda tunakuwaga nao kwenye mikutano yetu. Na waliweka wazi kuwa wamepewa 20000/= na lita 10 ya petrol. Nilifika pale kwenye mkutano wenu ulikuwa umedorora sana, hv mkutano gani zaidi ya nusu ya waudhuriaji wanavaa wanavaa nguo za kijani? Peter kibatara aliongoza ufungaji kampeni za CDM, Mkutano uliohudhuriwa na maelfu ya wa2 na kujazana pale ofisi za kata mpaka saa mbili usiku. CCM na Masepo hawashindi hapa ifakara. Naapa kwa mbingu na ardhi Ccm wakishinda hapa ifakara mods mnilime ban ya mwezi mzima.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom