CHADEMA waigeni CUF

CHADEMA waigeni CUF

juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.

tatizo si slaa, tatizo ni kuwa je walivyosema wanaenda NMC walijua serikali itawaachia? na kama walijua FFU watakuja walijitayarisha vipi?? hapa ndio huwa nakasirika mantiki nzima ya lile move

mwisho nampa pole Dr. wa ukweli kwa kukutwa kwenye spika mbili kubwa!! kama vile saddam aalivyokutwa kwenye pango au gadafi mtaroni...siji inaashiria nini???
 
Unajifanya mpigania haki alaf unaogopa polisi yoo?unakumbuka mchezo wa zamani wa ktoto unakimbia alaf unajficha na vbastol.a vle dushwaaa dushwaaa,,dat t wos kwa dr.slaa na bastola yke km namuona vlee yoo...
 
MAKAMANDA WA CHADEMA KUHITIMU KOZI KULE GEREZA LA KISONGO JUU YA UPAMBANAJI ZAIDI KUTETEA 'HAKI NA UTU' WA MTANZANIA KUPATIKANA KUPITIA KATIBA MPYA YA WANANCHI WENYEWE

Huyo hapo ni GREAT THINKER Mkigoma anapopanga hoja zake kwa uwezo wake wote wa juu zaidi bila kujiuliza kama juhudi za mabadiliko yaweza kutadhminiwa kwa kutaza TUKIO au MCHAKATO mzima?

Nadhani hakuna hata mtu mmoja mwenye akili timamu asiyejua kwamba sana sana CUF wao walichokua wakikipigania tayari walishayapata huko CCM kutokusikika tena kwenye JUKWAA LA KUPIGANIA MABADILIKO nchini. Kama ni KULA MABUA kwa pamoja na nguruwe pori tayari wenzetu wako mbali mno katika hilo la MAPIGANIO YA KUCHUMIA TUMBO.

Kama mwisho wa fikra reli Kigoma ndio itakua imekaa hivi, basi kweli CUF waendelee kuchukua nafasi yao stahili KULA MABUA kwa pamoja na nguruwe pori kama ambavyo ilivyowahi kutamkwa huko nyuma.

Wapambanaji vita mbele ya kidemokrasia na tuwe na hivi karibuni huenda tukawa na mikutano ya wilaya hadi wilaya mara baada ya Makamanda wetu (Dr Slaa, Mbowe, Lema na ...) watakapokua WAMEHITIMU KUPITISHWA KWENYE TANURI LA KUKOMAA ZAIDI KIUPAMBANAJI huko KISONGO PRISONS kupigania HAKI NA UTU wa Mtanzania kwa Nguvu zaidi, Kasi Zaidi na Ari zaidi.

Tunaendelea kuwalaki viongozi wetu hawa kwa heshma na taratibu zote stahiki kote nchini huku tukiwapelekea wananchi ujumbe moja tu: PIGANIA HADI KUFA MCHAKATO MZIMA WA KUPATIKANA KATIBA MPYA YA WANANCHI na mema mengi kufutia baada ya hapo.

Wakati tukielewa fika ya kwamba SUALA LA MABADILIKO KWA MAFAA YA UMMA NI 'MCHAKATO' na kwamba wala si TUKIO tu la siku moja, CHADEMA hatujasau dira ya ukombozi kwa wananchi wote badala ya kuchukua njia ya mkato tu ya baadhi ya viongozi hasa wa chama fulani kujiamulia tu kuendelea KUJICHUMIA TUMBO.

Moto mkubwa ndio kama hivo kila kona ya nchi mpaka kieleweke.

juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia.

ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
 
nahisi mtoa mada anafua chupi, kama siyo zake basi za familia zilizolowekwa muda mrefu ndiyo maana anatoa mada za kwenye masaburi
 
hahaha kumbe ndivyo ilivyokuwa hivyo? Yaani kama sinema vile.kamata burrrruza weka ndani. Nalog off
 
Mkigoma, kwenye mapambano ya kuleta mabadiliko nchini lako wewe kuona CUF walivyofika kwenye malengo yao ya msingi (Kuchumia Tumbo) hivyo kama taifa nasi ndio kusema tumeshafikia mwisho?
 
juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.

Pole sana mkuu. Lakini si kosa lako ni kosa la mazoea, ambayo yamedumaza uwezo wako wa kuchambua kila unachoambiwa au kusikia kabla hujakitolea kauli au maamuzi.
 
CUF ni chama dhaifu sana hakina mbele wala nyuma kipokipo 2,kimeshaolewa na CCM,kimebaki historia tu.
 
juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. Ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
hivi cuf ni chama nacho? Kipo nchi gani? Nyie ni ccm b hata mwanangu wa miaka 6 anajua kuwa cuf ni ccmb. Endeleeni kuwapikia urojo na samaki mabwana zenu ccm mliofunga ndoa nao mwaka jana. Anniversary ya ndoa si ilikuwa majuzi eeeeh.
 
Kumbe CUF hata ndani ya jamvi hamna kitu, lakini mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe, hakuna namna ambavyo CDM inaweza kufuata mbinu za CUF NOooooooooooooo, kwanini kila siku CDM. Kumbuka CDM si sera yao kumwaga damu, ila damu yao inamwagwa na Magamba kupitia polisi.
Kingine Cuf mnafikiri mtapiga hatua kwa kkuikosoa CHADEMA? kumbuka yaliyowapata Igunga, shauri yenu, tungependa na nyie muendelee kuwepo hadi 2015, ila mkiendelea hivi sijui.
 
mkubali, mkatae chadema ni chama cha udini na waislam hawawapeni kura zao ng'ooooooooooooo
 
Mada hii inafanana na alieileta,CHADEMA haitakaa ilinganishwe na CUF wala CCM.kwa mtu mwenye kuilewa nchi hii na kwa mtu mwenye kuijua siasa ya nchi hii wala huwezi kufikiria kitu kama hicho,ngoja tukupe faida ndogo tu we mleta mada.
Chama pekee ambacho wabunge wake wameleta changamoto na kuwafanya mawaziri kuwa na pressure na spika kuwa na pressure hawatoki CUF wala CCM.
Kiongozi mkuu wa vyama vya upinzani aliewahi kuibua kashfa nzito tangu multparty kuanzishwa hakuotoka CCM wala CUF,hiyo list of shame haikuwa kitu ndogo kuibuliwa hadharani,lakini pia chadema ndo imeamsha mioyo ya kuleta mabadiliko ya kisiasa na kidemokrasia ya kweli japo mnashikiana kuiminya nyie magamba,tofauti nyingine Chadema ni chama kinachipinga ufisadi CCM na CUF mnaukumbatia,kama CUF akibisha hiyo ndoa alikubali vipi kuolewa na Jambazi CCM angali akijua?na kama hakua basi tunamjuza sasa na achukue maamuzi ya kuvunja ndoa hiyo soon.
Usiendelee kutuchekesha kwa fikra mfu
 
Mkigoma,
Ghadaffi mfadhili wa vyuo vyenyu (sisi tunaita chekechea) alijificha kwenye mtaro...
 
Mkigoma inaonekana ni kichwa panzi mkuu.
Hujifunzi kitu juu ya hiyo CUF yako ni yako maana si ndo mmemuoa.kitu ninachota ujifunze ni uchaguzi mdogo wa Igunga,CUF walikuwa wanajinadi wana mtaji wa kura elf 11 mwisho wa siku alienda hana mtaji CDM nadhani unajua kilichotokea
 
juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia. ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.

Piga debe baba, uwanja wako!!
 
Yani kiongozi kama huyo anajificha kama gadafi? Unajua huyu mzee bora akapumzike sasa, huu umri sio wa purukushani tena. Kila siku zinavyo kwenda anazidi kujishushia hadhi yake. Ni bora awaachie vichaa kama kina Lema.
Nasio kichaa kuliko wewe!
 
tatizo si slaa, tatizo ni kuwa je walivyosema wanaenda NMC walijua serikali itawaachia? na kama walijua FFU watakuja walijitayarisha vipi?? hapa ndio huwa nakasirika mantiki nzima ya lile move

mwisho nampa pole Dr. wa ukweli kwa kukutwa kwenye spika mbili kubwa!! kama vile saddam aalivyokutwa kwenye pango au gadafi mtaroni...siji inaashiria nini???
Inaashiria akili yako ina mtindio wa ubongo, unafikiri kwa makalio na tumbo la kuhara linakusumbua.
 
Kwa nini maandamano ya CUF mara nyingi hufanyika siku ya Ijumaa baada ya Swala ya Ijumaa????
 
Back
Top Bottom