Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Katika pitapita zangu nilikutana na moja kati ya makada wa juu wa ccm na katika kupiga story aliweza kuniambia katika siasa za tanzania .........
Ccm inaogopa sana siasa za upinzani toka cuf kuliko chadema licha ya chadema kuwa ni chadema chama kikuu cha upinzani tanznia
Moja kati ya sababu nilizoweza kuambiwa tofauti ya siasa za chadema na cuf
1.Siasa za chadema zipo kwenye magazeti, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii lakini cuf siasa zao zipo mitaani na wafuasi wengi licha ya chama chao kutokupewa promo magazetini na vyombo vya habari.. .....
2.Wafuasi wa cuf wana itikadi kali za kisiasa tofauti na chadema hivo wako tayali kufa au kupigwa kwa ajili ya chama
3.Wafuasi wa cuf waliwahi kujitoa muhanga kufanya maandamano licha ya igp na waziri wa mambo ya ndani kuyapinga lakini mwisho wa siku wali surrender .
4.Cuf waliwahi kuwa na matawi yao kama vile kosovo pale manzese, ukanda wa gaza kule temeke, al quada pale kigogo,
Waasi ambayo igp na waziri wa mambo,polisi waliyapigia kelele.
5.Katika vyama vya siasa hapa nchini cuf ndio chama pekee wanaweza kuleta presha presha nchi nzima
Kwa kifupi akaniambia uwezo walionao cuf kimkakati na kisiasa ni tofauti na chadema kwa sababu chafema wao wapo mahazetini, vyombo vya habari, mitandaoni lakini kuingia front kama cuf ni waoga ndio maana operations ukuta waliahirisha kwa maana hawana wafuasi kuingia front kupambana. ...
Lakini twende mbele turudi nyuma je ni kweli ccm inaogopa cuf kuliko chadema.