Juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi. Wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia.
Ndipo ninapowakumbuka CUF wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
Ndipo ninapowakumbuka CUF wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.