bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.
Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.
Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?
Kwenu wana jamvi.