CHADEMA waigawa UKAWA kabla ya UCHAGUZI

CHADEMA waigawa UKAWA kabla ya UCHAGUZI

R.I.P Makaidi. Mtasubiri sana UKAWA kumeguka. Yaani nyie sawa na fisi akinyatia kusubiri mkono wa binadamu udondoke. Marehemu alikataliwa na wananchi kwahiyo nyie muendeleze tu propaganda
 
Unapresha tayari imezidi ya makaidi ni swala la muda tu.
 
Hivi ninyi cdm nani aliyewaroga. Mgombea wenu karibu anajitoa kutokana na kugundua kuwa cdm hawamkubali bali wanamtumia tu kwa kula pesa yake huku wakijua kuwa hzi kuwa rais.
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.

Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.

Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?

Kwenu wana jamvi.

Hakuna haki huko ni wizi wa pesa za walipa kodi kwa kwenda mbele. Viongozi wa ukawa Mbowe aliyehongwa peremende kama malaya wa Bilicanas amewaletea Jambazi Sugu kwenye gunia na ndio imetoka hiyo.

Jambazi Sugu haliwezi kupumua bila uhai wa pesa za walipa kodi.
 
Nawaambieni kuwa Lowasa ni bundi liloletwa kuiua chadema. Bado siku nane chadema kusahaulika
 
acha ujinga na unafiki .ukawa mbele kwa mbele
Ndugu watanzania tunaskitika kutangaza kifo cha ukawa. Hili ni tangazo litakalotoka tarehe 25 Oktoba baada ya kura kupigwa. Kwa hiyo umri wa ukawa umeelekea ukingoni.
 
ni kweli chadema waigawa ukawa, kwani huoni kuwa muungano wa vyama vinne lakini logo inautambulisha ni ya chadema tu? na kwa nn chadema ndo wapate viti vingi zaidi?
 
Ndo hivyo, wajinga ndio waliwao. Chezea Mbowe wewe, mzee wa shilingi.
 
Aiyefanya kazi asile ndio sera ya chama chetu. Kauli hii aliitoa Mbowe akitetea wingi wa majimbo kwa chadema. Huu sio ubinafsi kwa kweli.
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.

Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.

Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?

Kwenu wana jamvi.

hivi propaganda za kugawanyika kwa ukawa bado ipo? du watu wanaroho ngumu
 
Nimekosea kuingia wodi ya wagonjwa mirembe. Huyu anaja.mba mwingine ana support kuwa point hiyo!
 
CHADEMA HAWANA NIA NZURI NA MUUNGANO WAO (UKAWA) nia yao ilikuwa kujipatia fedha kutoka kwa fisadi papa na sio nia nyingine, sasa wamesababisha mtafaruku mkubwa hata hapa Kaloleni ninapoishi vijana wengi wamekihama chama cha chadema baada ya kuona kuna usanii ndani yake.......
 
Hata huku Ngarenalo na Ungalimited tumeona huyu babu ni michosho tu, kura zetu tunampa Magufuli ili aanze na huyu fisadi Nyangumi Lowasa
 
Kwa kweli mambo ya Lowasa yameisha jana baada ya usanii wake jana Tunduma na Mbowe mpiga dili. Magufuli jana umejihakikishia ushindi kwani walidhani Mwanza ni ngome ya ukawa kumbe hawana lao wamekuwa ukiwa.
 
hahahaha maana jana sumaye kawa mbogo kisa pesa zake za malipo, leo mbatia naye kawaka, lazima dhambi ya usaliti iwatafune
 
Back
Top Bottom