CHADEMA waifungulia CUF njia…

CHADEMA waifungulia CUF njia…

ukweli mchungu dogo umekuingia

Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua
 
Wewe unapaswa kufa kabisa kwenye nchii hii kwa sababu hakuna nchi unajenga watu wamekatwa mikono wakachomewa nyumba wakavunjwa miguu,wakapigwa risasi,wakafurumishwa matumbo wakitaka mabadiriko wewe kwa kalamu yako na nyanja yako kuwa kwenye siasa unavuruga mstakbali wa demokrasia huru, unapenda sana kuisema bavicha na kuunganisha wana jf na bavicha au chadema kwa sababu ndio hila zako na mission zako unachotaka kwa sababu unakaa kwenye vikao vyenu unakuja hapa kushusha juhudi za chama chako huna aibu ,hupaswi kuishi msaliti mkubwa
Trend ya post zako hazijawahi kuwa za kujenga nchi ni zakukandamiza demokrasia
unahasira sana na bavicha ulitoa gari ili uweze kuwacontrol umeshindwa gari wanatumia na umiliki wa bavicha umeyeyuka ulidhani utakuwa ridhiwani anavyotawala uvccm umekaushiwa mission imekwenda na maji ya mafuriko umehonga viongozi wa bavicha eti millioni tano, ulidhani zitawazuzua ukiwa tanga eti kilimo cha mkonge hujaongea tena kuhusu mkonge mission ya kuhonga ilivoshindwa
Watanzania wengi wanakuombea ufe kiongozi wewe wa chama chako unachokiasi ili hesabu isiwepo ya kwako wakati huna mssada zaidi ya kubomoa
lete mada hapa za mikataba ya wachina 17 tujadili badala ya kila siku unataka tujadili chadema umeambiwa hapa ni baraza la wadhamini la chadema unabore

Bila Shaka wewe ni heche au Ben sa8. Nawe watanzania wanakuombea ufe Kama ulivyowauwa hao wengine na Kama ulivyoumbuka na sumu pale ulipolewa ukaidondosha....Nyama wewe
 
Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua

Tulia dawa iingie vizuri ili muache kuuwa na kutesa wana nchi wasio na hatia
 
Ni vema kusoma thread na kuelewa kabla ya kujibu.
Usiwe kama Sugu.

ZeMarcopolo, narudia tena CCM imekosa rasilimali watu. Umejikita kulinganisha mabunge mawili na kambi mbili za upinzani. Lakini mbona umewaacha masipika? Lete mada nyingine isemayo: Makinda amuongezea umaarufu Sitta.

Pia kuhusu ahadi zilizotolewa na wabunge wa CDM, vp CCM hamkutoa ahadi? Rais wenu kashazitimiza zote? Vp wabunge wenu wamezitimiza?
 
Ze marcoplo. Jina lenyewe tu jinamizi tupu,hivi unaelewa kweli siasa au ni mwansiasa mchwara,CUF na ccm kunatofauti gani?hata hisia huna wee ni kijana kweli,yaani unatoa historia kama vile huna kichwa sasa chadema wakiungana na cuf na cuf tayari wameiungana na ccm maana yake nini? hebu jaribu kutafakari kidodg kama kweli unaubongo na unaishi duniani isijeikawa kuna mapepo humu jf maana kuna watu nadhani hawana vichwa ni viwiliwili tu yaani hata hisia hakuna!!!!?????????KILA jambo huja kwa wakati wake hata dunia inabadilika kila kukicha mfano mabadiliko ya tabia nchi nk.wewe unaishi dunia gani??wakati ule cuf chini ya maalimu seif zanzibar ilikuwa CUF kwa kukusaidia tu cuf haipo tena ila ukitaka jina lipo ndoto za cuf kuchukua visiwa zimekwisha tangu maalimu alipojiunga na magamba hujui hata hilo??kabla yua cuf kuwa ccm b kweli wangeweza kuungana na CDM lakini kwa sasa ni abunuwas!!!!!bado tu hujapata picha ??kwa ufupi mapambano ya ukombozi nchi hii ndio kwanza yananza hapa ni mwanzo tu mwanzo wenyewe wala haujaanza,maandamano,lugha kali hizi zote ni struggle kuelekea demokrasia ya kweli au wewe ndio wale watu wa ndio mzee ndio mzee huwezi hata kuhoji?hakuna kashfa bungeni wewe pale kuna mapambano na madhalimu wanaoliangamiza taifa,nakupa pole sana kwa mtazamo wako hasi!
 
Bila Shaka wewe ni heche au Ben sa8. Nawe watanzania wanakuombea ufe Kama ulivyowauwa hao wengine na Kama ulivyoumbuka na sumu pale ulipolewa ukaidondosha....Nyama wewe

heche tu huyu cd zake zilezile kama za jana *tv
 
weng tu au hujui wing huanzia zaid ya moja jamaa amewaeleza vizur kuwa mlifanya kosa kuwa kataa cuf
Cuf tuliikataa kwa kuwa imefunga ndoa na ccm. Yeyote anayejihusisha na CCM hafai kwenye jamii yetu ya sasa kwa maana ccm ni chama cha madisadi.Kwa sasa watu wengi tumeshaelimika hamna tena wakudanganyika. Acheni propaganda za kizamani focus kwenye kuletea watu maendeleo
 
CUF ARUSHA.jpg
V4C bado ipo? Ilizinduliwa Arusha na makamu wa Raisi Zanzibar alikuwepo mkatoa Coaster 27 kutoka Dar ili mkawahutubie watu wa mwembeyanga kule Arusha....HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa.

Hali ilianza kuonekana tangu awali baada ya uchaguzi mkuu ambapo CHADEMA ilikataa kushikisha vyama vingine kwenye uongozi wa upinzani Bungeni. Uamuzi huu wa cHADEMA uliwasikitisha wapenda mabadiliko wengi.

Hii ni tofauti na chama cha wananchi CUF ambacho kiliishirikisha chadema kwenye uongozi wa upinzani Bungeni katika Bunge liliopita. Manufaa yake kwa taifa tumeyaona, Bunge la tisa liliweza kusimamia hoja nzito za kitaifa na kuitetemesha serikali mpaka Waziri Mkuu akajiuzuru. Bunge hili la 10 lina wabunge wengi zaidi wa upinzani lakini hakuna mafanikio yoyote katika kujenga hoja!

Zaidi ya hilo, mara kadhaa CHADEMA wamekuwa wakikimbia mijadala kwa mtindo wa kususa ambao haujawahi kuleta manufaa yoyote. Jambo kama la kususia hotuba ya Mkuu wa Nchi halikuwahi kutokea Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye bunge la 9.

Kadri siku zinavyoenda wananchi wanazidi kushuhudia jinsi CHADEMA inavyoshindwa kuwakilisha maslahi ya taifa Bungeni. Jambo linalosikitisha zaidi ni kwamba siku hizi wabunge wa CHADEMA wakiongea taarifa pekee inayoweza kutolewa ni kwamba “wamemchana kiongozi fulani”.

Anayeongoza katika tabia hii ya “kuchana” ni Sugu ambaye jana ameelezewa kuwa alimchana mbunge wa Iramba Mashariki. Huo ndio ulikuwa mchango wake kwenye bajeti ya Waziri Mkuu!!!

Kwa kweli inasikitisha pale input ya speech ya mbunge katika kuchangia bajeti ya Waziri Mkuu inapokuwa ni kumchana kiongozi! Mambo haya hayakuwepo Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Hamad Rashid wa CUF alikuwa maridadi zaidi katika kusimamia shughuli na hoja za upinzani Bungeni kuliko anavyofanya kiongozi wa upinzani wa Bunge hili la 10.

Picha inayowekwa na CHADEMA ni kwamba upinzani ni vurugu. Wananchi wastaarabu wanaanza kuchukizwa na tabia za uvunjifu wa kanuni na kumkosea heshima Spika zinazofanywa na wabunge wa chadema. Hamad Rashid wa CUF hakuruhusu hili, lakini kiongozi wa sasa wa upinzani Bungeni anaona vurugu na kubishana na Spika kama burudani.

Nikumbushe tu kuwa taarifa zilizopo zinaonyesha hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA aliyeweza kutekeleza ahadi zake alizotoa kwa wananchi jimboni. Kwahiyo wananchi wanaweza kuwa na imani na wabunge wa CHADEMA iwapo wataona angalau Bungeni wana michango yenye tija.

Kwavile jimboni wabunge wa chadema hawatekelezi ahadi na Bungeni wanaenda “kuchanana” wananchi watakuwa hawana sababu ya kuchagua CHADEMA. Hasahasa ikizingatiwa kuwa chadema kimekuwa ni chama kinachoainisha matatizo bila kutoa jinsi yoyote ya utatuzi.

Vilevile CUF watakuwa na sababu ya kuwaambia wananchi kuwa CHADEMA wameharibu image ya upinzani Bungeni - jambo ambalo ni kweli. Jambo hilo litaiwezesha CUF kuchukua kura nyingi za wapenda upinzani ambazo zingeweza kuwa za CHADEMA katika majimbo ya Tanznia Bara. Kwa vigezo hivyohivyo CHADEMA itaendelea kukosa kura za Zanzibar.

Bottomline: CHADEMA imeligeuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni. CUF walipokuwa wanaongoza upinzani Bungeni walisimamia hoja kwa maslahi ya taifa. Tabia ya vurugu na kumkosea heshima Spika inayofanywa na CHADEMA ni mtaji wa kisiasa kwa CUF.

Ushauri: CHADEMA ijiepushe na tabia za mipasho mbele ya TBC mkiwa Bungeni. Sugu apewe mafunzo maaluma ya kuchagua maneno ya kuongea Bungeni – itafaa zaidi iwapo hotuba zake zitapitiwa na Mnyika kabla hajazisoma.

Kila siku mnahangaika kujadili CHADEMA na viongozi wake lakini zinapoanzishwa mada kama hii
Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!
ambazo zinalenga mustakabali wa taifa letu mnashindwa kuzijadili aidha kutokana na uelewa mdogo ama kutokana na tamaa na kupumbazwa na ahadi za kijinga kutoka kwa hao mnaowasujudia.

Hakuna mtu analazimishwa kuwa mwanachama ama mpenzi wa chama fulani lakini katika kuonesha kuwa unakipenda chama fulani ni vyema upenzi huo uambatane na kuonesha pia kwamba unalijali taifa na hatima ya wananchi wake kwa siku za mbeleni; Watanzania tubadilike na pale inapobidi tuoneshe mshikamano wa pamoja katika kupigania maendeleo ya nchi yetu, hakuna mjomba wala shangazi kutoka Amerika, Ulaya, Asia ama Mashariki ya Mbali atakayekuja kutusaidia ama kutushauri namna ya kuijenga nchi yetu.

Tukiendekeza huu ushabiki usio na mwelekeo wala faida tunajimaliza wenyewe wakati wajanja wachache wakiendelea kushibisha matumbo na kuneemesha ndugu na jamaa zao ilhal asilimia kubwa ya watanzania wakiendelea kutaabika kwa kukosa japo huduma za msingi.
 
Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua

Tulia dawa iingie vizuri ili muache kuuwa na kutesa wana nchi wasio na hatia
 
unabweka kama jibwa lilopewa bangi mbona umeshindwa mkanda uliouandaa na akina mwigulu umebuma huna msaada kwa nchi hii wengi tunakuombea usiku na mchana ufe tujue tumedondosha msaliti mmoja njia
lete mada za maana sio chadema kila siku ukingojea mkono undondoke kama fisi
Kikwete alihongwa suti pair sita amemega pande la nchi amempatia Brigedia Ali akiua wanayama wa kila aina akitumbua hata mimba za wanyama kupelekea watoto wa mfalme dubai wakati watoto wakimasai wakitanga tanga hujadili hayo wewe na chadema kwa sababu ikiwepo mwaka 2015 usalama wa taifa watakupoteza kuondoa ushaidi

NNyamongo wananchi wanababuka midomo mifugo inakufamimea haioti kwa ajili ya sumu barrick wanamimina kwenye mito hata mirahaba na kodi haijakusantwa wewe husemi uko na chadema ambayo imekuinua wewe na familia yako mukahamia mjini na kuacha kupaa dagaa

Bagamoyo imeuzwa kwa wachina kwa sababu ya kuwahonga kama jason alivyosema kwa kumuokoa mtto wa kikwete Ridhiwani mfanya biashara ya madawa ya kulevya hayo huyaleti tujadili kujua mkataba ukoje ili tuokoe kizazi hiki na kijacho wewe na chadema iliyokutoa mpaka usalama wa taifa wakakuona mtu wakutumika

Tangu Kinana awe katibu mkuu tembe asilimia 42 amekuwa wakiuliwa kwa kasi hutaki achunguzwe ili kulinda wanyama wetu kwa kizazi hiki na kijacho wewe na chadema ili uimalize kwa sababu unajua safari yako ya kisiasa imeisha kutokana na kujikoroga
Asilimia 62 ya watoto wamefeli na hii ni mlolong wa miaka mitano mfululizo huongei kitu uko na chadema inayokupa tija kwenye jamii kuonekana n muana siasa
Wananchi wanakula mlo mmoja,mitaani watoto wamejaa wakati wakikwete wakivimbiwa ikulu kwa fedha za wala jasho hayo husemi
huna hoja wewe , na nina imani wana JF wanajua mission yako ambayo imeabort umejifix mwenyewe na huta inuka

Hivi kumbe Ze marcopollo ndo yeye!Duh!Hajakubali tuu!Ee Mungu ingilia kati kwa watu kama hawa wanaohimiza kwa nyimbo tamu udhalimu wa wanyonge huku wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cuf tuliikataa kwa kuwa imefunga ndoa na ccm. Yeyote anayejihusisha na CCM hafai kwenye jamii yetu ya sasa kwa maana ccm ni chama cha madisadi.Kwa sasa watu wengi tumeshaelimika hamna tena wakudanganyika. Acheni propaganda za kizamani focus kwenye kuletea watu maendeleo

Mkuu nini maoni yako kuhusu machafuko yaliyokuwa yanatokea Zanzibar pamoja na Hali tete ya kisiasa iliyokuwepo visiwani kabla ya serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom