CHADEMA waifungulia CUF njia…

CHADEMA waifungulia CUF njia…

cuf ilikuwa inasusia vikao zanzibar kwa muda mrefu mpaka mkaunda serikali ya mseto. soma historia chuki yako haikuokoi na mission yako
 
Mhh ndugu kajipange vizuri unapoleta uzi maana naona huna data za kutosha. unaotea kama uyoga! Fuatilia vizuri siasa za upinzani hapa TZ na nadhani ukipata uelewa fasta utaufuta huu uzi wako!
 
Mtu yeyote akiangalia hii video ataona kuwa chadema inafanya bunge kama genge la magumzo!!!

Ningekuombaubadilike na uwe neutral ili ulisaidie Taifa lako.Ungeanza kwanza nakumlaumu SPIKA wa bunge kwa kutofuata sheria zinazomlinda ili bunge liheshimike.Ameanza kuliharibu bunge na kuwa lahovyo ni SPIKA nawasaidizi wake kwa kupindisha sheria na kuacha unazi wa kichama uendelee ilhali wanajua fika nini jukumu lao.Unatakiwa kama mwanaCCM anayependa taifa lake anza na kumkaripia SPIKA na kumtaka ajiuzuru nafasi hiyo kwani haiwezi.Huwezi kusema tunabunge wakati limenyanganywa nguvu zote za kuibana serikali sababu ya upumbavu wa kushabikia mafisadi na wala rushwa wanaodhoofisha uchumi wa nchi.

Kwa sasa naomba nikueleze kwa ukweli kabisa Tanzania hatuna bunge tuna uchafu tu pale mjengoni.Nenda kwanza mjirekebishe muwe kweli wawakilishi wa mwananchi mnyonge halafu chadema wakipiga hizo kelele tutawanyooshea vidole siyo tu kidole.

Wansema hivi"TOA BORITI KWENYE JICHO LAKO ILI UONE KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO"
 
Hamad Rashid aliongoza upinzania Bungeni kwa ufasaha zaidi kuliko Mbowe...
 
Akili zako kamasi tupu hujuelewei hata kidogo.....kachukue posho yako Lumumba ccm sasa.
 
Hamad Rashid aliongoza upinzania Bungeni kwa ufasaha zaidi kuliko Mbowe...

historia inaonesha kuwa hamadi is best loser kwa kambi yake where as mbowe is the best gainer kama kiongozi wa upinzani! historia ni mwlimu mkuu haiitaji kuibishia kaka. shikamoo historia
 
Mbowe anageuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni!!!
 
kama kila anayetoa mawazo tofauti na yako basi afe, itakuwa tz haina mtu kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana kiasi cha kuwaita wenzao wasaliti, wamenunuliwa na hata kuwaona kuwa hawafai katika nafasi fulani za uongozi kwa sababu tu wana mitizamo tofauti na yao. tusijifanye wote mpo perfect kiasi kwamba kumuona mwenzako kuwa hafai dhana potofu na yenye kujenga chuki katika jamii.
mtakapokuja kutawala nchi na mitizamo yenu ya chuki mtafanyaje? hamtaua watu kwa sababu tu eti walikuwa mnawachukia? acheni mawazo ya ajabu hii nchi yetu wote.
mungu ibariki tanzania.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ze Marcopolo bhana ! Japo nilichelewa kwenye huu uzi , lakini nimegundua kwamba Kitengo cha propaganda cha ofisi ndogo Lumumba kinahitaji Mabadiliko Makubwa sana , yaani unataka kwenda makaburini kufufua wafu ! Hivi kiongozi wenu ni Nape au Kinana ? Au wote kwa pamoja ?
 
duuuu!
Kila mwamba ngoma huvutia kwake.
 
kama kila anayetoa mawazo tofauti na yako basi afe, itakuwa tz haina mtu kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana kiasi cha kuwaita wenzao wasaliti, wamenunuliwa na hata kuwaona kuwa hawafai katika nafasi fulani za uongozi kwa sababu tu wana mitizamo tofauti na yao. tusijifanye wote mpo perfect kiasi kwamba kumuona mwenzako kuwa hafai dhana potofu na yenye kujenga chuki katika jamii.
mtakapokuja kutawala nchi na mitizamo yenu ya chuki mtafanyaje? hamtaua watu kwa sababu tu eti walikuwa mnawachukia? acheni mawazo ya ajabu hii nchi yetu wote.
mungu ibariki tanzania.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba hulka hizi za kuombeana kufa hatijawahi kuzisikia hadharani mpaka siku za hivi karibuni kwenye maugomvi ya bavicha!!!
 
CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa.

Hali ilianza kuonekana tangu awali baada ya uchaguzi mkuu ambapo CHADEMA ilikataa kushikisha vyama vingine kwenye uongozi wa upinzani Bungeni. Uamuzi huu wa cHADEMA uliwasikitisha wapenda mabadiliko wengi.

Hii ni tofauti na chama cha wananchi CUF ambacho kiliishirikisha chadema kwenye uongozi wa upinzani Bungeni katika Bunge liliopita. Manufaa yake kwa taifa tumeyaona, Bunge la tisa liliweza kusimamia hoja nzito za kitaifa na kuitetemesha serikali mpaka Waziri Mkuu akajiuzuru. Bunge hili la 10 lina wabunge wengi zaidi wa upinzani lakini hakuna mafanikio yoyote katika kujenga hoja!

Zaidi ya hilo, mara kadhaa CHADEMA wamekuwa wakikimbia mijadala kwa mtindo wa kususa ambao haujawahi kuleta manufaa yoyote. Jambo kama la kususia hotuba ya Mkuu wa Nchi halikuwahi kutokea Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye bunge la 9.

Kadri siku zinavyoenda wananchi wanazidi kushuhudia jinsi CHADEMA inavyoshindwa kuwakilisha maslahi ya taifa Bungeni. Jambo linalosikitisha zaidi ni kwamba siku hizi wabunge wa CHADEMA wakiongea taarifa pekee inayoweza kutolewa ni kwamba wamemchana kiongozi fulani.

Anayeongoza katika tabia hii ya kuchana ni Sugu ambaye jana ameelezewa kuwa alimchana mbunge wa Iramba Mashariki. Huo ndio ulikuwa mchango wake kwenye bajeti ya Waziri Mkuu!!!

Kwa kweli inasikitisha pale input ya speech ya mbunge katika kuchangia bajeti ya Waziri Mkuu inapokuwa ni kumchana kiongozi! Mambo haya hayakuwepo Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Hamad Rashid wa CUF alikuwa maridadi zaidi katika kusimamia shughuli na hoja za upinzani Bungeni kuliko anavyofanya kiongozi wa upinzani wa Bunge hili la 10.

Picha inayowekwa na CHADEMA ni kwamba upinzani ni vurugu. Wananchi wastaarabu wanaanza kuchukizwa na tabia za uvunjifu wa kanuni na kumkosea heshima Spika zinazofanywa na wabunge wa chadema. Hamad Rashid wa CUF hakuruhusu hili, lakini kiongozi wa sasa wa upinzani Bungeni anaona vurugu na kubishana na Spika kama burudani.

Nikumbushe tu kuwa taarifa zilizopo zinaonyesha hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA aliyeweza kutekeleza ahadi zake alizotoa kwa wananchi jimboni. Kwahiyo wananchi wanaweza kuwa na imani na wabunge wa CHADEMA iwapo wataona angalau Bungeni wana michango yenye tija.

Kwavile jimboni wabunge wa chadema hawatekelezi ahadi na Bungeni wanaenda kuchanana wananchi watakuwa hawana sababu ya kuchagua CHADEMA. Hasahasa ikizingatiwa kuwa chadema kimekuwa ni chama kinachoainisha matatizo bila kutoa jinsi yoyote ya utatuzi.

Vilevile CUF watakuwa na sababu ya kuwaambia wananchi kuwa CHADEMA wameharibu image ya upinzani Bungeni - jambo ambalo ni kweli. Jambo hilo litaiwezesha CUF kuchukua kura nyingi za wapenda upinzani ambazo zingeweza kuwa za CHADEMA katika majimbo ya Tanznia Bara. Kwa vigezo hivyohivyo CHADEMA itaendelea kukosa kura za Zanzibar.

Bottomline: CHADEMA imeligeuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni. CUF walipokuwa wanaongoza upinzani Bungeni walisimamia hoja kwa maslahi ya taifa. Tabia ya vurugu na kumkosea heshima Spika inayofanywa na CHADEMA ni mtaji wa kisiasa kwa CUF.

Ushauri: CHADEMA ijiepushe na tabia za mipasho mbele ya TBC mkiwa Bungeni. Sugu apewe mafunzo maaluma ya kuchagua maneno ya kuongea Bungeni  itafaa zaidi iwapo hotuba zake zitapitiwa na Mnyika kabla hajazisoma.

Addendum:

Rais Kikwete aliposema kuna watu wamemuombea AFE kuna watu hawakuamini.

Sasa haya mnayoandika hapa yanadhihirisha kuwa kweli watu wa namna hiyo mpo.

Hizi ni hulka mpya kabisa mnazozileta vijana wa bavicha kwenye siasa!!!

Inasikitisha sana kwa sababu lengo la kunzishwa kwa bavicha na jinsi ilipo sasa na inakoelekea ni tofauti kabisa.
Bavicha siku hizi inatumiwa kama organ ya kuwasababishia watu vifo - INASIKITISHA...

Wanaofikiria kwa kutumia masaburi wewe mambo meeengi machafu yanayofanyika hovyohovyo ndani ya ccm umeona usemee vyama vingine wakati chama chako kimeoza kwa ufisadi,wizi,kuteka watu,mauaji,mikataba mibovu,yote unajidai hauyaoni unaona vyama vingine huna hata aibu fisadi mkubwa wewe na wenzako

Kichwa kikubwa kilichojaa tope hamna kitu,mnajidai hamuoni wananchi watawaonyesha ,

Au kwa kuwa unapenda chongo unaita kengeza
 
kama kila anayetoa mawazo tofauti na yako basi afe, itakuwa tz haina mtu kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana kiasi cha kuwaita wenzao wasaliti, wamenunuliwa na hata kuwaona kuwa hawafai katika nafasi fulani za uongozi kwa sababu tu wana mitizamo tofauti na yao. tusijifanye wote mpo perfect kiasi kwamba kumuona mwenzako kuwa hafai dhana potofu na yenye kujenga chuki katika jamii.
mtakapokuja kutawala nchi na mitizamo yenu ya chuki mtafanyaje? hamtaua watu kwa sababu tu eti walikuwa mnawachukia? acheni mawazo ya ajabu hii nchi yetu wote.
mungu ibariki tanzania.

Waliomuombea Kikwete afe ni wa chama gani? Hiyo misikiti mitatu sijui minne?
 
Mbowe anageuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni!!!

Ppsho za lumumba zitakutoa roho amegeuza bunge jukwaa la kampeni anamkampenia nani? Kwani saa hivi kuna kampeni ya nini? Mbona haueleweki wewe na siasa zako za maji taka?

Inaonekana huna kazi za kufanya kila wakati unashinda jf kupaka watu matope au umeajiriwa na mwigulu kwa kazi hiyo? Kijana tafuta kazi acha kupenda rahisi bila kufanya kazi umekalia kujipendekeza kwa viongozi ili uonekane ,hata udc hawakupi wanakugeuza KONDOM wanakutumia wakipata madaraka hawakujui,ndio tatizo la wengi wenu hamtaki kuumiza vichwa kufanya kazi ila kupewa posho tu
 
CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa.

Hali ilianza kuonekana tangu awali baada ya uchaguzi mkuu ambapo CHADEMA ilikataa kushikisha vyama vingine kwenye uongozi wa upinzani Bungeni. Uamuzi huu wa cHADEMA uliwasikitisha wapenda mabadiliko wengi.

Hii ni tofauti na chama cha wananchi CUF ambacho kiliishirikisha chadema kwenye uongozi wa upinzani Bungeni katika Bunge liliopita. Manufaa yake kwa taifa tumeyaona, Bunge la tisa liliweza kusimamia hoja nzito za kitaifa na kuitetemesha serikali mpaka Waziri Mkuu akajiuzuru. Bunge hili la 10 lina wabunge wengi zaidi wa upinzani lakini hakuna mafanikio yoyote katika kujenga hoja!

Zaidi ya hilo, mara kadhaa CHADEMA wamekuwa wakikimbia mijadala kwa mtindo wa kususa ambao haujawahi kuleta manufaa yoyote. Jambo kama la kususia hotuba ya Mkuu wa Nchi halikuwahi kutokea Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani kwenye bunge la 9.

Kadri siku zinavyoenda wananchi wanazidi kushuhudia jinsi CHADEMA inavyoshindwa kuwakilisha maslahi ya taifa Bungeni. Jambo linalosikitisha zaidi ni kwamba siku hizi wabunge wa CHADEMA wakiongea taarifa pekee inayoweza kutolewa ni kwamba “wamemchana kiongozi fulani”.

Anayeongoza katika tabia hii ya “kuchana” ni Sugu ambaye jana ameelezewa kuwa alimchana mbunge wa Iramba Mashariki. Huo ndio ulikuwa mchango wake kwenye bajeti ya Waziri Mkuu!!!

Kwa kweli inasikitisha pale input ya speech ya mbunge katika kuchangia bajeti ya Waziri Mkuu inapokuwa ni kumchana kiongozi! Mambo haya hayakuwepo Bungeni wakati CUF ilipokuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni. Hamad Rashid wa CUF alikuwa maridadi zaidi katika kusimamia shughuli na hoja za upinzani Bungeni kuliko anavyofanya kiongozi wa upinzani wa Bunge hili la 10.

Picha inayowekwa na CHADEMA ni kwamba upinzani ni vurugu. Wananchi wastaarabu wanaanza kuchukizwa na tabia za uvunjifu wa kanuni na kumkosea heshima Spika zinazofanywa na wabunge wa chadema. Hamad Rashid wa CUF hakuruhusu hili, lakini kiongozi wa sasa wa upinzani Bungeni anaona vurugu na kubishana na Spika kama burudani.

Nikumbushe tu kuwa taarifa zilizopo zinaonyesha hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA aliyeweza kutekeleza ahadi zake alizotoa kwa wananchi jimboni. Kwahiyo wananchi wanaweza kuwa na imani na wabunge wa CHADEMA iwapo wataona angalau Bungeni wana michango yenye tija.

Kwavile jimboni wabunge wa chadema hawatekelezi ahadi na Bungeni wanaenda “kuchanana” wananchi watakuwa hawana sababu ya kuchagua CHADEMA. Hasahasa ikizingatiwa kuwa chadema kimekuwa ni chama kinachoainisha matatizo bila kutoa jinsi yoyote ya utatuzi.

Vilevile CUF watakuwa na sababu ya kuwaambia wananchi kuwa CHADEMA wameharibu image ya upinzani Bungeni - jambo ambalo ni kweli. Jambo hilo litaiwezesha CUF kuchukua kura nyingi za wapenda upinzani ambazo zingeweza kuwa za CHADEMA katika majimbo ya Tanznia Bara. Kwa vigezo hivyohivyo CHADEMA itaendelea kukosa kura za Zanzibar.

Bottomline: CHADEMA imeligeuza Bunge kuwa jukwaa la kampeni. CUF walipokuwa wanaongoza upinzani Bungeni walisimamia hoja kwa maslahi ya taifa. Tabia ya vurugu na kumkosea heshima Spika inayofanywa na CHADEMA ni mtaji wa kisiasa kwa CUF.

Ushauri: CHADEMA ijiepushe na tabia za mipasho mbele ya TBC mkiwa Bungeni. Sugu apewe mafunzo maaluma ya kuchagua maneno ya kuongea Bungeni – itafaa zaidi iwapo hotuba zake zitapitiwa na Mnyika kabla

we jamaa vp mbona husemi jinsi cuf walivyotaka kuunda kambi rasmi ya upinzani pasipo kushirikisha vyama vingine vya upinzani mwaka 2010 baada ya uchaguzi mkuu wakati kanuni za kudumu za bunge zilikuwa haziwaruhusu kwa idadi walio kuwa nayo wakat huo, pili lakin cuf awakuwahi kuibua hoja nzito yoyote wakati huo tofauti na chadema pekee, na tatu cuf hawana ushirikiano wowote ule na wenzake hata wakati huu bungen. Mm kwangu naona nccr mageuzi ni bora zaidi hata ya cuf baada ya chadema chama makini sana.
 
Back
Top Bottom