Uko sawa kabisa nadhani wanaUKAWA hawajashtuka kuwa kuna wanaCCM wametumwa humu kuleta chokochoko za kujifajiri na kuwafariji wenzao wasihame chama mwanaUKAWA SHTUKA usipoteze muda wako bure zaidi dumu ukimwomba Mungu akujalie UZIMA hadi tarehe 25 octoba angalau tuokoe rasilimali zilizosalia kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho DELETE CCM!
Kuna NGO imetoa matokeo yake baada ya utafiti (TADIP) ENL 54%,JPM 40%. Hiyo kampuni iliyofanya utafiti nimeuangalia mara mbilimbili ikabidi niifuatilie kiundani.
Nikaanza kupata majibu.Wanafadhiliwa na taasisi ya Kijerumani CAS ambayo pia ni Mfadhili wa CHADEMA..Hapa picha nikaanza kuipata. He he he
Nikawaza sana nikahisi hawa watu wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe.
Kumbe Sio kufadhiliwa tu hiyo ni NGO iliyoanzishwa na CHADEMA mwaka 2008.Hapa picha halisi ikaja.Kumbe na Mkurugenzi wake wa kwanza alikuwa Zitto Kabwe.Mchoro mzima nikawa nimeshaupata.
Nikaagiza vipande viwili vya mihogo ya kukaanga nkashushia na Maji ya Kandoro.He he he.Life goes on.Maisha yanahitaji nini tena.
Hakuna chama kinachoweza kufanya utafiti chenyewe alafu kikaonyesha kinashindwa! Hata CHAUMA hawawezi kufanya hivyo! Labda muwape watu kazi wawafanyie utafiti.
Technically Sumaye yupo pale kwa ajili ya kuongea kwa niaba ya mgombea.
Legacy iliyotengenezwa kwa miaka 15 imeharibiwa na watu wawili MBOWE na ENL.CDM ya sasa ni yule jamaa anakula Ugali kwa picha ya samaki.
Muadilifu,Mzalendo, Mchapa kazi, Mzima wa afya, Maneno yake hayapishani na vitendo vyake. RAIS wangu ni Dr. John Pombe Magufuli.
Anasema wakulima wataenda Mouritius kutembea lakini wamasai wa jimbo lake wanakuja Dar kuuza ugoro na kujihusisha na Ususi. Mungu nichukue.Lowassa tuhurumie kidogo.
Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa.Na mimi nimehongwa.He he he he.
Tuwe creative kidogo.