CHADEMA waibuka na style tofauti

CHADEMA waibuka na style tofauti

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:

Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
 
chadema waibuka na style tofauti:

Hatimaye chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.

mbinu hii ni nzuri zaidi kuliko ya ccm
 
Ukawa hawana kitu saahizi sera za kuwavutia watu hazipotena lazima wafanye hvyo
 
Nasi tumeiga mbona nyie mmeiga mambo mengi?.
 
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:

Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.

Acha upunguani, hizi picha ni za zamani na nyingine ni siku ya kuchukua form, ccm uongo unawasaidia nini?
 
Zinduka kabla ya wakati: wenzako wanaoujua ukweli washaanza kugawana kila mtu chake katika ofisi za sisiem nchi nzima halafu wewe bado umo humu unashangaashangaa Chadema watakavyochukua inchi-shauri yako. Kachukue na wewe chochote utakachokuta maan hakuna namna ccm lazima ilie tuu safari hii-Usicheze na ukimya wa Lowassa hata kikwetu anafahamu kabisa Lowassa huwa hashindwi. Jiulize aliwateka wajumbe wote wa necccm huku mwenyeki akiaki kukodola jicho tuu- tayari 67% ya wapiga kura watampigia Lowassa amini usiamini ndo.
 
Mfamaji haishi kutapatapa, c twasubili kifo chenu 25 tuwazike mshadhurumu sana mali za Tz mnabaki kutapatapa kulindana tu lazima tuwanyooshee.
 
Ukawa inanuka fedha chafu!! Nani asiyejua km harambee ilikuwa kiinimacho & ukweli ni kuwa Rostam kaingiza bilioni 213 nyuma ya pazia kuwahonga watu..?

Mgombea anayetaka kuingia ikulu kwa rushwa HAFAI kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi!!!

CHAGUA MAGUFULI!!
#HAPA KAZI TU!!
 
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:

Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.

nenda na ww ukapakizwe....
 
Wala sio kweli hiyo ni picha ya mwaka juzi. Sisi tukitumia malori maafisa usalama barabarani wanazishika
 
Zinduka kabla ya wakati: wenzako wanaoujua ukweli washaanza kugawana kila mtu chake katika ofisi za sisiem nchi nzima halafu wewe bado umo humu unashangaashangaa Chadema watakavyochukua inchi-shauri yako. Kachukue na wewe chochote utakachokuta maan hakuna namna ccm lazima ilie tuu safari hii-Usicheze na ukimya wa Lowassa hata kikwetu anafahamu kabisa Lowassa huwa hashindwi. Jiulize aliwateka wajumbe wote wa necccm huku mwenyeki akiaki kukodola jicho tuu- tayari 67% ya wapiga kura watampigia Lowassa amini usiamini ndo.

Kama Lowasa aliweza kuteka wajumbe wote wa NEC CCM na bado CCM isimpitishe kugombea urais ujue huo ni muugiza alioutenda Mungu mwenyewe. Kwa sababu aliwateka hao wajumbe kwa kuwarubuni kwa pesa. Sasa huyu Mungu unadhani atakuwa wapi October 25???????
 
Back
Top Bottom