ndugu mwakidondo, maneno yako sio kweli, rais kikwete,mwenyekiti wa ccm,serikali ya ccm,wanashindwa nini kuwachukulia hatua wachochezi? ndio maana tunasema serikali dhaifu,sasa unasema pinda katuliza maasi ina maana hao aliokutana nao ndio walioandamana? hayo ni maneno ya kimagamba na lazima tutakapopata serikali imara viongozi wa ccm na serikali yake kila mmoja atawajibika kwa wanayoyafanyaNaipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.
Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
little thinkerNaipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.
Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
ndugu mwakidondo, kama ni kweli pinda amefanikiwa kuwatuliza watu wa mtwara,aitishe maandamano hapo mtwara ya kuunga mkono kupeleka gesi dar es salaamNaipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.
Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.
Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.
Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
Hii CDM inapaswa kuwa na msemaji otherwise wengi tutakuwa disappointed na movements zake. Kama ni kweli waliofanya hivi ni CDM basi moyo wangu unakuwa mdogo.
Sioni unachokataa kuwa hawa watu hawajachochewa wakati hata hapa jamvini maneno yao unayasikia. Kuna mmoja kaniambia (ktk moja ya mada za GESI) kuwa CCM inawadhulumu nafasi yao ya kuiendeleza Mtwara iwe na MAENDELEO kama ilivyo Bagamoyo, Kigamboni na Katavi.
Raeding btn the lines, huyu ni mbumbumbu na mlevi wa uvumi. Kwa tunaoijua Katavi, hivi unaweza kusema imeendelea zaidi ya Mtwara? Jibu ni kwamba imetajwa kwa kuwa PM anatoka kipande hiyo.
Bagamoyo na Mikindani zina tofauti gani? Jibu ni kwamba imetajwa kisiasa kwa kuwa FastJet anatoka huko. Sasa ukitazama ni kwamba, huyo aliyewaambia hayo anatumia kukosa kwao ufahamu kuwatrigger kwa manufaa yake.
Nyie endeleeni kubisha kwa nguvu zenu zooote lkn taratibu mtaanza kuona ubaya wa kubase Morals kwenye Myth.