CHADEMA wahurumieni watanzania

CHADEMA wahurumieni watanzania

Nani hasa anatakiwa kuwahurumia watanzania kwa akili zako hizo za kuazima? Ni haya maccm majambazi yanayopora kila kitu cha watanzania na kuwaacha watanzania wakiteseka au CHADEMA wanaopigania rasilimali za nchi kwa manufaa ya wananchi?
 
Hii CDM inapaswa kuwa na msemaji otherwise wengi tutakuwa disappointed na movements zake. Kama ni kweli waliofanya hivi ni CDM basi moyo wangu unakuwa mdogo.

Sioni unachokataa kuwa hawa watu hawajachochewa wakati hata hapa jamvini maneno yao unayasikia. Kuna mmoja kaniambia (ktk moja ya mada za GESI) kuwa CCM inawadhulumu nafasi yao ya kuiendeleza Mtwara iwe na MAENDELEO kama ilivyo Bagamoyo, Kigamboni na Katavi.

Raeding btn the lines, huyu ni mbumbumbu na mlevi wa uvumi. Kwa tunaoijua Katavi, hivi unaweza kusema imeendelea zaidi ya Mtwara? Jibu ni kwamba imetajwa kwa kuwa PM anatoka kipande hiyo.

Bagamoyo na Mikindani zina tofauti gani? Jibu ni kwamba imetajwa kisiasa kwa kuwa FastJet anatoka huko. Sasa ukitazama ni kwamba, huyo aliyewaambia hayo anatumia kukosa kwao ufahamu kuwatrigger kwa manufaa yake.

Nyie endeleeni kubisha kwa nguvu zenu zooote lkn taratibu mtaanza kuona ubaya wa kubase Morals kwenye Myth.
Una gonja nini kuondoka chadema tukakujua kwamba wewe ni CCM wanamtwara wamejitambua long time ago
 
Ivi Lema zaidi ya vurugu ana kazi gani nyingine pale chadema??maana wakitaka kumwaga damu popote anatumwa 'kamanda' lema.
 
kinana naye anakushangaa,kwa sababu pamoja na ukatibu wake mkuu wa ug.ambani alikiri watu wa mtwara wana hoja wasikilizwe,sasa sembuse wewe kimag.amba cha vijijini huna la kutueleza
 
hawa chadema kweli wachochezi,mana wamechochea kupeleka elimu ya uraia mtwara,wamechochea kuficha mradi wa gesi,wamechochea mikataba mibovu ya madini,wamechochea kinana kuwa jangili na ameua tembo wengi kweli na twiga kutoroshwa,wamechochea jk kuongeza safari za nje,amechochea jana jahazi kuzama, hawa chadema wachochezi kweli mana wamechochea vitu vingi kweli
mkuu wel said, yaani umeongea vema, hao jamaa walikuwa wanatafuta cha kuongea bt bahati nzuri chadema hawakwenda mtwara, ila wanatuogopa sana na ngoja m4cn ipite kule iwafungue macho zaidi wana kusini then waone impact yake yake. Mungu tuweke hai mpaka 2015 tuone anguko la magamba.

Bila shaka unaongea usichokijua. Siku ukikua utaelewa! Maana mtoto akiambiwa 'hiki ni kiti' wakati ni meza ataendelea kuamini hivyo na kuita hivyo. Ila siku akikua atajua kumbe sio kiti ni meza! Mwakidondo kalishwa propaganda za ccm kuwa Chadema kutoa elimu ya uraia inawapotosha watanzania!

Huo jamaa elimu yake ni hii ambayo serikali inakataa kuonesha mtaala. Ni hatari sana kushangilia watu ambao wanchezea elimu ya watoto wetu mpaka inakuwa kama tunawaelimisha makapi. Haki Ya Mungu Na laana iwe juu yao.
 
Mbowe, Dr. Slaa, Lema na makamanda wengine embu endeleeni kuwachochea wanamtwara na watanzania wote maana raslimali zetu zimeibiwa vya kutosha. Uchochezi wenu ni wa muhimu kweli kweli. Tuamsheni kwenye huu usingizi tuliolala miaka zaidi ya hamsini sasa tukiwa na raslimali kibao huku tukiitwa nchi maskini kulizo zote duniani. Mtwara wameamka. Embu tuamsheni na sisi wanamwanza, wanageita, wanamusoma, Tabora, Kilimanjaro, Arusha, Morogoro, na kweingineko. Tuamsheni watanzania wote kwani ni wakati wa kushika mapanga na sime kutetea raslimali zetu. Asanteni sana kwa M4C na kwa uchochezi wenu. Endeleeni kuchochea huu moto bila kuchoka!
 
Chadema nikawaida yao kuzusha mambo ndo maana nasema chadema haitafika mbali wakendelea natabiya yao walio kuwanayo. Wanafanya ivyo ili wapate kura 2015 ila hawatapata kwa mambo wanayo yafanya.

Rudi darasani kwanza, ukishajua kuandika urudi tena jamvini labda tutaanza kukuelewa.
 
Chadema nikawaida yao kuzusha mambo ndo maana nasema chadema haitafika mbali wakendelea natabiya yao walio kuwanayo. Wanafanya ivyo ili wapate kura 2015 ila hawatapata kwa mambo wanayo yafanya.

Umepewa lifti unapiga honi!!!
 
Chadema nikawaida yao kuzusha mambo ndo maana nasema chadema haitafika mbali wakendelea natabiya yao walio kuwanayo. Wanafanya ivyo ili wapate kura 2015 ila hawatapata kwa mambo wanayo yafanya.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu ilitoa tamko hili Oktoba 2011

Chanzo: ujenzi wa miradi ya umeme

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
[TABLE="width: 900"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425[/TD]
[TD]
image003.jpg
[/TD]
[TD]PRESIDENT'S OFFICE,THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

· Mradi kabambe wa umeme kujengwa
· Rais Kikwete apokea ripoti ya maandalizi
· Utagharimu mabilioni ya fedha
· Utaunganisha mikoa yote kwenye Gridi ya Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Oktoba 12, 2011, amepokea ripoti kutoka makampuni mawili ya kimataifa kuhusu Mpango Kabambe ya mradi mkubwa wa umeme ambaoutaunganisha kwenye Gridi ya Taifa mikoa yote sita ambayo kwa sasa haiko kwenye gridi hiyo.

Rais Kikwete amepokea ripoti hiyo kutoka makampuni ya China National Machinery&Equipment Import&Export Corporation (CMEC) ya China na Siemens ya Ujerumani ambayo kwa pamoja yanatarajia kujenga kituo kikubwa chakuzalisha umeme kutokana na gesi katika eneo la Mnazi Bay, mjini Mtwara na pia kujenga njia ya kusafirisha umeme ya kilomita 1,100 kutoka Mtwara hadi Singida.

Mradi huo mkubwa wa umeme wa megawati 300 utakaogharimu karibu dola za Marekani milioni 684 na utakaozalisha umeme wa moja kwa moja na wenye nguvu kubwa ya 300 kV (300 kV High Voltage Direct Current – HVDC)utagharimiwa kwa pamoja na mkopo kutoka Benki ya Exim ya China na Serikali ya Tanzania.
Umeme kutokana na mradi huo utaunganishwa kwenye gridi ya taifa na kutoka Singida hatimaye utavutwa kupelekwa katika mikoa ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ya Kagera, Kigoma na Rukwa ambako pia utaongezaupatikanaji wa umeme katika machimbo ya madini yaliyoko katika mikoa hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mbali na mikoa hiyo mitatu, pia mikoa ya Lindi na Mtwara ambayo nayo haiko katika Gridi ya Taifa nayo itaunganishwa katika Gridi hiyo kupitia umeme huo.

Kuunganishwa kwa mikoa hiyo sita katika Gridi ya Taifa kupitia umeme wa mradi huo pamoja na Mkoa wa Ruvuma ambao utaunganishwa katika Gridi hiyo kwa mradi unaogharimiwa na Serikali ya Sweden kutakamilisha mpango waSerikali ya Awamu ya Nne kuunganisha mikoa yote ya Tanzania kwenye umeme wa Gridi ya Taifa.

Kwa sasa Mkoa wa Kagera unahudumiwa na umeme kutoka Uganda, wakati Mikoa ya Kigoma na Rukwa inahudumiwa na umeme wa mafuta ya dizeli. Mikoa ya Mtwara na Lindi inapata umeme wake kutoka kampuni ya Wentworthambao haujaunganishwa kwenye gridi ya taifa.

Kuunganisha mikoa yote ya Tanzania kwenye Gridi ya Taifa ilikuwa moja ya ahadi kubwa zilizotolewa na Serikali ya Rais Kikwete wakati anaingia maradakani na kwa kuuunganisha mikoa hiyo sita kwenye Gridi hiyo, Serikali hiyoitakuwa imetimimiza ahadi hiyo.

Akipokea ripoti hiyo, Rais Kikwete ameishukuru Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa juhudi zao zilizofanikisha makubaliano ya kujengwa kwa mradi huo mkubwa waumeme ambao utachangia kuongeza wingi wa umeme nchini katika kipindi ambacho kwa miezi kadhaa Tanzania imekabiliwa na mgawo wa umeme kutokana na ukame uliokausha maji kwenye mabwawa makubwa ya uzalishaji umemenchini.
Rais Kikwete pia ameitaka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki ya EXIM ya China kuhakikisha kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zinapatikana haraka iwezekanavyo na pia ameitaka TANESCO na makampuni ya CMEC naSiemens baada ya kupatikana kwa fedha kuanza ujenzi wa mradi huo kwa kasi na kuukamilisha katika muda na ubora unaotarajiwa.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

12 Oktoba, 2011
 
Imefikia hatua sasa hata kibaka wakikukwapua ni chadema..mbona Cuf huitaji na ndo wamepiga mkutano juzi pale mtwara
 
Ina maana Prof. Muhongo alikuwa hajui hili?

Ina maana Simbachawene alikuwa hajui hili?

Ina maana Rais alipokuwa akihutubia mwisho wa mwaka alisahau kama ofisi yake ilitoa tamko hili.

Halafu watu wa Mtwara wakidai maelezo mnawaita waasi. Nani muasi, anayedai maendeleo yake au anayemdanganya kwa hila?

Think twice.
 
Hili jalada la kesi ya gesi ya mtwara limefungwa rasmi na JK leo na pia hata ile gesi itakayopatikana Lindi amesema itapelekwa dar vilevile, na watu wamempigia makofi.
 
Mi nawashangaa sana hawa CDM, ck zote walikuwa wanawdharau sana watu wa Kusini kwa kuwasemanga hawajaenda shule, wapenda CCM na mambo kadha wa kadha.

Leo hii wanasema ukombozi wa kweli unatoka mtwara hawana lolote hawa wanatubeza na kutughiribi. Hizi zote ni ghiriba tu. Ndugu zangu wa mtwara hawa hawatupendi na mwisho wa ck utasikia matusi na kashfa kadha wa kadha tukae chonjo. These people dont have parmanent friendship, have parmanent interest.........

Chonde vanung'uvangu anevo vanituheka na nelo vatupanyi makofi patuwalalana nundu vanatutukuta. Waziri nkuu anituhaulila tumpilikanile oti tuvang'e na serikali muda wakuyatenda, lilombe lideda lilinowela liyonjo, wetu tulinowee ntwara yetu.
Umesahau waliowatukana watu wa Mtwara?

Simbakalia: "Wapuuzi"
 
Ina maana Prof. Muhongo alikuwa hajui hili?

Ina maana Simbachawene alikuwa hajui hili?

Ina maana Rais alipokuwa akihutubia mwisho wa mwaka alisahau kama ofisi yake ilitoa tamko hili.

Halafu watu wa Mtwara wakidai maelezo mnawaita waasi. Nani muasi, anayedai maendeleo yake au anayemdanganya kwa hila?

Think twice.
Serikali ya JK haina mawasiliano ya wenyewe kwa wenyewe. Na JK anadhani ana watu kwenye wizara zake kumbe ana viatu.
JK inatakiwa afukuze kazi hao wote.
 
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.

Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
wewe utakuwa chadema ila unapost kinyumenyume. ila kama si chadema basi utakuwa na mtindio wa ubongo.
 
Back
Top Bottom