CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

Nape is such a visionless person, the wind of change is blowing over tanzania,no one under the sun will surpress it,nape is running from his own shadow
 
Jana gari la nape lilikuja mpaka ruaha university nadhani walikua wanataka kuwahonga vijana waende kujaza mkutano wao kesho wakatukuta tupo kontena tunakula gambe na hakuna aliye angaika nao wakaona sooo wakasepa watu tulika tumetoka kwaenye m4c full furaha
 
Mimi naamini kuwa watu tumetofautiana sana. Hivi huyu jamaa anayesema jana makamanda walimshambulia Nape, alikuwepo mkutanoni au hakuwepo? Ukweli ni kuwa hakuna aliyemshambulia Nape ila tu ukweli uliongelewa na hasa kuhusu bajeti iliyosomwa na Mgimwa. Wanahaha kuzuia mkutano wa nape kwa kufanya nini? Mtu mwenye hekima hutoa taarifa iliyojiri na siyo fabrications zisizo na mashiko. Halafu ujue wengi wa unaowaambia walikuwepo mkutanoni!
 
Kasombeni watu kwenye magari ili mjitahidi kujaza mkutano na wapate pa kupona kwa siku mbili hizi na sio kulomboka kama uji wa jela
 
Wewe giza kuu ulishaona maiti ikichapwa viboko? Nape na CCM yenu ni sawa maiti,haitupi tabu. RIP CCM.
 

ajabu ilioje mikutano ya ccm ni ya pesa unapewa mafuta lita kumi na 10,000 mnagawana yeye 5000 na wewe 5000
kwa maoni yangu nape hata hajui nini anachotakiwa kufanya kazi yake kuzunguka tu ....tangu aseme wanahama ccm ni oil chafu ina maana wale aliokuwa anawapokea toka vyama vingine atawaitaje?
yaani yeye atafaidi kuijuwa nchi ...ili akimaliza kuiharibu ccm arudi ccj yake
 

kaka hapo kwenye red pleasee. nape nae anatafuta ugali kwa vuvuzela lake ila umeenda mbali sana kumtukana kwa hivyo hii ni siasa tu najua una uchungu sana ila maneno makali namna hiyo please msamehe bure akiacha kulivumisha vuvuzela lake ujue ugali hana.
 
Jamani Tanzania ya leo ni ya .com siyo ya miaka ya sabini ya RTD mliwadanganya wananchi leo ni mambo hadharani. angalia nyomi hapo Iringa harafu lete hizo propaganda zako.



Peeeoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssss.......una taka za Mtwara, Lindi, Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya, Songea, Kigoma, Dodoma, Manyara, Tanga,Bukoba, Shinyanga, Mara............chezea chadema wewe
 
Tunamwachia nape awape za mbavu, sisi tukija ni za uso tu. Mmesahau Jangwani? kwi kwi kwi teh teh teh!

wacha we....muambie michuzi acheze na photoshop tena watu waonekane wamejaaa...mmebanwa kabari hamuhemi..mtajamba sana mwaka huu
 
kajifunze lugha kwa ufasaha kwanza ni range rover na sio range lover,, thn acha kupiga mayowe..........
 

Mawazo yako yanaoneka ni vuvuzela kama Nape mwenyewe..nakushauri ukapime uwezo wako wa kuongea na kujenga hoja kwenye forum kama hii. Wewe kwako facebook hapa umepotea njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…