CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

Licha ya kelele za hapa na pale siyi siri kuwa nape anawanyima chadema usingizi. Nilipita pale njombe wakati chadema woote wamehamia mikoa ya kusini ambako walianza kwa mbwembwe lakini baada ya kuonja joto ya jiwe kwa mikutano yao kususiwa wakaacha usanii wa kuonesha kwenye taarifa za habari za itv mwenzao. Wakajikuta kwenye aibu ya kuuza kadi majumbani na kudoea ugali wa watu waliowakejeli eti ni masikini kuliko huko kaskazini chadema inakotoka. Kweli siasa shule. Sasa nape peke yake anapita katika kila kona walikopita chadema. Wananchi wametoa siri kuwa kila kadi ya ccm ilikuwa inauzwa eti hata kama utaki kujiunga na chadema sisi tunaomba utuuzie tu kadi. Sasa nape anapita kuwarudishia kadi baadhi ya wanachama na wamehakikishiwa kuwa wakipita tena nyie pesa zao kuleni kadi zenu tutawarudishia. Sasa wameanza kumpiga vijembe nape, lakini ukisikia mtu analialia jua amepigwa. Sasa debe tupu la hawa chaga development manifesto ni wasiwasi wa pesa walizokula kule conservative union ambazo hazikuzaa matunda. Kimbunga cha ccm pale jangwani na moto wa nape unaanza kuchoma. Mwakyembe walidhani atajiunga nao akawakejeli kuwa wampe uenyekiti wa chadema. Shibuda kuonesha nia tu wanataka kumjadili. Nasari alitoa kauli za uhaini nhakuna hata mmiliki mmoja wa hii ngo amekemea. Sasa watanzania tunaanza kuwafahamu ndugu zetu tutakula na ninyi sahani moja kuulinda uhuru wetu na muungano wetu. Conservative party haina ilichosahau tanzania ilikwishafukuzwa mwaka 1961. Waambieni walie tu. Dhlakama ameshindwa mozambique aachane na tanzania. Anawadanganya hawa wavulana wa chadema kwavile wengi shule mgogoro na hawaijui historia ya afrika ndo maana wanajirafikish na renamo
 
Dah sijaambulia kitu aiseee.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kasi ya Nape kufuta nyayo za cdm mikoani, cdm wakiongozwa na makamanda wao kadhaa wamehaha usiku kucha kuamkia leo kujaribu kuzuia mkutano wa CCM mjini Iringa utakaohutubiwa na Nape Nnauye.

Purukushani ilianza kwa kumbeba Zito na baadhi ya vijana wa cdm kina Millya na kufanya mkutano mjini Iringa ambao mkutano mzima uliishia kwa kumshambulia Nape na kuwataka watu wasihudhurie mkutano wa Nape leo.

Tuone leo mwitikio wa wana Iringa kwenye wito wa Nape au Msigwa

Jina lako speak louder than ethin!unaposema wamewachukua zitto na vijana wengine wa cdm ni kosa?kwani kulikuwa na makubaliano ya kutowatumia hao uliyowasema?ngumi za kitoto eti vua viatu ndo tupigane
 
Licha ya kelele za hapa na pale siyi siri kuwa nape anawanyima chadema usingizi. Nilipita pale njombe wakati chadema woote wamehamia mikoa ya kusini ambako walianza kwa mbwembwe lakini baada ya kuonja joto ya jiwe kwa mikutano yao kususiwa wakaacha usanii wa kuonesha kwenye taarifa za habari za itv mwenzao. Wakajikuta kwenye aibu ya kuuza kadi majumbani na kudoea ugali wa watu waliowakejeli eti ni masikini kuliko huko kaskazini chadema inakotoka. Kweli siasa shule. Sasa nape peke yake anapita katika kila kona walikopita chadema. Wananchi wametoa siri kuwa kila kadi ya ccm ilikuwa inauzwa eti hata kama utaki kujiunga na chadema sisi tunaomba utuuzie tu kadi. Sasa nape anapita kuwarudishia kadi baadhi ya wanachama na wamehakikishiwa kuwa wakipita tena nyie pesa zao kuleni kadi zenu tutawarudishia. Sasa wameanza kumpiga vijembe nape, lakini ukisikia mtu analialia jua amepigwa. Sasa debe tupu la hawa chaga development manifesto ni wasiwasi wa pesa walizokula kule conservative union ambazo hazikuzaa matunda. Kimbunga cha ccm pale jangwani na moto wa nape unaanza kuchoma. Mwakyembe walidhani atajiunga nao akawakejeli kuwa wampe uenyekiti wa chadema. Shibuda kuonesha nia tu wanataka kumjadili. Nasari alitoa kauli za uhaini nhakuna hata mmiliki mmoja wa hii ngo amekemea. Sasa watanzania tunaanza kuwafahamu ndugu zetu tutakula na ninyi sahani moja kuulinda uhuru wetu na muungano wetu. Conservative party haina ilichosahau tanzania ilikwishafukuzwa mwaka 1961. Waambieni walie tu. Dhlakama ameshindwa mozambique aachane na tanzania. Anawadanganya hawa wavulana wa chadema kwavile wengi shule mgogoro na hawaijui historia ya afrika ndo maana wanajirafikish na renamo

Mtakuja kwa kila aina ya maneno kuiremba ccm-iliyochoka kifikra,na wananchi tutawastukia tu.Kila siku kazi yenu ni kuwatukana wananchi tu sera na utekelezaji mlishaviteremsha kwa maji siku nyingiiii!!endeleeni kulala usingizi huo huo.
 
huyu nape anaewatuma ndio anakimaliza chama chenu kama hamjui. analazimisha coverage kwenye media ili mabos wake wamwone bila yeye basi hakuna kitu. Kumbe ndio anawapumbaza.
 
Licha ya kelele za hapa na pale siyi siri kuwa nape anawanyima chadema usingizi. Nilipita pale njombe wakati chadema woote wamehamia mikoa ya kusini ambako walianza kwa mbwembwe lakini baada ya kuonja joto ya jiwe kwa mikutano yao kususiwa wakaacha usanii wa kuonesha kwenye taarifa za habari za itv mwenzao. Wakajikuta kwenye aibu ya kuuza kadi majumbani na kudoea ugali wa watu waliowakejeli eti ni masikini kuliko huko kaskazini chadema inakotoka. Kweli siasa shule. Sasa nape peke yake anapita katika kila kona walikopita chadema. Wananchi wametoa siri kuwa kila kadi ya ccm ilikuwa inauzwa eti hata kama utaki kujiunga na chadema sisi tunaomba utuuzie tu kadi. Sasa nape anapita kuwarudishia kadi baadhi ya wanachama na wamehakikishiwa kuwa wakipita tena nyie pesa zao kuleni kadi zenu tutawarudishia. Sasa wameanza kumpiga vijembe nape, lakini ukisikia mtu analialia jua amepigwa. Sasa debe tupu la hawa chaga development manifesto ni wasiwasi wa pesa walizokula kule conservative union ambazo hazikuzaa matunda. Kimbunga cha ccm pale jangwani na moto wa nape unaanza kuchoma. Mwakyembe walidhani atajiunga nao akawakejeli kuwa wampe uenyekiti wa chadema. Shibuda kuonesha nia tu wanataka kumjadili. Nasari alitoa kauli za uhaini nhakuna hata mmiliki mmoja wa hii ngo amekemea. Sasa watanzania tunaanza kuwafahamu ndugu zetu tutakula na ninyi sahani moja kuulinda uhuru wetu na muungano wetu. Conservative party haina ilichosahau tanzania ilikwishafukuzwa mwaka 1961. Waambieni walie tu. Dhlakama ameshindwa mozambique aachane na tanzania. Anawadanganya hawa wavulana wa chadema kwavile wengi shule mgogoro na hawaijui historia ya afrika ndo maana wanajirafikish na renamo

Kalale kesho shule, hivi uko darasa la ngapi vile?
 
Bogus....

4730452166_aeb5b78f98_b.jpg
 
Dah wanatia huruma!

Hivi hizi ziara za nape ni mwendelezo wa kucounter M4C za Cdm?naona leo walikuwa moro wanaendeleza story za jangwani kupiga porojo wakati wao ndiyo serikali na watendaji.
 
Licha ya kelele za hapa na pale siyi siri kuwa nape anawanyima chadema usingizi. Nilipita pale njombe wakati chadema woote wamehamia mikoa ya kusini ambako walianza kwa mbwembwe lakini baada ya kuonja joto ya jiwe kwa mikutano yao kususiwa wakaacha usanii wa kuonesha kwenye taarifa za habari za itv mwenzao. Wakajikuta kwenye aibu ya kuuza kadi majumbani na kudoea ugali wa watu waliowakejeli eti ni masikini kuliko huko kaskazini chadema inakotoka. Kweli siasa shule. Sasa nape peke yake anapita katika kila kona walikopita chadema. Wananchi wametoa siri kuwa kila kadi ya ccm ilikuwa inauzwa eti hata kama utaki kujiunga na chadema sisi tunaomba utuuzie tu kadi. Sasa nape anapita kuwarudishia kadi baadhi ya wanachama na wamehakikishiwa kuwa wakipita tena nyie pesa zao kuleni kadi zenu tutawarudishia. Sasa wameanza kumpiga vijembe nape, lakini ukisikia mtu analialia jua amepigwa. Sasa debe tupu la hawa chaga development manifesto ni wasiwasi wa pesa walizokula kule conservative union ambazo hazikuzaa matunda. Kimbunga cha ccm pale jangwani na moto wa nape unaanza kuchoma. Mwakyembe walidhani atajiunga nao akawakejeli kuwa wampe uenyekiti wa chadema. Shibuda kuonesha nia tu wanataka kumjadili. Nasari alitoa kauli za uhaini nhakuna hata mmiliki mmoja wa hii ngo amekemea. Sasa watanzania tunaanza kuwafahamu ndugu zetu tutakula na ninyi sahani moja kuulinda uhuru wetu na muungano wetu. Conservative party haina ilichosahau tanzania ilikwishafukuzwa mwaka 1961. Waambieni walie tu. Dhlakama ameshindwa mozambique aachane na tanzania. Anawadanganya hawa wavulana wa chadema kwavile wengi shule mgogoro na hawaijui historia ya afrika ndo maana wanajirafikish na renamo

Acha kutoa povu jingi kiasi hiki kwan ikiwa Nape anatunyima usingizi sasa inakuwaje ww utoe mapovu kiasi hiki na kukamaza mishipa ya shingo na macho kuwa mekundu?!

M4C ni nouma...!
 
Licha ya kelele za hapa
na pale siyi siri kuwa nape anawanyima chadema usingizi. Nilipita pale
njombe wakati chadema woote wamehamia mikoa ya kusini ambako walianza
kwa mbwembwe lakini baada ya kuonja joto ya jiwe kwa mikutano yao
kususiwa wakaacha usanii wa kuonesha kwenye taarifa za habari za itv
mwenzao. Wakajikuta kwenye aibu ya kuuza kadi majumbani na kudoea ugali
wa watu waliowakejeli eti ni masikini kuliko huko kaskazini chadema
inakotoka. Kweli siasa shule. Sasa nape peke yake anapita katika kila
kona walikopita chadema. Wananchi wametoa siri kuwa kila kadi ya ccm
ilikuwa inauzwa eti hata kama utaki kujiunga na chadema sisi tunaomba
utuuzie tu kadi. Sasa nape anapita kuwarudishia kadi baadhi ya wanachama
na wamehakikishiwa kuwa wakipita tena nyie pesa zao kuleni kadi zenu
tutawarudishia. Sasa wameanza kumpiga vijembe nape, lakini ukisikia mtu
analialia jua amepigwa. Sasa debe tupu la hawa chaga development
manifesto ni wasiwasi wa pesa walizokula kule conservative union ambazo
hazikuzaa matunda. Kimbunga cha ccm pale jangwani na moto wa nape
unaanza kuchoma. Mwakyembe walidhani atajiunga nao akawakejeli kuwa
wampe uenyekiti wa chadema. Shibuda kuonesha nia tu wanataka kumjadili.
Nasari alitoa kauli za uhaini nhakuna hata mmiliki mmoja wa hii ngo
amekemea. Sasa watanzania tunaanza kuwafahamu ndugu zetu tutakula na
ninyi sahani moja kuulinda uhuru wetu na muungano wetu. Conservative
party haina ilichosahau tanzania ilikwishafukuzwa mwaka 1961. Waambieni
walie tu. Dhlakama ameshindwa mozambique aachane na tanzania.
Anawadanganya hawa wavulana wa chadema kwavile wengi shule mgogoro na
hawaijui historia ya afrika ndo maana wanajirafikish na renamo

Unawatia aibu wanyaki wewe! Au ndio ile ya Kiwira makaa ya mawe yenye damu ya kichina!
 
Back
Top Bottom