CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gizakuu, Jun 17, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kasi ya Nape kufuta nyayo za cdm mikoani, cdm wakiongozwa na makamanda wao kadhaa wamehaha usiku kucha kuamkia leo kujaribu kuzuia mkutano wa CCM mjini Iringa utakaohutubiwa na Nape Nnauye.

  Purukushani ilianza kwa kumbeba Zito na baadhi ya vijana wa cdm kina Millya na kufanya mkutano mjini Iringa ambao mkutano mzima uliishia kwa kumshambulia Nape na kuwataka watu wasihudhurie mkutano wa Nape leo.

  Tuone leo mwitikio wa wana Iringa kwenye wito wa Nape au Msigwa
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nape ni kama Vitz na hao unaosema wanahaha kuuzima mkutano wa CCM ni kama RANGE LOVER. Sasa iwaje Range iionee wivu Vitz kuwa eti inakimbia sana?

  Walioanzisha M4C ni CDM Nape kaiga tu, sasa inakuwaje kinyago ulichokichonga mwenyewe kikutishe?

  Kama Nape anaitisha CDM ni sawa na Burundi kuitisha TZ kivita!!!!!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wewe usiku wakati wana haha wewe ulikuwa wapi? hivi kwa nyomi ya jana chadema ni chama cha kuhaha na mkutano wa huyo mzee wa kujichubua..yaani kwasasa hivi nape hata mkutano ukiitishwa na diwani kupitia chadema na nape akawa na mkutano wakati huo huo nakuhakikishia diwani atafunia...
   
 4. S

  STIDE JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sema Nape anahaha usiku kucha kuzima moto wa CHADEMA!! Posho za Lumumba naona zimeamia mikoani sijui kina Rejao, Ritz&co wataishije hapo town!!
   
 5. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Conclusvely, this thread is only for justifying napes's allowances. ccm to rally at the time of delivering won't rescue rather propels hatred among wananchi who we're fed up of new white promises at the mid of unaccomplished general election promises worth 63 Trillion!
   
 6. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kijana wacha kupiga mayowe. M4C ni mwendo mdundu, kasi yake hamuiwezi!
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo hali halisi ya CHADEMA Iringa.

  IMG_3491.jpg
  IMG_3500.JPG
  IMG_3504.JPG

  Halafu eti bado kuwe kuna sababu ya kuhujumu mkutano wa Vuvuzela??!!! Unachekesha wewe.
   
 8. Imany John

  Imany John Verified User

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Hakika ni giza kuu.
  M4c kama njaa.
   
 9. N

  Njaare JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We nini? Kabla hujaandika hebu ona hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/279714-picha-zitto-akiwa-jimboni-kwa-msigwa-leo.html#post4066288

  Nimeamini maneno huumba. ID name 'Giza kuu" yako inafanana na akili yako ilipo
   
 10. Y

  Yetuwote Senior Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenzetu ni Giza kuu, alikuwa haoni wakati M4C inafanya mambo yake. Kwa kuwa haoni usiku hakulala akisikia mipanya na mipaka ikifukuzana akadhani ni chadema wanahaha. Msameheni bure ni giza kuu.
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana nini CDM kuzuia Nape asihutubie wananchi? CDM hawana polisi ,CDM hawana Usalama wa taifa, Hivi Nilini watanzania mtaacha Uzushi na uongo? Nape si lolote CDM na CDM haiwezi kuacha majukumu yake ya msingi ya kuleta ukombozi eti ikaanza kupambana na Nape!
   
 12. Mr.Waukweli

  Mr.Waukweli Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mkuu tafadhali tuwekee picha za mkutano wa Nape ili tujue nani alikuwa anahujumu mkutano wa mwenzake, maana CCM hawaishi kutapatapa people.............z. P
   
 13. M

  Mlyafinono Senior Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo kazi mliyobaki nayo magamba, huyu jamaa kwa uwaongo sijapata kuona, katika mkutano wa zito jana hakuongelea habari ya wananchi kuacha kwenda kumsikiliza nape.Isipokuwa alisema kadi walizorudisha magamaba baada ya kujivua gamba watampelekea nape, sasa inakuwaje tena huyo jamaa anaropoka kama kanywa ngongo ya kinyesi
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  source: Gizakuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida vijana wa Nape hakuna cha maana wanachoandika humu jukwaani ni pumba tu a.k.a.magamba @work
   
 16. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Mnyalukolo wilonga nyoni sana!
  Vayago visika ukombozi veve wileta uudala kangi!
   
 17. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba ccm injitahidi kufuta nyayo za mageuzi nchini lakini si wanamaeuzi kufuta nyayo za ccm, ila sishangai kwa wewe kuwa na mtazamo huo maana umo gizani kama ujiitavyo Gizakuu
   
 18. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Gizakuu: hili jina lako linaendana kabisa na mawazo yako, bado umejawa na giza mawazoni mwako. CCM ndiyo wamezoea kuhaha CDM wanapotoa miguu nanyie(CCM) mnakanyaga hapohapo kana kwamba hamjui njia.
   
 19. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nape yupi, huyu anayechanganyikiwa kila kukicha?!

  Huyu anayesahau kuwa yeye si kiongozi wa serikali na hana mamlaka ya kutoa maagizo ya shughuli za serikali? Nape chama kimemshinda na sasa hajui jukumu lake. Anaingilia kazi za mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya kwa kutoa maagizo ambayo hamna atakayeyafuata kwa kuwa yametoka kwa Mr. No-one.

  Hivi lile agizo la kuanza kutumia majengo ya Hospitali ya Mkoa wa Singida, kama mganga mkuu akilitimiza, waziri wa Afya akimuuliza alipata ruhusa ya kufanya hivyo toka wapi, anaweza kweli kujibu KWA NAPE!

  Nape chama kimemshinda sasa HAJITAMBUI, HOI
   
 20. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,247
  Trophy Points: 280
  Dalili za ugonjwa wa kifaduro.
   
Loading...