kukukakara
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 496
- 164
Habari imekaa kiudaku udaku tu, at subheading inasema kuwa Kiwia(mwanamke if i'm not mistaken),ndiye ametupiwa lawama,halafu ndani wanasema eti wamepingwa kwasababu ni wanawake.Sasa kama wanawake hawakubaliki ndani ya chadema,how come wanayepingana naye ni mwanamke?Ina maana wanawake wa chadema ndiyo hawataki wanawake ndani ya chadema?Halafu tena wanasema "imepasuka",habari nyingine utumbo mtupu.Inconsistencies zinaonyesha ni more of udaku na kukuza mambo tu.*Mbunge Highnes Kiwia atupiwa lawama
ili kuonyesha msimamo wetu kuhusu kutokubaliana na uamuzi huo kwani inavyoonyesha wanawake hawakubaliki ndani ya CHADEMA," alisema mtoa taarifa wetu.
Hata atoke dokta slaa na wengine upendo wa chadema utacki ndani ya myoyo yetu huyo mjinga ANAYETAKA KUJIUZURU NI MBUNGE WA JIMBO LIPI KAMA NI VTI MALUMU pumbavu ajiuzuru nyangau mdogo.
Habari imekaa kiudaku udaku tu, at subheading inasema kuwa Kiwia(mwanamke if i'm not mistaken),ndiye ametupiwa lawama,halafu ndani wanasema eti wamepingwa kwasababu ni wanawake.Sasa kama wanawake hawakubaliki ndani ya chadema,how come wanayepingana naye ni mwanamke?Ina maana wanawake wa chadema ndiyo hawataki wanawake ndani ya chadema?Halafu tena wanasema "imepasuka",habari nyingine utumbo mtupu.Inconsistencies zinaonyesha ni more of udaku na kukuza mambo tu.
O!Kwahiyo sasa siyo kwasababu wanawake hawapendwi,bali ni kwasababu siyo wachagga?Ama unatoka nje ya mada?Jmushi naona katajwa mchaga mwenzako ndani ya chaga development manifesto na umekuwa mkali lakini tunajua ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi(pesa)
hii ni trela bado filim!! hakuna cha CDM wala CCM wote hawa ni mafisadi safari yetu ya ukombozi bado ni ndefu!!!