CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa


Hahaaaaaaaa wamekumbuka shaka ASUBUHI
 
Ni heri aliondoka.
Natumaini ataenda kuijenga CCM itawale milele.
 
Acha upimbi wewe serikali imetumia mabavu kama hapa kahama unaweza sema ccm imeshinda kihalali, kituo cha wafanyakazi wa mgodi wote ni ccm. wakati hakuna mfanyakazi ccm hata mmoja


Tatizo kura ni siri usihadaike na maneno ya mtu..eti mi tim lowasa sijui mabadiliko siku ya kupiga kura anabaki yeye na kiboksi anatumia akili yake ya kuzaliwa kufanya maamuzi
 
:lock1: Jamiiforums acheni kunichokonoa.

:hurt:
 
Mleta uzi ww ----- kabisa..siasa ni pata potea, mawazir wangap wa ccm wameanguka ? mbona hamsem mnaongelea wabunge wa cdm tu? Mm najiulzaga hv watu kama ww hua mnawaza kwa kutumia O au?? be realistic acha bla blaa
 
Nyinyi msioijua siasa mnahangaika sana na kuhangaisha wengine,chadema ni taasisi inamkumbukaje dr silla,wewe kama unampenda mfuate,taasisi ambayo itashindwa kusimamia uamuzi wake haitufai.labda nikuambie hivi,chadema ni zaidi ya mbowe.

Chadema ni zaidi ya nani??..unaumwa wewe sio bure!!
 
Jamani wahurumie chadema yaani huku mtaani wamenywea mpaka wanatuia huruma, sijui hali ya musa allan ikoje na ocampo four
 
Makelele ya nyumbu yamepungua sana humu jf sijui tatizo nn
 
Madodoki jamani njooni huku kuna watu wanawashambulia!
 


Ha ha ha

Nikikumbuka kauli ya gwajima eti kwamba Chadema na lowasa wakichukua dola misikiti itageuka sunday schools huwa nacheka sana.

Tumeizika ile ndoto moja kwa moja.

Teh teh teh makamanda chaliii...ndembe ndembe kifo cha mendeeeee....
 
Unajua chadema malofa sana.

Sasa wao nani kawaambia kuwa mabadiliko yanapatikana kwa kuzungusha mikono?

Teh teh teh


Mbowe hana akili timamu yule

Ha ha ha
 
"ukawa itashinda kwa kura 3mil,"
"Tunajifunza jambo! uchaguzi bila time huru"
"NGUMU"

Yaaani unataka kutuambia kuwa viongozi wa chadema na ukawa hawakujua hili swala.
Wewe unaleta utani kwenye jukwaa.
 

Acha uongo, life goes on with or without Dr Slaa
 
Hatunywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbele, tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele, na wavimbe wapasuke, watajijua wenyewe, wacha waisome namba eeh, ccm mbele kwa mbele, wajinga hao, tumewapiga kwenye mitaa, ccm mbele kwa mbele, tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele, na wavimbe wapasuke, wacha waisome namba eeh, ccm mbele kwa mbele...

Ha ha ha ha hii nyimbo raha sana kuisikiliza kipindi hiki. #HapaKaziTu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…