CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Slaa atarudi kufufua cdm baada ya uchaguzi. Mbowe hana siku nyingi cdm. Atapigwa chini
 
akumbukwe kwa lipi wakati kipigo kiko pale pale ...majimbo ya chadema mwaka huu ni mengi mnoo
 
Mtu kama Wenje kweli ni wa kumponda Dr.Slaa??
Namimi nilishangaa sana kwakweli bora upewe laana na mtu mwingine lakini sio laana ya Slaa lazima ujute....
 
Katika vitu ambavyo wanachama wa chama chocho hufanya makosa ni kufuata watu au viongozi wakati wanapo taka kujiunga au kushabikia chama fulani, hebu tubadilike tunachotakiwa kujiunga au kukishabikia ni chama,mtu abaki kama kiongozi,mwanachama au mshabiki wa chama,tukifanya hivyo tutakuwa tunaheshimu maamuzi ya chama au uamuzi wa mwanachama.
 
CCM wamechukua majimbo ya Ukawa siyo Chadema tu wamechukua majimbo ya CUF wamechukuwa majimbo ya NCCR Mageuzi.

Ukerewe, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini na bado matokeo yanazidi kutoka hayo ya Chadema tu.

Kamanda muombeni radhi Dr.Slaa yaishe.

Nonsense
Kwa hiyo CCM kupoteza Siha,Bunda,Mtwara etc nao wakamuombe radhi Mumeo ?
 
Bila Slaa cdm ilisha kufa. Ni bora vijana mkamlambe miguu dr.mihogo arudi kufufua chama
 
Kwani mabere marando bado hajamtangaza Mr Pampas
 
chadema alikikuta na amekiacha hakuna aliye juu ya chama.
 
Mtu mzima anakaa na kuanza kusema eti dr silaa aombwe radhi!!! Chadema sio mbowe chadema ni taasisi na taasisi ambayo haiwezi kusimamia uamuzi wake haitufai,kama unampenda sana dr silla mfuate,haukuona jinsi waliokuwa wakimpenda mrema walivyokuwa wakimfuata kila alipokuwa akihama chama?
 
Kwakweli Dr anapaswa kuombwa msamaha lasivyo laana hii haito waacha...
 

Kweli kbs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…