Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Teh Teh UKAWA hoi..chalii kifo cha wembe...Huu mnyoosho sio wa pasi wala rula ni wa barafu...wataisoma no..
Kati ya watu malofa wewe ndiye kiongozi wao ndio maana ulitandikwa ubungo na kwenda kubusu viatu
Kwikwikwiii! Umenikumbusha mbali sana.
acha upimbi wewe serikali imetumia mabavu kama hapa kahama unaweza sema ccm imeshinda kihalali, kituo cha wafanyakazi wa mgodi wote ni ccm. Wakati hakuna mfanyakazi ccm hata mmoja
kilichobaki ni kukafuta haka kachama ka wapulizajin na wanywa viroba act na cuf chukueni nafasi yenu hiyobaada ya kudanganywa na mbowe na gwajima mkaanza kumtukana mnamuita dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Umeonaeeeee😅😆
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Nimeona mkuu acha wabwabwaje tu wasubiri upepo utakavyozidi kuvuma ndo wataelewa.
kilichobaki ni kukafuta haka kachama ka wapulizajin na wanywa viroba act na cuf chukueni nafasi yenu hiyo
Tayari ushaanza kuvuma mkuu tutarajie kutowaona hapa jukwaani kwa leo
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani
Mkuu hawa jamaa walidanganyika na mafuriko hewa ,wakasahau kuwa kwenye kura hakuna kuigiza wala mafuriko hewa,tuliwaambia maigizo yenu ni maafa yenu,hawakusikia,tukawaambia kujaza server za JF na kumsifia msanii sio ndio kupiga kura,sasa nadhani wameyaona wenyewe,sasa sijui Mzee kingunge atazungushia wapi mikono,Mungu mkubwa magamba yamejivua yenyewe na sasa tunasubiri Magufuli atupeleke Canaan ,nchi ya maziwa na asali.Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Wewe ndie mwehu mlisema Lowasa,Kingunge wanajua siri na mbinu za CCM pia mkambeba na huyo aliyekuwa mlinda kura za CCM mkidhani sasa ndio mtashinda mkasahau kuwa wananchi ndio waamuzi imekula kwenu,na sasa mtasubiri miaka 50 kama alivyotabiri mgombea uraisi wenu,haya zungusha zungusha funga ngumi Pipo Ziiiiiiwe mweu kwa lipi aombwe msamahaa kwa uho ushindi wa wizi ata yeye angeibiwa tu kwani mwizi achagui nyumba ya kuiba
Ni wapi wameibiwa? Wamepigwa chini. Hawa ukawa ni wajinga sana.
Teh Teh UKAWA hoi..chalii kifo cha wembe...
Ufinyu wa akili unamfanya mtu ashindwe kulinganisha hali ya kisiasa na upatikanaji wa fursa za maendeleo.siasa inaweza ikakufanya ule bata au uendelee kula nyasi.maendeleo hupatikana pakiwepo watu ,siasa safi,na uongozi bora.