CHADEMA waanikwa!

CHADEMA waanikwa!

Huna jipya wewe, kakojoe ulalwe
 
Attachments

  • 1413606957489.jpg
    1413606957489.jpg
    9 KB · Views: 497
Hoja ishajibiwa wewe. jenga utaratibu wakupitia comments zanyuma.

i was not responding to you, coz i asked the same question twice na ulishindwa kujua kwanini nauliza the same question

Upeo bado ni shida
 
BORA KUWA MGONJWA WA EBOLA KULIKO MWANACHAMA WA CCM ...huu waraka umeandikwa na vibaraka wa ccm wapuuzi sana
 
Huyo ni mfanyakazi wa ndani anamsaidia boss wake. Wewe unadhani ajira ni rahisi kiivoo??

Halafu hao chini ni waimba kwaya/ngonjera wakitumbuiza mkutano.

Jibu hoja kwenye thread hapo juu. usilete #janjajanja kama kaka zako kina Mboweeh!!

Kweli mkuu hiyo ndiyo jinsi ya kupanua wigo wa ajira kwa vijana wetu wanaohitimu elimu ya juu kila mwaka akifunga kamba za viatu vya riz1 anapewa buku 7 ili hali tabaka tawala wanajinufaisha na rasilimali za taifa
 
Jamaa nafahamu kiasi !Nlmwona kwenye kampeni zake 2010 na kampeni za udiwani Mpwayungu! Kwanza hana mvuto kwa raia,pili anakingungumizi kinoma. Kitu kibaya zaidi amepolomoka kinoma! Kutoka kuwakomboa wana Mtera hadi kunywa Choya! Watu wa Dodoma wanaifahamu hiyo pombe lita tano buku mbili,so chama chochote smart hakiwez kuwa na mtu kama huyu! Mh. Lusinde ni std 7 lakn huwezi kumpambanisha na Lubote afu utegemee Chadema washinde! Jamaa kama atabisha muulizeni kama hajampa mimba mtoto Mwl. Mmoja hv msitaafu wa Mpwayungu. Ni kweli kuwa vyama vya upinzani bado vina tatizo kwenye recruitment ya viongozi,ndio mana kila anayetoka toka ndani ya nyumba anataka kuondoka na fito!
 
Soma contents ktk picha hizo.
Huu upuuzi tuliona kwa yule chokoraa aliyelipwa na Diallo!! hatuna shida nao!! siye tunaswaga mkoloni mbaya kuliko wote duniani aondoke CCM ni Chama Cha Majambazi!! We are focussed!!
 
i was not responding to you, coz i asked the same question twice na ulishindwa kujua kwanini nauliza the same question

Upeo bado ni shida

Mkuu hawa wachumia tumbo walioamua kujitoa ufahamu ili matumbo yao yajae ni shida
 
i was not responding to you, coz i asked the same question twice na ulishindwa kujua kwanini nauliza the same question

Upeo bado ni shida

Usizuge bhanaa! ushakamatwa pabaya
 
Basi kama wewe ni Mhasibu
Tutaiomba Bodi ya Taiwan ya Wakaguzi na Wahasibu ukufute huna sifa unatoa siri za muajiri bila idhibi ya wahusika ni sawa na mkeo ama mme anakovu sehemu za siri unamtangaza. Mimi binafsi ni mhasibu huyo jamaa kama angekuwa na sifa za kihasibu angepaswa akishauri chama kikaguliwa na independent auditor nasio kuropoka kama mlevi wa kiroba
 
hahaaa! kumbe Chadema wanaKOVU mapajani!!!!!
 
Kwa mhasibu huyo hana sifa wewe unayeshangilia nawe hao hao vihiyo wa uhasibu unayetoa taarifa za muajiri badala ya kumshauri namna bora ya uongozi wa fedha ikiwemo kuweka strong internal control system
 
Ama ninyi niwale unayetegemea kubeba makaratibu ukijifanya umtalaam fulani na kudanya wapumbavu kama wewe hapa mjini
 
Back
Top Bottom