CHADEMA waanikwa!

CHADEMA waanikwa!

Huyo ni mfanyakazi wa ndani anamsaidia boss wake. Wewe unadhani ajira ni rahisi kiivoo??

Halafu hao chini ni waimba kwaya/ngonjera wakitumbuiza mkutano.

Jibu hoja kwenye thread hapo juu. usilete #janjajanja kama kaka zako kina Mboweeh!!

Huyo mtoto anaacha kusoma anahangaika na matapeli ya ufipa.....

Hao anaowashabikia watoto zao wapo nje ya nchi kabaki yeye anabebeshwa mabango Kama choko
 
Machadema yanatumia akili za kukodi ndio mana
 
Hizo tuhuma zilizokuhamisha chadema ccm hazipo?

Au ndo kuruka small toilet kukanyaga big.toilet!

Zipo. sasa kama nahuko niyaleyale,NANI WAKULIKOMBOA TAIFA??

Wapinzani baaaaaado kabisa apa bongo. Labda Zitto tumuone na ACT yake. May be anawezakuwa tofauti .
 
Tumishazoea hayo maujinga yenu...

huyo ni sisimizi tu bora amejiondoa mwenyewe.

Ukipanda treni siyo lazima ufike mwisho wa safari, unaweza kushukia njiani...

Mti wenye matunda ndo unaorushiwa mawe....

Ninyi CCM endeleeni na utahira wenu...sisi CHADEMA tunasonga mbele.

Watu wenye IQ kubwa ndo wapo huku.

Haijawahi kutokea DUNIANI MAREHEMU AKAPIGA KURA KUUNGA KATIBA ni TANZANIA TU.
 
Sisimizi alimuua tembo!

Treni ikiwambovu,ntaishia ata njiani nisije nikahatarisha maisha yangu mbeleni.Ndicho alichokifanya jamaa.

Lakini pia tunamshukuru kwakutunyunyizia #DATA muhimu juu ya uhuni wa CDM.

Mnalalamika ccm mafisadi wakati hata nyie Wezi tu.

Upuuzi mtupu huu.
 
Nashukuru wazazi kwa kunipeleka shule ,utegemezi wa vyama kuendesha maisha unakuwa mbumbumbu mpaka Yesu arudipo (Mimi mkristo).Kijana mwenzangu mwenye taaluma tumia taaluma yako vizuri ubaki wakuchambua pumba na mchele kwenye sanduku la kura tu.
 
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.

Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??

Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
invisible wa nini sasa

Hahaaaa
 
Maneno #Kuntu kabisa bayo brother. Ni kura tu,ndo zitakazofanya na kuamua yote.

Lakini ukipata muda wa ziada kama hivi,si mbaya kujadili mawilimatatu na Watanzania wenzio juu ya hili na lile.
 
invisible wa nini sasa

Hahaaaa

Usikenue mdomo kwa jambo usilolielewa.

Hebu rudi nyuma ,tizama comment yakwanza kaitoa nani. then ujirekebishe. unless ,utaonekana mshamba humu ndani.
 
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.

Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??

Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
unajua The Invincible
na Invisible ni watu wawili tofauti?
 
Usikenue mdomo kwa jambo usilolielewa.

Hebu rudi nyuma ,tizama comment yakwanza kaitoa nani. then ujirekebishe. unless ,utaonekana mshamba humu ndani.
hahahahaaaa, sasa invisible wa nini???

kwikwikwikwikwikwi
 
Soma contents ktk picha hizo.

Vituko vingi sana tutaviona mwaka huu, hahaha sababu zingine bhana hazina mikono kabisa. Bora hata ungekuja na maelezo mengine kama ulishawahi kuuliza, ukajibiwa nini. Sasa wewe unaandika tu bila hata kudefend kaka yangu. Au Livingstone alikuwa kakusimamiawakati unaandika?
Vipi maendeleo ya jimbo hilo? kuna mabadiliko yoyote? Maana wengine tunaangalia Fairness of equal opportunities kwa local community.
 
Usikenue mdomo kwa jambo usilolielewa.

Hebu rudi nyuma ,tizama comment yakwanza kaitoa nani. then ujirekebishe. unless ,utaonekana mshamba humu ndani.

Comment ya kwanza kaitoa The Invincible, wewe uliyemwita kuitetea ni Invisible! Hawa ni members wawili tofauti na hata tungeamua kutafsiri maana ya hizo IDs, ziko tofauti kabisa. Rekebisha umwite anayehusika, isijekuwa unamwamsha mtu kajipigia zake usingizi.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa ushauri brother. Nilisahau ku'quote.
 
Last edited by a moderator:
Sisimizi alimuua tembo!

Treni ikiwambovu,ntaishia ata njiani nisije nikahatarisha maisha yangu mbeleni.Ndicho alichokifanya jamaa.

Lakini pia tunamshukuru kwakutunyunyizia #DATA muhimu juu ya uhuni wa CDM.

Mnalalamika ccm mafisadi wakati hata nyie Wezi tu.

Upuuzi mtupu huu.

Hapo hakuna Kipya! yote ni yale yale, tulishayasikia yote hayo.

Halafu sijui nia yenu ni nn?

CHADEMA ni imani kama huna imani bye bye.
Bora kuwa na team ndogo yenye nidhamu kuliko kuwa na team kubwa mzigo.

hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.
 
Kwa Mara Ya kwanza Duniani, MAREHEMU amepewa haki ya kuipigia kura katiba pendekezwa nchini TANZANIA.

Na haisemwi kama alipiga kura ya SIRI AU WAZI.

Lakini cha kutilia shaka, eti alipiga kura ya ndyo!

Yasiyowezekana DUNIANI KOTE Tanzania Yanawezekana, yasipowezekana lazima yawezeshwe ili yawezekane.
 
Back
Top Bottom