CHADEMA waanikwa!

CHADEMA waanikwa!

Tumekusikia bado wew kujianika sasa... Hizi nyimbo zilipendwa long time
 
wamejinika wao na familia zao, kwani walipojiunga chadema waliongea mbele ya waandishi wa habari? Au walitoa taarifa kwenye familia ya nani? wanalia na ruzuku wao wanataka kujua inavyotumika ni wahasibu wa chama? Ripoti ya mahesabu imepelekwa kwa CAG na kwenye ofisi za chama wao kama nani? Wapeleke njaa zao chadema hatuombani bahasha tunatoa hela zetu kuhudumia chama aende huko walikozoea bahasha tena ndio wakati wake. Janaume zima linasema limetoa talaka kwa chama viongozi wake hawafai alitaka kiongozi gani amfae kwa huo ujinga wake chadema hatuna ndoa ya jinsia moja atoe talaka mia aende huko wanakoita wapuuzi maana ndio mambo ya kipuuzi hayo anayolilia.:wave:
 
Mpaka misukule mje kustuka, wachaga hao watakuwa mabilionea.

Wewe ni kaburu tu maana wewe ni mmbaguzi na hapa umejidhihirisha kwa kuwabagua watu kwa makabila yao ,haufai katika jamii jinga sana wewe.
 
Anae hamia ccm hana akili kabisa.nimewacheki nikaona kama vp wamepungukiwa na akili.kwani nni wahamie ccm tu na wala c chama kingine???jibu lako tunza.
 
weka na mahesabu ya ccm kuonyesha utofauti ili kujustify sababu za kuhama
 
attachment.php

Kinana ni Katibu Mkuu anayekubalika sana!!! Kwa kifupi yeye ni JEMBE...

Yaani nyie mkilala Chadema,mkiamka Chadema,mkiwa msalani mwendo ni Chadema,hamli mkashiba kisa Chadema,kila mwana ccm kama hajaitaja Chadema anahisi siku haijakamilika, na bado tutawakaba kweli kweli na hii inaonyesha ni kwa kiasi gani mna hofu na kukiogopa chama cha Chadema..Nnasikia nalo jeshi la polisi siku hizi hawali wakashiba kisa Chadema.


"Chadema wanatuchokoza polisi na ninasema wakithubutu kuandamana bora nifukuzwe kazi lakini kitu nitakachowafanyia hawatasahau maishani mwao"--By Kamanda wa police mkoa wa Mbeya-Ahmed Msangi.
 
hahaaaa! ntamalizia wakati nashangilia ushindi wa KYADEMA 2015

KBOSCO,

Hakika wewe ni mmoja wa majuha wa CCM!

These are mere CCM propagandas and you sound like one of those CCM propagandists. Nonsense!

Do you think in your tiny and small brains, that by handling CHADEMA flag to Kinena will bring any impact to CHADEMA???The're many CCM members surrendering their CCM membership Cards to CHADEMA Leaders and nobody takes an interest as a big deal......!!!

You know and they know that CCM can manufacture CHADEMA flags and Cards and arrange the same to be surrendered to Kinena just to fool people that CHADEMA is collapsing which is not!!!

CCM endeleeni kujifariji na kujidanganya lakini ukweli mnaujua na muziki wa CHADEMA ni mnene na unasikika kila kona.............!!!!
 
Always something is better nothing ningewaona hao jamaa waliohama kutoka chadema kwenda ccm kama watu wenye akili timamu kwa kuacha kufanya siasa kabisa au kujiunga na chama kingine cha siasa kuliko maamuzi hayo ya kipuuzi waliyoyafanya hivi tumesahau kwamba kama sio chadema yale maskendo yaliyotikisa nchi kama chenchi ya rada,richmond na dowansi tungeyasikia wapi?mimi kwa mtazamo wangu hawa jamaa ni wachumia tumbo tu kwani kama wapo kwa maslahi ya nchi ccm hawawezi kuyatetea hata wafanyaje kwani rushwa imetamalaki ndani ya chama na serekali kwa ujumla halafu ni bora mtu uwe neutral bila chama chochote ili upate kuongea ukweli na uwe mzalendo katika kutetea maslahi ya nchi na sio kutwa chadema mara ccm upuuzi mtupu!!!!
 
Huyo ni mfanyakazi wa ndani anamsaidia boss wake. Wewe unadhani ajira ni rahisi kiivoo??

Halafu hao chini ni waimba kwaya/ngonjera wakitumbuiza mkutano.

Jibu hoja kwenye thread hapo juu. usilete #janjajanja kama kaka zako kina Mboweeh!!
Asaidie kufunga kamba kwa kuwa?tumbo kubwa?sijui?mvivu?mheshimiwa sana? mtumwa wake?au ipo kwenye majukumu yake ya kazi?
 
Eti Lameck Lubote ni mhasibu ....kwikwii.......haya yalikuwa kwenye taarifa za Mwigamba ............huyu jamaa ni tapeli kupindukia .......kuna siku mtamuelewa tuuuu
 
KBOSCO,

Hakika wewe ni mmoja wa majuha wa CCM!

These are mere CCM propagandas and you sound like one of those CCM propagandists. Nonsense!

Do you think in your tiny and small brains, that by handling CHADEMA flag to Kinena will bring any impact to CHADEMA???The're many CCM members surrendering their CCM membership Cards to CHADEMA Leaders and nobody takes an interest as a big deal......!!!

You know and they know that CCM can manufacture CHADEMA flags and Cards and arrange the same to be surrendered to Kinena just to fool people that CHADEMA is collapsing which is not!!!

CCM endeleeni kujifariji na kujidanganya lakini ukweli mnaujua na muziki wa CHADEMA ni mnene na unasikika kila kona.............!!!!

Manufacturing cards might be a plan of yours,not ccm. If u've been doing it,shame on you!
By the way,i don't hate all your movements. what i get embarrassed of your Leaders has been their foolish scandals like some witnesses shown embezzling CDM subsidies, misuse of funds(for their owns) and so many cases of corruption on their sides.

Just have this, they have stayed silent with an issue of ESCROW Account something that has accused them of being amongst the deal. A Peasant like me must believe on the truth that they(cdm leaders) have eaten the deal.

Just refer a later information to where LEMA,MSIGWA & LISU accepted a five millions advance from #MASWI (in a ten millions deal per each on July2014) to which they agreed scorning Zitto & Kafulila over Escrow in the Parliament. Note that,Sugu was the only one who rejected betraying the Zittos.

They(Lisus) sandwiched a scorn report that had to be presented by Sugu as an opposition Report on MASWI'S Ministr of Energy. On a time of presentinting,SUGU left the scorning paragraphs unread!

So many issues to challenge your Leaders. They are not clean at all. full of corruption and Optimists. I real don't trust them (though their Rallies speeches seem to be pessimistic.

THEY PREACH WHAT THEY TOTALLY DON'T PRACTICE. And this is why they have failed to seduce a number of Citizens in a support.
 
Back
Top Bottom